#haveagoodeaster
Explore tagged Tumblr posts
Photo
#buonapasqua🐣 #haveagoodeaster from #sarasitaliankitchen #tortadeibecchi #tortaerbe #lucca and #pasimatagarfagnina https://www.instagram.com/p/B-4XGbzB9kR/?igshid=17po1a00j39wa
0 notes
Photo
“Nawatakia Pasaka njema “Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wanafunzi wa manabii akamwendea Elisha, akamwambia, “Mtumishi wako, mume wangu amefariki, na kama ujuavyo, alikuwa mcha Mungu, lakini aliyemwia fedha amekuja kuwatwaa wanangu wawili wawe watumwa wake.” Elisha akamwuliza, “Sasa nikusaidieje? Niambie kile ulicho nacho nyumbani.” Mama huyo mjane akamjibu, “Mimi mtumishi wako sina kitu chochote ila chupa ndogo ya mafuta.” Elisha akamwambia, “Nenda kwa jirani zako uazime vyombo vitupu vingi kadiri utakavyopata. Kisha uende, wewe pamoja na wanao, mjifungie ndani ya nyumba, na muanze kujaza mafuta. Kila chombo mnachojaza, kiwekeni kando.” Akaenda na kujifungia ndani ya nyumba na wanawe na kuanza kumimina mafuta ndani ya vyombo. Vilipojaa vyote, akamwambia mwanawe mmojawapo, “Niletee chombo kingine.” Mwanae akamjibu, “Vyote vimejaa!” Hapo mafuta yakakoma kutiririka. Akarudi kwa mtu wa Mungu na kumweleza habari hizo. Naye mtu wa Mungu akamwambia, “Nenda ukauze hayo mafuta na kulipa madeni yako, ndipo wewe na wanao mtaishi kwa kutumia hayo yatakayobaki.”” #2 Wafalme 4:1-7 BHN #Elisha na mama tajiri Mshunami #8-37 #Miujiza mingine ya miwili ya Elisha #38-44 #2Wafalme4:1-44🙏🏽😊 #nawatakiapasakanjema🙏🏽😊 #haveagoodeaster🙏🏽😊 #wakatiwamunguniwakatisahihi🙏🏽❤️ #stayhome#prayfortheworld #lockdown#covi̇d19 #chakula#mapishi#upishi #mpishi #jikoni#jikonileo #lifestyleblogger #Rachelsiwa 🙏🏽😔 https://www.instagram.com/p/B-2pp2SHUmD/?igshid=1tw6sxvmb9i8p
#2#elisha#8#miujiza#38#2wafalme4#nawatakiapasakanjema🙏🏽😊#haveagoodeaster🙏🏽😊#wakatiwamunguniwakatisahihi🙏🏽❤️#stayhome#prayfortheworld#lockdown#covi̇d19#chakula#mapishi#upishi#mpishi#jikoni#jikonileo#lifestyleblogger#rachelsiwa
0 notes
Photo
And It's A Wrap For Me #HaveAGoodEaster #2014 Loving My Kwachukwachu Shirt By Martin Kadinda From Tanzania. Am Proud Of Our Own African Style When It Comes To Fashion. CHECK OUT: www.mvutokwanza.blogspot.com @martinkadinda @kwachukwachunation❤️❤️#Sporah (at www.sporah.com)
0 notes