#nywele
Explore tagged Tumblr posts
plantationbaby · 2 months ago
Text
'Twende Kilioni'
I have been thinking a lot about childhood in the past few years, mainly prompted by immense grief, a rupture, a shattering, the loss of a father, but within that grief, I tend to spend time tending to images "contained" in German archives of a place, a landscape, I am a ancestrally tethered to.
Along with that comes fractals of thoughts, like a coil of hair, tucked into three parts, mathematics, african hair braiding is pure mathematics, an encoded system of knowledge, transmuted, Black haircare is potent technology.
Braiding to weave a story through colonial ethnographic exercises, i noted that these particular style is known to us since childhood, as it is a many requirement in trusted uniformity for its modest aesthetic as a suitable hairstyle for school girls. The style of braiding therefor is known as 'Twende kilioni'.
in Kiswahili it means "going to the wake"
is it then happenstance, that the very surveillance of intimate grooming moments between kin, joys of collective grooming interrupted, captured by the colonial aperture, caught in the act, we are therefore braiding for the wake towards a collective social death under German imperial might.
Just an idea, a thought, by the way, if they are smiling in the photographs, don't believe it, it's veiling the violence
Btw the style is a simple straight back cornrows, can be as many as 8 rows to 18 rows, just plain going down the crown of the head, with either braiding style, kubinjua or not.
anyhow, I tried recruiting my friend Manka to braid my hair at the site of the Berlin Conference here in berlin, as somesort of speculative retributive experiment , or maybe playing with time, embodied knowing, reclamation of something not entirely sure what. But we did sit down, on the ground, in two locations at Wilhelmstrabe 77, and Manka braided my hair into straight backs. Thing is, we were documenting, but our beloved camera person fucked up the entire thing. I laugh about it now, but i was hella furious then
0 notes
mitindomipyayanywele · 1 year ago
Text
Mitindo mipya ya nywele
Tumblr media
1 note · View note
milksockets · 5 months ago
Text
Tumblr media Tumblr media
'kobe' + 'nywele,' 2022 in wangechi mutu: storm king art center (2022)
51 notes · View notes
tekian · 8 days ago
Text
Simps will always see dust. Heri mimi nliambiwa nisiguze nywele sijalipa nikiwa backshots
0 notes
higilo · 2 months ago
Text
Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media
'' Ukimwi wa siku hizi tofauti na zamani mtu haukondi kondi ,unanenepa na kupendeza, hautokwi na vipele Pele wala nywele kunyonyoka''
Maneno hayo nilimsikia mtu mmoja akimwambia mwenzake wakati Mimi nilipokuwa napita!?
Wakati Mimi nilikuwa natumia DAWA za asili kutibu matatizo mengine na wala sio Ukimwi !?
Hata huku Dar es salaam hali kama hiyo ilitokea mwaka 2016 Mimi nilikuwa natumia DAWA za asili kwa ajili ya kuua FUNZA mwilini mwangu na nyinyi mkaniletea taharuki !?
0 notes
rwizakakiza · 3 months ago
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 19: UC...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XIX.
----------------------
3. 8. 1. DALILI /VIASHIRIA /MATOKEO YA TABIA YA UCHAFU.
...(a). KUTOJIJALI MWENYEWE.
Kutojijali mwenyewe ni hali ya kutojipenda, kujichukia na kutoona uthamani na ubora MUNGU aliokuumba nao na kuishi ovyo ovyo katika kuvaa, kula, kutembea, kuongea, na kujirahisisha kwa kila kitu.
Kutojijali mwenyewe ni kushindwa kujua thamani yako, na uwe na uhakika unaposhindwa kutambua thamani yako na kujijali hakuna atakayekujali. Maandiko Matakatifu yanasema.....
.....Mwanadamu HAJUI THAMANI YAKE, Wala HAIONEKANI katika NCHI ya WALIO HAI.
......Ayubu 28:13.....
...(b). UCHAFU WA MWILI.
Mtu anaposhindwa kujijali mwenyewe, kuwa mchafu kimwili ni jambo rahisi kabisa. Kuna mtu hata mwili wake umemshinda kuusafisha yaani ni mchafu kuanzia kinywa, kucha, Nywele na mpaka baadhi ya maeneo ya mwili wake kutoa harufu.
Mtu mwenye tabia hii ya uchafu atajionea sawa, maana harufu yake kaizoea hivyo anafikiri na watu wanaomzunguka wameizoea kumbe wamemchoka. Kuna watu wanakosa hata sabuni lakini wanajitahidi kuweka miili yao safi, lakini kuna watu wenye uwezo, ni wachafu juu ya miili yao wenyewe.
Hata kama unaelewa wazi kwamba
..... Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU....("1Kor 6:19-20"..... Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu).... Ukweli ni kwamba unaposhindwa kukithamini kinapoteza thamani machoni pako na ROHO MTAKATIFU hakai kwenye hekalu chafu, badala yake mwili wako litakuwa hekalu au pango la wanyang'anyi yaani pango MAPEPO.
......YESU akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.
......Mathayo 21:13.....
Ndio maana wengine wanaweza kualika uwepo wa MUNGU kwenye maisha yao lakini wakaendelea kuwa wakavu na wakijichunguza hawajatenda dhambi yoyote, lakini hana uwepo wa ROHO MTAKATIFU, Uchafu wa mwili wako, unaondoa uwepo wa MUNGU kwenye mwili wako.
...(c). UCHAFU WA MAZINGIRA
Uchafu wa mazingira unakaribisha mapepo kukaa na kumfukuza au kumwondoa MUNGU kwenye mazingira. Hata kama una uwezo wa kumwomba MUNGU ili aje akutane na wewe, Mazingira yakiwa machafu yatamfukuza MUNGU. Rudia kusoma andiko hili...
.....Kwa kuwa BWANA. MUNGU wako, yuatembea katika KITUO (Mazingira yako) akuokoe, na kukutolea adui zako mbele yako; kwa hiyo na kiwe KITAKATIFU KITUO CHAKO; ASIJE AKAONA kitu kwako KISICHOKUWA SAFI, AKAGEUKA na KUKUACHA.
.....Kumb 23:14.....
Mkristo anayetambua hili usafisha mazingira yote ya ndani na kupangilia vitu vizuri ili muda wote ajenge uhusiano mzuri na MUNGU wake. Kama ilivyo kwako ukiingia kwenye nyumba ya mtu safi, ukakaa ukavuta hewa safi, ukakaa bila wasiwasi wa kuchafuka na ukafurahia kuendelea kukaa hapo, ndivyo pia alivyo MUNGU wetu, Mkaribishe MUNGU kwenye mazingira yako.
...(d). UCHAFU WA ROHONI.
Uchafu wa rohoni hapa watu wengi tunafahamu na tumejitahidi kwenye eneo hili yaani kujenga uhusiano binafsi na MUNGU wa rohoni yaani kuishi Utakatifu. Unaweza kabisa una mawasiliano mazuri kabisa na MUNGU rohoni, lakini ukiwa mchafu kwa nje, MUNGU utabaki naye rohoni na unaweza kubahatika kufika mbinguni, lakini Utiisho wa Kimungu kwenye maisha ya kawaida hautakaa ukutane nao.
Ndio maana watu wengi wanaomba sana, lakini wanaotoa ndoto mbaya, wanakabwa na mapepo usiku, Wengine wanaingiliwa kimwili kwenye ndoto, Kwanini?. Ni kwamba MUNGU wanaye rohoni, lakini sio kwenye miili yao au kwenye mazingira yao.
Pia wewe ambaye ni mchafu rohoni yaani Ambaye hujampokea BWANA YESU KRISTO kuwa BWANA na Mwokozi wako binafsi bado unaishi maisha ya uchafu......(Kuangalia picha za ngono, kujichua, kusagana, ushoga, mawazo na tamaa mabaya na matendo yote ya giza)
Leo unayo nafasi ya kuamua kuachana na Uchafu huo kwa kumkimbilia BWANA YESU na kumpokea ili akuokoe Sali sala hii ifuatayo (Na ikiwa utahitaji ushauri tutafute kwenye namba za WhatsApp hapo chini), Sali kwa imani Sala hii
......"BWANA YESU, Leo nimetambua dhambi yangu, Mimi ni mchafu na nimegundua siwezi kujiokoa mwenye, Ninaomba unisamehe. BWANA YESU, leo ninakukiri wazi Wewe ni BWANA na Mwokozi pekee kwenye maisha yangu naomba uniokoe na kunisaidia kuushinda Uchafu, Amina".
3. 9. TABIA YA 9: "ULEVI - DRUNKENNESS".
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"Do you not know that your body is a temple of the HOLY SPIRIT who is within you, whom you have [received as a gift] from GOD, and that you are not your own [property]?"
.....1Corinthians 6:19.....
________________________________
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
joackanimalclinic · 8 months ago
Text
Tumblr media
FAHAMU UGONJWA WA NGOZI WA MBWA | MANGE IN DOGS | JOACK ANIMAL CLINIC
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Mange ni ugonjwa wa ngozi unaoathiri wanyama wengi na mbwa ni kati ya hao.
Mange ni ungonjwa unaosababishwa na mites ambao hushanbulia sehemu ya chini ya vinyweleo (hair follicles.)
Baadhi ya mites husambaa kwa haraka na kuna ambao hushanbulia hadi binadamu (zoonotic)
Hawa mites wapo wa ainambili ambao ni sarcoptic mange and demodectic mange.
Sarcoptic mange, kwajina lingine inaitwa scabies, hii husababishwa na Sarcoptes scabiei. Aina hii ya mange haipo sana kama demodectic mange, na mara nyingi inashambulia mbwa wa mtaani, mbwa waliotengwa/achewa bila uangalizi na mbwa wenye shida ya Kinga ya mwili.
Demodectic mange, or red mange hii husababishwa na Demodex canis. Aina hii ya mange inasambaa kutoka Kwa mama kwenda kwa mtoto kipindi Cha kunyonya, hii haisambai Kwa mbwa wengine wala Kwa binadamu.
Dalili:
1. Kuwashwa
2. Kunyonyonyoka nywele
3. Kuchubuka ngozi.
4. Vipele kwenye ngozi mara nyingi kwenye kifua.
Kama mbwa wako ana dalili moja kati ya hizi au anashida sugu wasiliana nasi tumalize tatizo mara moja
#ugonjwawangozikwambwa #mange #ukurutu #ukurutuwambwa #dogskindisease #dogskinproblem #Sarcopticmange #Demodecticmange #mitesindogs #mangeindogs #matibabuyambwa #kuoshambwa #mangeindog
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #kilimo #mifugo #tanzania🇹🇿 #tanzania #dodoma #dog #chanjozamifugo #madawayamifugo #matibuyambwa #daktariwamifugo #veterinaryservicetanzania #chanjozambwa #chanjozapaka #veterinaryhospital
0 notes
mwanagenzi · 2 years ago
Text
Urembo Wako Si Chochote
Kipusa una vituko, twaviola hadharani, Vyanambukiza udhiko, nikaliweka tungoni, Vimekupumbaza vyako, wakuu wakulaani, Urembo wako siwoni, si chochote si lolote. Kitwani zavurungana, si zetu si za kigeni, Nywele zaangukiana, kisogo na utosini, Ukadhani unafana, wende zako kinarani, Urembo wako siwoni, si chochote si lolote. Wajihi wajipodowa, podari imo usoni, Sana umejikwatuwa, ukijeleza…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
joackcompany · 2 years ago
Text
JOACK PET STORE | TUNAUZA BRUSH(VICHANUO) ZA KUCHANIA MAYOYA YA MBWA NA PAKA.
Bei ni: 2,500Tsh | PET COMB BRUSH
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
PET COMB BRUSH hiki ni kichanuo maalumu kwajili ya kuchania nywele za mbwa, paka na baadhi ya pets wengine wenye manyoya marefu mfano farasi.
COMB BRUSH inauwezo wa kuchana na kunyoosha manyoya ya mbwa au paka wako na kumfanya apendeze na kuwa na muonekano mzuri.
Kwa kutumia hizi comb brush utamchana mbwa au paka wako na utaweza kuondoa baadhi ya uchafu, wadudu na manyoya yasio na afya kwa mnyama wako.
COMB BRUSH humfanya mnyama wako awe na muonekano mzuri tofauti na hakiwa hajachanwa manyoya yake.
JOACK PET STORE ni wauzaji na wasambazaji wa vifaa mbalimbali kwajili ya mbwa, paka na pets wengine
STORE ina aina nyingi sana za vifaa kwajili ya pet's tena kwa gharama nafuu
Vifaa hivi (Pet's accessories) tunauza kwa bei ya jumla na reja reja, pia kwa wateja walioko mikoani tunaweza kuwatumia hizi bidhaa mpaka mahali ulipo
JOACK PET STORE ndio sehemu pekee unaweza pata vifaa mbalimbali kwajili ya pet wako
Tunauza vifaa vingi Sana kwajili ya mbwa na paka (Dog and cat accessories) , ukiitaji picha na bei (price list) wasiliana na 0714 63 63 75 watakutumia PDF yenye bei
#petcombbrush #brushzambwa #combbrush #chanuochapaka #DogCage #dogbowl #chanuochambwa #groomingglove #gloveszambwa #gloomingbrush #dogcollers #petproducts #dogproducts #catsprocts #mikandayambwa #vifaavyambwa #mipirayambwa #vichanuovyambwa
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
#joackcompany #joackvetcenter #mifugotz #mifugo #wauzajiwambwa #kilimo #dogs #dogshop #wauzajiwavifaavyambwa #tanzania #tanzania🇹🇿 #dodoma
Tumblr media
0 notes
dysmyss-of-ossidian · 2 years ago
Text
Tumblr media
“Want some powder KipiK ?”
- Nywel Mandragor, the copper blooded.
3 notes · View notes
milksockets · 6 months ago
Text
Tumblr media
'nywele,' 2022 in wangechi mutu: storm king art center (2022)
17 notes · View notes
higilo · 2 months ago
Text
Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media
'' Ukimwi wa siku hizi tofauti na zamani mtu haukondi kondi ,unanenepa na kupendeza, hautokwi na vipele Pele wala nywele kunyonyoka''
Maneno hayo nilimsikia mtu mmoja akimwambia mwenzake wakati Mimi nilipokuwa napita!?
Wakati Mimi nilikuwa natumia DAWA za asili kutibu matatizo mengine na wala sio Ukimwi !?
Hata huku Dar es salaam hali kama hiyo ilitokea mwaka 2016 Mimi nilikuwa natumia DAWA za asili kwa ajili ya kuua FUNZA mwilini mwangu na nyinyi mkaniletea taharuki !?
0 notes
solivetz-blog · 4 years ago
Video
Akili ni nywele tabu kwa walionyoa https://www.instagram.com/p/CCMDD4epeCx/?igshid=11fsuafbcriyi
1 note · View note
monstersandmaw · 5 years ago
Note
“Akili ni nywele, kila mtu ana zake” a swahili proverb for this gal in that fancy ink 💗 it says “Wisdom is like hair, everyone has their own” ur fantastic, I hope you and this monster chaos lives for centuries
I love hearing proverbs from other languages and cultures! A favourite of mine so far is ‘in bocca al lupo’, (into the mouth of the wolf) for ‘good luck’ in Italian :). The response is ‘may it die’
Tumblr media
25 notes · View notes
mitindoyanywele · 5 years ago
Link
1 note · View note
osengwa · 4 years ago
Photo
Tumblr media
"N Y W E L E | ".⁠ Visuals via truthslinger⁠ In frame : @nix_indamix⁠ Studio : @jefflovesphotography studio, Joburg⁠ Project : NYWELE⁠ @nix_indamix⁠ -
74 notes · View notes