#Mashariki
Explore tagged Tumblr posts
Text
#eid#eid mubarak#eid ul fitr#branding#design#happy holidays#eiduladha#corporatebranding#2024#corporate branding#mashariki brand creations
1 note
·
View note
Text
Mashabiki wa lugha hawa.
Wajerumani wakiongea Kiswahili kama wenyewe.
Kiswahili kimesambaa kweli. Lakini hapo zamani, Kiswahili kilikuwa kinazungumzwa pwani ya Afrika Mashariki pekee, na sana sana katika eneo la Tanzania na Unguja. Kwingineko, Kiswahili imekuwa lugha inayozungumzwa katika sehemu mbali mbali za ulimwengu, zikiwemo Bara Ulaya, Japan, na kadhalika.
Na wenyenji hawa wa Ujerumani ambao walikuwa wamehudhuria kongamano la Kiswahili pale chuo kikuu cha Hamburg, wanathibitisha wazi kwamba mtu yeyote anaweza kukizungumza Kiswahili kama mzaliwa asili wa Afrika.
2 notes
·
View notes
Text
Umaarufu au ubora wa Ligi Kuu Tanzania?
SIFA kubwa wanamwagiwa viongozi wa soka la Tanzania. Kuanzia mashabiki wa Afrika kusini z Zambia,Kenya,DRC,Rwanda na sehemu mbalimbali Afrika mashariki wanamimina pongezi kwa Ligi Kuu Tanzania. Nyota wa zamani wa Simba na Yanga, Bernard Morrison ameimagia sifa Ligi Kuu Tanzania na kudai kuwa imeimarika na kuifanya Taifa Stars kuwa timu yenye wachezaji wazuri. Tanzania imefuzu mashindano ya…
0 notes
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 16: US...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XVI.
----------------------
3. 7. 1. DALILI /VIASHIRIA /MATOKEO YA TABIA YA UCHAWI.
......"Asionekane kwako mtu AMPITISHAYE mwanawe au binti yake KATI YA MOTO, wala asionekane mtu ATAZAMAYE BAO, wala mtu ATAZAMAYE NYAKATI MBAYA, wala mwenye KUBASHIRI, wala MSIHIRI, wala mtu ALOGAYE kwa kupiga MAFUNDO, wala mtu APANDISHAYE PEPO, wala MCHAWI, wala mtu awaombaye wafu. Kwa maana mtu ATENDAYE hayo ni CHUKIZO kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, MUNGU wako, ANAWAFUKUZA mbele yako.
......Kumb 18:10-12....
Tuendelee na dalili au viashiria au matokeo ya tabia ya Uchawi. Leo tuendelee na...
2. "UAGUZI - DIVINATION"
Uaguzi ni mbinu za kuwasiliana na nguvu zisizo za kawaida (giza) ili kupata ujuzi, taarifa au tukio lijalo.
Uaguzi ni mazoezi ambayo yanatafuta kuona mbele au kutabiri matukio yajayo au kugundua maarifa yaliyofichwa kwa kufasiri ishara au kwa msaada wa nguvu zisizo za kawaida, ufahamu usio wa kawaida (nguvu /ufahamu wa giza).
......Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja aliyekuwa na PEPO WA UAGUZI akatukuta, ALIYEWAPATIA bwana zake FAIDA NYINGI kwa KUAGUA. Akamfuata Paulo na sisi akipiga kelele, akisema, WATU HAWA ni WATUMISHI WA MUNGU ALIYE JUU, wenye KUWAHUBIRI NJIA ya WOKOVU. Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo AKASIKITIKA, AKAGEUKA akamwambia yule PEPO, Nakuamuru kwa JINA la YESU KRISTO, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile.
....Mdo 16:16-18....
Nataka uone mtu anaweza kufanya uchawi (Uaguzi) mzuri na ukawa kweli tupu, Wakina Paulo ni watumishi wa MUNGU na wanahubiri Injili inayookoa na kijakazi aliagua hivyo wazi. Unaweza kufurahia kujua baadhi ya vitu na kufika mahali kwenye maisha yako kila kitu lazima unaenda kuuliza (kuagua) na kujengeka kama tabia
Lakini
Lazima ujiulize.... Je ni Roho Mtakatifu anayetumika au roho za giza zinazonielekeza cha kufanya?
Fikiri kama hawa watumishi wangelewa sifa za kijakazi mwaguzi, kingetokea nini?. Usifurahie uchawi utakutesa.
3. "RAMLI - "
Ramli ni utabiri unaofanywa na wataalamu wa giza kwa kutumia nyota au vifaa vingine ili kutambua yajayo. Na kuna njia nyingi za kupiga ramli kama vile (....Kusoma saa, ....Kusoma shikeli, ....Kuita majini au mapepo, nk). Ukitenda jambo hili MUNGU anakuacha kabisa kwa sasa ni chukizo kwa MUNGU.
.....Maana wewe (MUNGU) UMEWAACHA watu wako, nyumba ya Israeli, KWA SABABU wamejaa kawaida za mashariki, NAO NI WAPIGA RAMLI kama Wafilisti, na wanapana mikono na wana wa wageni.
......Isaya 2:6....
4. "KUOMBA WAFU"
Zingatia.....Kuna tofauti kati ya KUOMBA WAFU na KUWAOMBEA WAFU..... Kumbuka kuna watu wanakufa wakiwa na Neema ya wokovu na kuna watu wanakufa wakiwa wameikataa Neema ya wokovu. Leo sitazungumzia tofauti hizo, ila tuendelee na kiashiria cha kufanya uchawi yaani Kuomba wafu.
Kuomba wafu ni hali ya kuuliza wafu yaani kufanya mawasiliano na wafu yaani kuongea na watu waliokufa. Mtu akiisha kufa hajui chochote wala hana msaada, bali anahitaji msaada wa MUNGU tu.
.....Walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini WAFU HAWAJUI NENO LO LOTE, wala HAWANA IJARA tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
....Mhubiri 9:5.....
Nini kinatokea wanapoenda kuomba wafu wakasikia sauti au kutokewa na wafu?. Ukweli wafu hawezi kuongea wala kufanya chochote, ila shetani anachokifanya anatumia mawakala zake (Mizimu /Mapepo) ambayo uigiza sauti ya marehemu unayemwomba au kujigeuza sura yake na kifanana kabisa naye, na wengine hutokewa mpaka kwenye ndoto.
Unaporuhusu hali ya kuzungumza na wafu, unazungumza na Mapepo sio wafu, maana wafu hawatambui chochote wala hawawezi kuongea, kimbia tabia za uchawi.
5. "USHIRIKINA - SUPERSTITION"
Ushirikina ni kitendo cha kwenda kutafuta msaada wa kiroho au wa kimwili katika mamlaka ya giza na kumiliki vitu vya kichawi (irizi, Dawa, nguo, nk). Nikisema mamlaka ya giza namaanisha kwa shetani na mapepo na majini yake yote yanayofanya kazi kupitia watu wanaoitwa waganga au wachawi.
Ushirikina ni tabia inayokufanya uwe mchawi jumla, maana kujenga ushirika na uchawi nawe ni mwenzao tofauti yenu mnatofautiana viwango vya nguvu, Kimbia uchawi kwa kuacha Ushirikina.
.....Hamwezi kushirikiana katika meza ya BWANA na katika meza ya mashetani. Au twamtia BWANA wivu? Je! Tuna nguvu zaidi ya YEYE?
......1Kor 10:21-22.....
6. "MATAMBIKO - "
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"Do we [really] provoke the LORD to jealousy [when we eat food sacrificed to handmade “gods” at pagan feasts]? Are we [spiritually] stronger than HE? [Certainly not! He knows that the idols are nothing. But we deeply offend Him.]"
.....1 Corinthians 10:22.....
________________________________
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
KILIMO CHA ZA ZABIBU DODOMA | ZAO LA ZABIBU DODOMA
Dodoma ndio mkoa pekee unaolima Zabibu kwa wingi nchini Tanzania na hata kwa afrika mashariki ndio mkoa wenye utajiri mkubwa wa zao hili.
Kilimo cha zabibu kinahitaji mvua za wastani japokuwa dodoma inajulikana kwa ukame ila ardhi yake ina hifadhi maji kwa kipindi kirefu sana kwahiyo kwa mvua zinazonyesha kuanzia desemba mpaka machi zinatosha kwa kuhudumia mizabibu mpaka mwezi wa julai kulekea kipindi cha mavuno.
#zabibu #kilimochazabibu #sokolazabibu #zabibuzakukausha #zabibuza #rape #rapefarming
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
Website
Https//www.joack.co.tz
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joackcompany.business.site/
#joack #joackcompany #joackvetcenter #Kilimo #kilimotz #mifugo #mifugotz #mbogamboga #tanzania🇹🇿 #kilimo #agricultural #tanzania #papai #nyanya #vitunguu #daressalaam #morogoro #tango #tikiti #karoti #piripiri #farming #viazilishe
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

TUNAUZA PAKA WA KIZUNGU AINA YA PERSIAN CAT IRANIAN CAT / SHIRAZ CAT.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
PERSIAN CAT kwa jina lingine wanaitwa Persian longhair, hawa ni paka wenye manyoya marefu, sura ya duara na pua fupi.
Kwa nchi za mashariki ya kati huwa wanawaita Iranian cat, na Iran huwa wanaita Shiraz cat.
Hawa paka asili kwenye jangwa la Persia na Iran.
Hawa paka walitambulika kwa mara ya kwanza walipo ingizwa nchini Italy kwenye mwaka 1920.
British ndio watu wa kwanza kuwafuga hawa paka na baadae wamarekani wakaanza kuwazaliasha baada ya vita kuu ya pili ya Dunia.
Aina hii ya paka inapenda sana kuwa karibu na watu, ni paka wapole sana na wasafi lakini pia nirahisi kuwatumza.
Persian cat anaweza kuishi miaka 15 hadi 20.
#paka #cats #pakawakizungu #pakawakisasa
#pakawamanyoya #persian #persiancats #ufugajiwapaka #pets #domesticcats #petcats #beuftulcats #mobilepetclinic #animalsclinic #pethospital #hospitaliyawanyama #veternarian #vetdoctor #animaldoctor #doctorofanimals
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375
(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://www joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #dodoma
JOACK COMPANY LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
Kufurahia Mandhari ya Kipekee ya Tanzania: Kilimanjaro, Zanzibar na Zaidi
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye mandhari ya kuvutia duniani. Kuanzia milima ya Kilimanjaro hadi fukwe za Zanzibar, kuna mengi ya kufurahia katika nchi hii ya Afrika Mashariki. Mandhari ya Tanzania ni ya kipekee na inakupa fursa ya kufurahia maumbile ya asili na uzuri wa mazingira.Kwa wapenzi wa utalii wa asili, Tanzania ni mahali pazuri pa kufurahia mandhari ya kuvutia. Unaweza kufanya safari…
0 notes
Text
Did you know that Pangani is a historic town and capital of Pangani District in the Tanga Region of Tanzania.The town lies 45 km south of the city of Tanga, at the mouth of the Pangani River in which the town is named after. Administrately the town Pangani is situated within two wards, Pangani Mashariki and Pangani Magharibi. The town is currently the largest settlement in Pangani District and is a major tourist attraction in Tanga region and is a home to Muhembo, a Tanzanian National Historic Site.
1 note
·
View note
Text
0 notes
Text
Upaukaji
Upaukaji ni matumizi ya kemikali kama vile hydroquinone, tretinoin, corticosteroids, n.k. kwenye ngozi. Ili kupunguza giza, matangazo ya ngozi, ishara za kuzeeka na kubadilika kwa ngozi. Kimsingi, mchakato huu unaweza kuagizwa na madaktari ikiwa wanahitaji kutokana na matatizo ya ngozi. Katika hali sawa na rangi ya rangi inayosababishwa na jua, matangazo ya ngozi au matatizo ya rangi, matumizi ya wakala wa ngozi ya ngozi inaweza kuwa sahihi kwa maoni ya madaktari wa kitaalam.
Lakini unapaswa kuwa makini sana kuhusu watoto na kutumia mawakala wa blekning kwa ngozi zao. Ngozi ya watoto ni nyeti sana na yenye maridadi, na uingiliaji mwingine wa kemikali kwenye ngozi yao unaweza kuwa na madhara makubwa. Aidha, matumizi ya nyenzo nyeupe kwa watoto hubeba hatari hatari kutokana na ukosefu wa maendeleo ya ngozi na usalama wa mfumo.
Kazi bora zaidi ya kupandikiza kaskazini mashariki mwa Tehran Kazi bora ya kupandikiza kwa walinzi Kazi bora ya kupandikiza huko Shamsabad Kipandikizi bora cha kazi cha Narmak Kazi bora ya kupandikiza katika Tehran Pars
Ikiwa una wasiwasi juu ya ngozi ya mtoto wako, ushauri bora ni kuona dermatologist ya watoto. Wanaweza kutathmini matatizo ya ngozi ya mtoto na kupendekeza njia salama na matibabu ya kutunza na kutibu ngozi ya watoto. Njia na suluhisho zisizo za blekning zinaweza kutumika kusafisha meno, ambayo ni bora kwa usalama. Mbinu hizi ni pamoja na:
Kubadilisha tabia ya afya ya kinywa na meno: kusaga meno mara kwa mara na sahihi kwa mswaki na dawa ya meno, kutumia chini ya mkeka wa meno na kusafisha ulimi kunaweza kusaidia kudumisha na kuboresha rangi ya asili ya meno.
Kula vyakula na vinywaji vyenye afya: Kula vyakula na vinywaji kama vile matunda na mboga zilizo na nyuzinyuzi nyingi, juisi za matunda, maziwa, mtindi, na vyakula ambavyo kwa asili hupunguza asidi ya tumbo vinaweza kusaidia kuhifadhi rangi ya meno. . polepole kamili
Matumizi ya uzi wa meno: Matumizi ya mara kwa mara na sahihi ya uzi wa meno husaidia kusafisha sehemu za kati ya meno na kuzuia mrundikano wa madoa kwenye meno.
Utumiaji mdogo wa vyakula vilivyobadilika rangi: Matumizi machache ya vitu kama vile kahawa, chai, nikotini na vinywaji vyenye kaboni inaweza kusaidia kuzuia kubadilika rangi kwa meno.
Kusafisha meno kitaalamu: Kusafisha meno mara kwa mara na kitaalamu na daktari wa meno kwa kutumia vifaa na teknolojia inayofaa kunaweza kusaidia kudumisha na kuboresha rangi ya meno.
Kuepukwa kwa mawakala weupe wa kinywa: Viungo katika baadhi ya mawakala weupe wa meno kama vile sodium bicarbonate na asidi ya matunda (kama vile limau) huharibu meno kwa muda mrefu.
Hatimaye, ni muhimu kutafuta ufumbuzi na matibabu salama ili kuhifadhi na kuboresha rangi ya meno. Kabla ya kuamua juu ya kufanya meno kuwa meupe, inashauriwa kushauriana na daktari wako wa meno ili kupata suluhisho bora kwa hali yako.
0 notes
Text
Notebooks and 2023 Diaries are available at Mashariki Brand Creations.
#corporate Merchandising#corporate#corporate gifts#corporatebranding#corporatemerchandise#notebooks#2023#gift items#giftshop#corporate merchandise gift#unique gifts#giftbox#giftideas#giftforher#giftforhim#merchant#Mashariki merchandise hub
1 note
·
View note
Text
TUNAUZA PAKA WA KIZUNGU AINA YA PERSIAN CAT IRANIAN CAT / SHIRAZ CAT.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
PERSIAN CAT kwa jina lingine wanaitwa Persian longhair, hawa ni paka wenye manyoya marefu, sura ya duara na pua fupi.
Kwa nchi za mashariki ya kati huwa wanawaita Iranian cat, na Iran huwa wanaita Shiraz cat.
Hawa paka asili kwenye jangwa la Persia na Iran.
Hawa paka walitambulika kwa mara ya kwanza walipo ingizwa nchini Italy kwenye mwaka 1920.
British ndio watu wa kwanza kuwafuga hawa paka na baadae wamarekani wakaanza kuwazaliasha baada ya vita kuu ya pili ya Dunia.
Aina hii ya paka inapenda sana kuwa karibu na watu, ni paka wapole sana na wasafi lakini pia nirahisi kuwatumza.
Persian cat anaweza kuishi miaka 15 hadi 20.
#paka #cats #pakawakizungu #pakawakisasa
#pakawamanyoya #persian #persiancats #ufugajiwapaka #pets #domesticcats #petcats #beuftulcats #mobilepetclinic #animalsclinic #pethospital #hospitaliyawanyama #veternarian #vetdoctor #animaldoctor #doctorofanimals
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #dodoma
JOACK COMPANY LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
Kuelekea Mechi Ya Watani Simba Dhidi Ya Yanga
Wakati tunaelekea katika moja kati ya mchezo ambao unavuta hisia kubwa sana za mashabiki wa soka hapa Tanzania na wenye msisimuo mkubwa zaidi Afrika Mashariki na kati, mchezo ambao unawakutanisha vigogo wa soka la Tanzania yaani Simba na Yanga Kuna baadhi ya mambo ambayo sitegemei kuyaona kabisa na naomba nikiri wazi kuwa huwa yananichukiza. Huu ni Moja kati ya mchezo ambao unawakutanisha…
0 notes
Text
KILIMO CHA ZA ZABIBU DODOMA | ZAO LA ZABIBU DODOMA
Dodoma ndio mkoa pekee unaolima Zabibu kwa wingi nchini Tanzania na hata kwa afrika mashariki ndio mkoa wenye utajiri mkubwa wa zao hili.
Kilimo cha zabibu kinahitaji mvua za wastani japokuwa dodoma inajulikana kwa ukame ila ardhi yake ina hifadhi maji kwa kipindi kirefu sana kwahiyo kwa mvua zinazonyesha kuanzia desemba mpaka machi zinatosha kwa kuhudumia mizabibu mpaka mwezi wa julai kulekea kipindi cha mavuno.
#zabibu #kilimochazabibu #sokolazabibu #zabibuzakukausha #zabibuza #rape #rapefarming
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 14 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joackcompany.business.site/
#joack #joackcompany #joackvetcenter #Kilimo #kilimotz #mifugo #mifugotz #mbogamboga #tanzania🇹🇿 #kilimo #agricultural #tanzania #papai #nyanya #vitunguu #daressalaam #morogoro #tango #tikiti #karoti #piripiri #farming #viazilishe
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Video
Habari Maalum la Mashariki ya Kati_ Maumivu ya Kuzaliwa: Amir Tsarfati
1 note
·
View note
Text
Upekee wa Utalii wa Tanzania
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye utalii wa kipekee duniani. Kutoka kwa wanyama pori hadi fukwe za kuvutia, kuna mengi ya kufurahia katika nchi hii ya Afrika Mashariki. Moja ya vivutio vya kipekee vya Tanzania ni Serengeti National Park, ambayo ni nyumbani kwa idadi kubwa ya wanyama pori ikiwemo simba, tembo, na twiga. Pia, fukwe za Zanzibar ni maarufu kwa mandhari yake ya kupendeza na maji ya…
View On WordPress
0 notes