#Mtego
Explore tagged Tumblr posts
Photo
SAMSARA (Lois Patiño, 2023)
#samsara#lois patiño#amid keomany#toumor xiong#simone milavanh#mariam vuaa mtego#juwairiya idrisa uwesu#film#cine
22 notes
·
View notes
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 21: POM...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XXI.
----------------------
3. 9. 1. DALILI NA MATOKEO YA TABIA YA ULEVI.
(a). "ULAFI - GLUTTONY"
Ulafi ni hali ya kukosa kiasi katika kula au kunywa, Ni tamaa au kujiachia kupita kiasi. Ni hali ya kuwa na pupa na ubinafsi.
.....BWANA YESU anasema "Jiangalieni, mioyo yenu isije IKALEMEWA na ULAFI, na ULEVI, na MASUMBUFU ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo.
....Luka 21:34....
Kama umemwelewa YESU anaonya kwamba kulemewa na ulafi, Ulevi na masumbuko haya yanaweza kukuzuia usiione mbingu. Tabia ya Ulevi imesababisha watu kuwa walafi, wenye pupa na tamaa mbaya kiasi kwamba hawakumbuki familia zao tena kwa sababu wanatenda bila kufikiri mwisho wa siku anaharibu kila kitu.
.....Kwa sababu HAKUJUA UTULIVU NDANI yake, HATAPONYA cho chote katika hicho ALICHOKIFURAHIA.
....Ayubu 20:20....
Wengine utakuta anaenda mahali anaagiza chakula na kinywaji kizuri anakula na kunywa na wakati mwingine anawanunulia wengine, LAKINI familia yake wanakosa hata chumvi, nyumbani mwake ni Ombaomba. Hii ni dhambi acha ulafi.
....USIWE miongoni mwao WANYWAO mvinyo; Miongoni mwao WALAO nyama kwa PUPA. Kwa maana MLEVI na MLAFI huingia UMASKINI, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.
.....Mithali 23:20 - 21.....
(b). "UMASKINI"
Wewe utakuwa Shahidi mzuri juu ya hili, maisha ya mlevi yapoje, Tabia ya Ulevi ni kukurudisha kwenye umaskini taratibu,
.....Leo utawanunuliwa vinywaji watu, Kesho watanunua familia yako.
......Leo utasema nakunywa kwa afya, Kesho utaokotwa kwenye mitalo na kufeli kwa figo.
......Leo utakunywa kupunguza mawazo, Kesho utaomba kifo chako mwenyewe.
......Leo utakunywa kwa akili na majitambo mengi, Kesho unaambulia kulia, kuomboleza na umaskini.
Kimbia umaskini kwa kuacha kabisa Ulevi.
Mara nyingi tabia ya Ulevi inasababisha KUPOTEZA MALI na KUDUMAA KIMAISHA. Ulevi unasababisha umaskini kuanzia kwenye akili mpaka utendaji wa kazi, ambapo matokeo yake kupoteza au kurudi nyuma kimaisha. Na unazuia baraka (posho) zako mwenyewe.
....Basi, tazama, KWA AJILI YA HAYO nimenyosha mkono wangu juu yako, nami NIMELIPUNGUZA POSHO lako, na kukutoa kwa mapenzi yao wanaokuchukia, binti za Wafilisti, WALIOYAONEA HAYA MAMBO YAKO YA UASHERATI.
.....Ezekieli 16:27....
(c). MATESO
Tabia ya Ulevi ndugu yangu ni tabia tishio kwa sababu inaleta...
.....Maangaiko kimaisha,
.....Uzalilishaji pande zote (fikiri mtu anakunywa anavua nguo, Kesho yake aibu kwake na familia. Lakini wengine sio kujizalilisha bali wanazalilisha watu wanaoishi nao kuwapiga na kuwatendea ukatili kisa pombe),
..... Taabu za rohoni, kujisikia vibaya, kujihisi upweke nk,
...... Matukano, Magomvi na Virugu kwenye familia, jamii nk,
...... Uzinifu (Usaliti kwenye familia, na matengano mengi ni uzinzi na kisababishi kikuu ni Ulevi)
....... Magonjwa (Afya zimeshambuliwa kwa Ulevi, Mfano Magonjwa ya figo mengi ni Ulevi)
.......Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, Uchafu, Ulevi, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; kwa ajili ya mambo hayo huja (mateso) GHADHABU ya MUNGU.
Kolosai 3:5 - 6.....
(d). UTEGEMEZI.
Kutokana na tabia ya Ulevi kusababisha Vurugu, Ugomvi, Matengano, Vipigo umaskini nk matokeo yake imeleta utegemezi kwenye jamii nyingi. Unakuta Baba au Mama kakimbia familia watoto wanaangaika, Maangaiko yao hayataathiri tu familia bali jamii na taifa na kuwa watu wa kutegemea misaada kwenye kila kitu.
Kimbia na Epuka Ulevi kwa sababu ni HATARISHI kwenye maisha yako, Mkimbilie BWANA YESU Akuokoe kwenye Ulevi. Je upo tayari?
.....Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.
.....Ufunuo 3:20....
3. 10. TABIA YA 10: "KIBURI - PRIDE"
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"For the time already past is [more than] enough for doing what the [unsaved] Gentiles like to do—living [unrestrained as you have done] in a course of [shameless] sensuality, lusts, drunkenness, carousing, drinking parties, and wanton idolatries" ....
......1Peter 4:3.....
________________________________
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
2 notes
·
View notes
Text
Shangazi
Tamaa ya kimapenzi, inampelekea Abdam kuwa na mahusiano ya siri na shangazi yake. Tatizo linakuja kuwa kubwa zaidi pale anapoingia ndani ya mtego wa mjomba ake na kujikuta wakikamatwa wakiwa kwenye wimbi zito la mahaba sebuleni. Je unazani nini hatma ya Abdam na familia ya mjomba wake.
View On WordPress
0 notes
Video
youtube
Mtego for CJ Koome at JSC petition plus the bribe behind Embakassi trage...
0 notes
Photo
Samasara
Un film de Lois Patiño Avec Amid Keomany, Toumor Xiong, Simone Milavanh, Mariam Vuaa Mtego, Juwairiya Idrisa Uwesu Laos. Près des temples bouddhistes, l’esprit d’une…
Retrouvez l'article complet ici https://is.gd/FWo8qY
0 notes
Text
Berlinale 2023 - Encounters Lineup
January 23, 2023 - the Berlinale announced the titles from the Encounters section.
In 2023, the competitive section Encounters comprises 16 films, all of which are world premieres. There are three debut films. 21 countries are represented. Six films were directed by women.
Adentro mío estoy bailando (The Klezmer Project) by Leandro Koch, Paloma Schachmann | with Leandro Koch, Paloma Schachmann Austria / Argentina 2023 Encounters | World premiere | Debut film
The Adults by Dustin Guy Defa | with Michael Cera, Hannah Gross, Sophia Lillis USA 2023 Encounters | World premiere
The Adults
El eco (The Echo / Das Echo) by Tatiana Huezo Mexico / Germany 2023 Encounters | World premiere | Documentary Form
Here by Bas Devos | with Stefan Gota, Liyo Gong Belgium 2023 Encounters | World premiere
Im toten Winkel (In the Blind Spot) by Ayşe Polat | with Katja Bürkle, Ahmet Varlı, Çağla Yurga, Aybi Era, Maximilian Hemmersdorfer Germany 2023 Encounters | World premiere
Kletka ishet ptitsu (The Cage is Looking for a Bird) by Malika Musaeva | with Khadizha Bataeva, Madina Akkieva, Fatima Elzhurkaeva, Rita Merzhoeva, Magomed Alhastov France / Russian Federation 2023 Encounters | World premiere | Debut film
Mon pire ennemi (My Worst Enemy) by Mehran Tamadon | with Zar Amir Ebrahimi France / Switzerland 2023 Encounters | World premiere | Documentary Form
My Worst Enemy
Műanyag égbolt (White Plastic Sky) by Tibor Bánóczki, Sarolta Szabó | with Tamás Keresztes, Zsófia Szamosi, Géza Hegedűs D., Judit Schell, István Znamenák Hungary / Slovakia 2023 Encounters | World premiere | Animation
mul-an-e-seo (in water) by Hong Sangsoo | with Shin Seokho, Ha Seongguk, Kim Seungyun South Korea 2023 Encounters | World premiere
Mummola (Family Time) by Tia Kouvo | with Ria Kataja, Elina Knihtilä, Leena Uotila, Tom Wentzel, Jarkko Pajunen Finland / Sweden 2023 Encounters | World premiere | Debut film
Le mura di Bergamo (The Walls of Bergamo) by Stefano Savona Italy 2023 Encounters | World premiere | Documentary Form
Orlando, ma biographie politique (Orlando, My Political Biography) by Paul B. Preciado France 2023 Encounters | World premiere | Debut film | Documentary Form
Samsara by Lois Patiño | with Amid Keomany, Toumor Xiong, Simone Milavanh, Mariam Vuaa Mtego, Juwairiya Idrisa Uwesu Spain 2023 Encounters | World premiere
Shidniy front (Eastern Front) by Vitaly Mansky, Yevhen Titarenko Latvia / Czechia / Ukraine / USA 2023 Encounters | World premiere | Documentary Form
Viver Mal (Living Bad) by João Canijo | with Nuno Lopes, Leonor Silveira, Beatriz Batarda Portugal / France 2023 Encounters | World premiere
Living Bad
Xue yun (Absence) by Wu Lang | with Lee Kang-Sheng, Li Meng, Ren Ke, Liang Wanling People’s Republic of China 2023 Encounters | World premiere | Debut film
0 notes
Text
CHI SONO I CAPI MASAI E COSA SONO LE RIUNIONI MASAI
CHI SONO I CAPI MASAI E COSA SONO LE RIUNIONI MASAI
Per capire chi sono i capi maasai e in cosa consistono le loro riunioni, facciamo un po’ di chiarezza:
Al centro un capo masai
Il popolo masai vive a stretto contatto non solo con la famiglia d’origine, ma anche con i villaggi adiacenti. Oggi parliamo di Tanzania, ma le stesse regole vengono applicate anche alla tribù masai del Kenya. I maasai possono incontrarsi, non conoscersi o non essersi…
View On WordPress
#alloggio in Tanzania#capo masai#Gombero#Kiberashi#Maasai Travel Life#Mtego#riunione masai#Safari Tanzania#Tribù#vacanze Tanzania#viaggi fai da te#viaggiare in savana#viaggiare in Tanzania#viaggio#viaggio culturale Tanzania#villaggio masai#zaino in spalla#Zanzibar
0 notes
Photo
*KUIBIWA SIMU* Jonte alikuwa ananipea story venye aliibiwa simu Rongai, nikaona lazima niwapee hii leo. 🙆🏽♂️🙆🏽♂️ Ndio mkae Rada.👁👁 Jamaa ametulia tu kwa corner flani anaskiza ngoma na earphones,🎵🎵 alafu kijana mwingine akamuapproach akamshow, "Cheki, nisaidie simu yako nipige, Yangu haishiki network. 🙏🏽🙏🏽Nitakupea hii ukae nayo ndio usione kama nitapotea na simu yako". Jonte akaona hii ni kitu legit, juu ata simu anapatiwa ashikeni kali kuliko yake, huyo jamaa haezi hepa na yake aache hio. So akampatia simu na jamaa akaenda kupiga simu at a distance. 😊 Kidogo kidogo jamaa akadissapear kwa korner, but Jonte hakuwa na shaka juu ameshikilia simu ya maana anadhani kijana ni privacy anataka. 🤣🤣 Dakika mbili ivi kukatokea wasee kama sita, kajamaa kakiwa apo, wanaambiana, ebu ipige tuskie kama italia.. Alafu simu Jonte ameshikilia ikalia. 😫😫 Jonte hajawahi pigwa makofi kama design alipigwa hio siku ati ameiba simu ya wenyewe. 😂 Na ivo ndio Jonte anatumia Katululu kamefungwa na bladder🤣🤣🤣 Usiangukie hio mtego, Stay close to your phone. https://instagr.am/p/CbZYwqdjTCg/
0 notes
Photo
Imagine Umepita zako ukakuta pako hivo utaokota au utaogopa ni mtego? #chokablok #witcheslair (at Tabata Dampo Garage) https://www.instagram.com/p/CUzgtb1t9kH/?utm_medium=tumblr
0 notes
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 15: KU...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XV.
----------------------
3. 7. 1. DALILI /VIASHIRIA /MATOKEO YA TABIA YA UCHAWI.
Tujifunze kwa umakini matokeo au Dalili au viashiria vya mtu mwenye tabia ya uchawi.
......"Asionekane kwako mtu AMPITISHAYE mwanawe au binti yake KATI YA MOTO, wala asionekane mtu ATAZAMAYE BAO, wala mtu ATAZAMAYE NYAKATI MBAYA, wala mwenye KUBASHIRI, wala MSIHIRI, wala mtu ALOGAYE kwa kupiga MAFUNDO, wala mtu APANDISHAYE PEPO, wala MCHAWI, wala mtu awaombaye wafu. Kwa maana mtu ATENDAYE hayo ni CHUKIZO kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, MUNGU wako, ANAWAFUKUZA mbele yako.
......Kumb 18:10-12....
Zingatia.
......Tabia ya uchawi inaweza kujitokeza kwenye mambo yaliyotajwa kwenye nukuu hapo juu, Ebu tuchambue viashiria vinavyodhiirisha uchawi Ingawaje mtendaji anaweza kuwa ANAJITAMBUA au asielewe kama anafanya uchawi:-
1. "KUBASHIRI - FORECAST"
Kubashiri ni hali ya kutabiri, / Kubeti, /Droo, /Bahati nasibu, /kucheza kamari, ambapo kuna nguvu inayokuwezesha kutenda. Kama mtu ana mahusiano ya kina na MUNGU (BWANA YESU) anawezeshwa na nguvu za ROHO MTAKATIFU na MUNGU sio wa kubahatisha, ni wa uhakika.
Je anayetabiri /kubet /anayecheza kamari /anayeshiriki Bahati nasibu anawezeshwa na nguvu /roho gani?
.....Kumtumikia YESU KRISTO haimaanishi wewe ni wa YESU Au kuwa Mkristo haimaanishi wewe ni Mkristo. Kama unashiriki mambo haya, Wewe upo mbali sana na MUNGU aliye hai na unazitumikia roho za giza ("mungu wa bahati") ambalo ni katazo na laana.
.....Ninyi mnaomwacha BWANA, na kuusahau mlima wangu Mtakatifu (kanisa-ushirika na MUNGU), na KUANDIKA meza KWA AJILI ya BAHATI, MIMI nitawaandikia KUUAWA kwa upanga, na ninyi nyote MTAINAMA ili KUCHINJWA; kwa sababu nilipoita HAMKUITIKA; niliponena, HAMKUSIKIA; bali MLITENDA yaliyo MABAYA MACHONI pangu, mlichagua mambo NISIYOYAFURAHIA.
.......Isaya 65:11 - 12.....
MUNGU huchukia mazoea yanayowatia watu moyo waamini BAHATI kwa sababu INACHUKUA NAFASI ya KUMTEGEMEA MUNGU. Michezo ya kamari inawafanya watu WATEGEMEE BAHATI bila kumtegemea MUNGU, bila kutumia akili na nguvu katika kutafuta.
Sio kwamba hawamwamini MUNGU, Wana mwamini, lakini HAWAMTEGEMEI MUNGU na shetani anamwamini mpaka anatetemeka lakini hamtegemei MUNGU"
.....Wewe waamini ya kuwa MUNGU ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao WAAMINI na KUTETEMEKA.
......Yakobo 2:19.....
Kamari huwachochea watu moja kwa moja WAPENDE fedha. Watu wengi leo hawajali mambo ya kiroho, kwa hiyo, fedha imekuwa mungu wao na kucheza kamari ndiyo njia ya kuiabudu.
Siku hizi watu huenda kwenye nyumba za fahari za kuchezea kamari badala ya kwenda kanisani, na humo wao hufundishwa kwamba utajiri wa haraka ni sifa nzuri. Watafiti wamegundua ya kwamba watu wengi hucheza kamari ili washinde “kiasi kikubwa sana cha fedha,” wala si kwa sababu ya tafrija au raha. Hata hivyo, Biblia inaonya hivi:
.....“Kupenda fedha ni mzizi wa mambo mabaya ya namna zote, na kwa kujitahidi kupenda huku, wengine wameongozwa wapotee njia kutoka kwenye imani na wamejichoma wenyewe kotekote kwa maumivu mengi.”
......1Timotheo 6:10.....
Unapoazimia kuwa tajiri bila BWANA YESU huanguka katika jaribu na mtego na tamaa nyingi za kijinga na zenye kudhuru, ambazo hutumbukiza watu katika maangamizi na uharibifu.”
.....1Timotheo 6:9....
Watu hucheza kamari /Kubashiri kwa sababu ya tamaa, na “TAMAA” ni mbaya sana hivi kwamba Biblia inaitaja kuwa miongoni mwa tabia tunazopaswa kuepuka kabisa.
..... Waefeso 5:3.....
Tamaa hukazia hasa kutajirika haraka, uchezaji-kamari humchochea mtu kupenda pesa ambacho ni “chanzo cha mambo mabaya ya namna zote.” Tamaa ya pesa inaweza kwa urahisi kuwa jambo muhimu zaidi maishani mwa mtu na kumfanya awe na mahangaiko mengi na kuharibu uhusiano wake na MUNGU.
Tamaa huwafanya watu wasiridhike na hali yao ya uchumi na hivyo kukosa furaha. “Anayependa fedha hatatosheka na fedha, wala anayependa mali hatatosheka na mapato.
....”Mhubiri 5:10.....
Mamilioni ya watu walioshawishika kucheza kamari /bahati nasibu /Kubashiri wamekuwa WARAIBU wa mchezo huo. Unapokomaa kwenye michezo hiyo, roho giza ya utabiri inakuvaa, inafika kiwango ukibashiri kitu kinatokea. Na kwa sababu sio mwongozo wa ROHO MTAKATIFU, ni nguvu ya roho za giza, huko ndiko kufanya uchawi ingawa unajiona sio mchawi. (Rejea tafsiri ya uchawi somo lililopita).
2. "KUAGUA -
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"There shall not be found among you anyone who makes his son or daughter pass through the fire [as a sacrifice], one who uses divination and fortune-telling, one who practices witchcraft, or one who interprets omens, or a sorcerer"
.....Deuteronomy 18:10 ....
________________________________
For help:
+255 782 546 914
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
Photo
Kamanda Sirro Akiongea na vyombo vya habari jijini Dar se Salaam amesema - "Tuna ushahidi wa kutosha juu ya tuhuma zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe mpaka kuamua kumfikisha mahakamani” - “Hivyo, nawaonya baadhi ya vyama vya siasa na makundi mengine kuacha kuingilia kesi hiyo na badala yake wasubiri uamuzi wa mahakama.” - “Kabla ya Uchaguzi nilisema kuna Watu wamepanga kuhakikisha Uchaguzi haufanyiki, nilisema kuna baadhi ya Watu wamepanga kulipua visima vya mafuta na kufanya mauaji ya Viongozi na nilisema tutawakamata kabla hawajafanya hivyo” - “Tuliwakamata kabla, hayo ya Mwenyekiti wao (Mbowe) sitaki kuzungumzia sana lipo Mahakama ila wajue yeye ni Binadamu kama Binadamu wengine na anaweza kufanya kosa tumempeleka Mahakamani tuache Mahakama itimize wajibu wake” - “Kama kweli ni mkweli Mwenyekiti wao na anamuamini Mungu waende wamuulize habari hiyo, kuna mambo unaweza kuyafanya kwamba ni siri lakini ndio mana Vyombo vya Habari vipo” - “Niwaombe Watanzania wenzangu usilolijua ni kama usiku wa giza usiingie kwenye mtego ambao hujui aliyeutega ana jambo gani” - “Waende wamuulize huyo Mtu tuliyempeleka Mahakamani (Mbowe) kwamba hili jambo unalijua na kama ni ukweli ana Dini yake na anamjua Yesu Kristo aende aaambiwe, tunamuonea kwa lipi ?, tupate nini?” - Tuna ushahidi wa kutosha tuache Mahakama iamue, kafanya Yes hakufanya Yes lakini habari ya kikundi cha Watu kusema tunataka kuandama wewe ni nani Bro!? hiyo nafasi hauna “Niwaombe Watanzania tuache wale Watu wachache ambao wanataka kupambana na Serikali wapambane nayo labda wana sababu zake lakini Mtu wenye hekima na busara anielewe, lakini kikubwa kama wameandaa kwenda Canada au Marekani wajiandae ila hatuwezi kuruhusu Watu wachache wavuruge Nchi kwasababu wamekosa madaraka” - “Habari ya kusema mnataka kuandamana mnavunja sheria na ukivunja sheria usilaumu Jeshi, ukivunja sheria umeingia kwenye uhalifu, Sirro hatokuacha na Polisi hawatokuacha na ndio maana wanafanya siasa kwa sababu amani na utulivu upo, Sisi hatufanyi Siasa.”- kamanda Sirro #BabadUpdates (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CSFDrGgKxRk/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo
NYAMAZA 1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11) 2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17) 3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema (Mithali 18:13) 4. Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza (Mithali 13: 1) 5. Nyamaza ukigundua kwamba maneno yako yataleta picha mbaya (Mithali 17: 27) 6. Nyamaza ukijua kile unachotaka kusema kitaharibu jina na sifa ya mwenzio (Mithali 16: 27) 7. Nyamaza ukijua utakachosema kitaharibu urafiki na kujeruhi mwenzako (1Wakorintho 15: 33) 8. Nyamaza ukigundua kwamba utaaibika baadaye kwa sababu ya ulichokisema (Mithali 8:8) 9. Nyamaza ukijua unachotaka kusema kitamdhalilisha Mungu, wewe mwenyewe au familia yako (1Petro 2: 21-23) 10. Nyamaza ikiwa wakati ulio nao ni wakati wa kazi (Mithali 14: 23) 11. Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, atajilinda nafsi yake na taabu (Mithali 21: 23) Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza kwa maana maneno ya kinywa chako ni mtego kwako (Mithali 6:2) https://www.instagram.com/p/CRqAJCpsajb/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo
Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa ambazo wenda hamkuzijua 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE) Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati mume18 mke 16. Huvunjika baada ya miaka 3 au 4 ya ndoa. 4. NDOA YA MAONYESHO Wenye ndoa Hii hupenda kujionyesha barabarani. Ila ndani hazina utii. Hupigana kila wanaporudi kutoka kwenye mizunguko. Cha kushangaza huwa hazivunjiki lakini ndiyo ndoa zinazoongoza kwa kuchepuka! 5. NDOA YA UHAMISHO. Hufungwa na watumishi wa vijijini na mjini. Ili wa kijijini ahamie mjini. Mahari hutoa anayetaka kuhamia mjini. Hata kama mahari atatoa mume lakini hii ndiyo ndoa yenye ukakasi zaidi. Huvunjika mara tu wanapoanza kuishi wote mjini. Salama ya hii ndoa ni kuhama kutoka mjini kwenda kijijini. 6. NDOA YA MIMBA. Hufungwa kwa sababu wanaoowana hawataki kuonekana makwao kuwa wamezaa nje. Au muolewaji alikuwa hampendi muoaji kwa dhati. Muoaji hutumia mimba kama mtego wa kuingia ndoani. Hii huvunjika mtoto akizaliwa na kufikisha mwaka 1. 7. NDOA YA MALI (UTAJIRI) Muolewaji miaka 18 au 28 Muoaji 65 au 70. Ndoa hii pia huitwa ndoa ya babu na mjuukuu. Ndoa ya aina hii hudumu, kwasababu mwenye kauli ni mwenye mali. Asilimia kubwa ya waume wa ndoa hizi hulea watoto wasio wao. 8. NDOA YA KWASABABU. Hufungwa ili mradi muoaji au muolewaji aonekane tu kwa jamii kuwa naye kaoa au kaolewa. Huwa hazina utii wala upendo dhati. Ndoa ya aina hii ikifikisha miaka 4 huwa hazivunjiki wahusika huishi kwa mazoea. 9. NDOA YA UPENDO. Ndoa hizi ziliishia mwaka 1978 kabla ya vita vya Kagera. Muoaji na muolewaji hawakuangalia vitu ila utu tu ambao uliwaunganisha na kutengeneza upendo wa kudumu. Hii ilidumu miaka yote. 10. NDOA KUCHUMA Ndoa hii ufungwa ili mradi muoaji au muolewaji akapate kitu au vitu fulani kutoka kwa upande mmoja wapo. Hii hudumu miaka kadhaa kutegemea na malengo ya mhusika. Wengine husubiri mpaka mhusika afe, lakini hujikuta wanakufa wao kwanza. Kuwa mwangalifu #ChekanaZephiline https://www.instagram.com/p/COWDWwzpvj2/?igshid=120puyp8ij3ea
0 notes
Photo
NGOJA TUTAFAKARI...... Mathayo 5:28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. huu mstari ukiusoma unasema,,,,,, mwanaume akimtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini nae moyoni mwake ni rahisi kwa msichana kusema huu mstari haumuhusu na kuendelea mbele...... ni rahisi kabisa mtu kusem mstari huu una wahusu wanaume tuu, kwahyo hauwezi kumbadilisha mwnamke.... lakini ebu rudia tena kuusoma ..... *amekwisha kuzini nae moyoni mwake....* huyu nae ni nani?.................. bila shaka nimwanamke.... yaani mwanaume amezini na mwanamke bila ridhaa ya mwanamke...... duuu🤔.. ok, hata hivyo ni jambo la rohoni ,,, huyu mwanaume amewaza na unajua katika roho tukitamani kufanya kitu, kile kitu kinaaza kufanyika..... na kwakuwa mwanaume amemtamani mwanamke, anachofanya anaibeba sura ya yule mwanamke katika nafsi yake na kunza kuijengea fikra za uzinzi... hiki kitendo kina athiri sana nafsi ya huyumwanamke.... wakati mwingine hajui, ila akitulia au akilala ataona usumbufu kwenye nafsi yake..... au kuota ana lala na watu asio wajua au aliokutana nao sehemu flani...... Yeremia 18:18b....Njoni, na tumpige kwa ndimi zetu, wala tusiyaangalie maneno yake yo yote. unaweza kuona namna watu walikaa na kumsema Yeremia, hata yeremia akaumia..... ni kwakuwa walinuia mabaya kwaajili yake... watu wanapopata sababu ya kukufanyia ubaya, Mungu anakulinda... maana amesema hivyo.... Isaya 54:17... kila silaha itakayofanyika haitafanikiwa.... kila ulimi utakao inuka kinyume chako uta uhukumu kuwa ni mkosa.... ...............ila kwanini mwanaume azini na mtu asie na hatia na mtu yule aathirike...??? ni kwakuwa mtu yule amehusika katika hilo.... yule dada alie zini nze, ametengenza mazingira hayo, ila hakuona kuwa inadhuru nafsi yake, amevaa mavazi ya kuchochea hisia, amejiweka katika namna ya kuhadaa watu... ila asijue anaichoma nafsi yake mwnyw... anafanya watu wacheze na nafsi yake........ huu ndio mtego wa shetani........... ila kama akiweza kufanya yaliyo sawa na kujisitiri, basi yaliyo baki Mungu ata ya simamia. .................... 🙏 NI RAHISI KUUPITA HUO MSTARI... https://www.instagram.com/p/CLB7sKlBXSv/?igshid=qcot6q7whhwi
0 notes
Video
youtube
“Kupita Katika Mtego” – Jinsi Mungu Anavyomwokoa Mwanadamu Kutoka kwa Us...
0 notes
Text
JE, WEWE UNAMTEGEMEA NANI KUSHINDA?.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia na Subscribe.
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
Tutafakari kwa pamoja na ujibu wewe binafsi. Je unamtegemea nani kushinda?
.....Ee MUNGU wangu, Nimekutumaini Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda.
...... Zaburi 25:2.......
Ni kitu rahisi sana "KUMWAMINI MUNGU YUPO NA ANATENDA, LAKINI USIMTEGEMEE YEYE!".
Mfano.
Una watoto shuleni, wakasimamishwa masomo, kwa sababu ya kukosa Ada, na ukapewa siku tatu tu, Usipokamilisha ada yao watafukuzwa kabisa shule.
Mbele yako wapo wawili wanaoweza kukulipia Ada yaani yupo
MUNGU........na .......MTU MWENYE FEDHA. Utamwendea nani?????
Kati ya watu zaidi ya Mia moja niliowauliza swali hili walijibu wataenda kwa mwenye Fedha, ili kutatua tatizo kwanza, kibinadamu wapo sahihi lakini kwa mtu anayemwamini na Kumtegemea MUNGU majibu yake hayawezi kuwa sawa na majibu yao.
Maandiko yanasema nimekutumainia (nimekutegemea) wewe nisiaibike, kwa sababu hiyo usipomtegemea MUNGU, tegemea aibu muda wowote na laana kwa sababu amtegemeaye mwanadamu amelaaniwa. Sikatai kwamba kuna kutegemeana kama binadamu ili kusaidiana ila unapofikia hatua yakabaki majibu mawili yaani MUNGU na mtu usifanye kosa ukamchagua mtu.
Ukipewa fedha na mwenye Fedha ni kweli anaweza kufikiri unatatua tatizo kumbe anatengeneza aibu yako baadae. Umefungua mlango wa aibu (ingawa wakati huo unaona umeficha aibu) na adui kukutesa, pili unafungua lango la madeni, tatu unafungua lango la hofu kwenye maisha yako, nne lango la heshima linafungwa.
Wengine waliponasa kwenye mtego wa adui mpaka sasa maisha hayana matumaini tena wamekata tamaa, Wengine wanaomba kufa kuliko aibu wanayoiona mbele.
MUNGU amenituma kwako leo, nikwambie USIKATE TAMAA unayo nafasi ya pili ya kumruhusu YESU KRISTO akutawale na uanze upya kumtegemea atakuvusha salama, Yupo kwa ajili yako tu.
Kumtegemea MUNGU ni zaidi ya kumwamini, tegemeo likiondoka kwa MUNGU imani haifanyi kazi, Mtegemee MUNGU mpaka mwisho, hata kama ataruhusu watoto wakafukuzwa, Yeye ndiye aliyewaumba hawezi kukuaibisha anawaandalia shule inayofaa zaidi. Mwamini na mtegemee YESU KRISTO kamwe hautaaibika kamwe, Amina.
Rejea
"O my GOD, in You I [have unwavering] trust [and I rely on You with steadfast confidence], Do not let me be ashamed or my hope in You be disappointed; Do not let my enemies triumph over me"
........Psalms 25:2.......
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
1 note
·
View note