#Mara haraka
Explore tagged Tumblr posts
egyptiangamer · 9 months ago
Text
Tumblr media Tumblr media
👻🐈‍⬛️Yuuma summon line: "Oh I've always wanted to go to Sunset Savanna! Leona can count on me to make this year's festival fun!"
🐆Mara summon line: "Never thought I lead my own Sunset Warriors. May the great kings guide me this year."
I've waited SO long for Tamashina-mina to come in English dub (I play the English dub version), and now it's here! I will say this, though, I am disappointed with some changes in English, like the event being called Cloudcalling on Savanna, Catch the Tail being Bead Brawl and Kifaj being called Neji instead 😅 but I'm still gonna have a blast! And I'm still trying to get Leona's SSR card. I want it so bad!!!
Some things to note are that Yuuma's beastly garb (that's the name of the outfit in the event) was done a long time ago last winter. Mara was done more recently for two or three days by the time I posted this. I'm definitely gonna need to fix Yuuma's outfit 😅
When I learned that braided hairstyles are popular in Sunset Savanna because of it resembling a lion's tail, I got the idea to include that for both of them. Yuuma and Mara both had their braids done by Leona. Yuuma requested that while Mara got that request from Leona.
Also, this is one of the few times Mara's dreads are loose. Her hair has a natural wavy look. Also, she got abs and some muscle because she trained to be a royal guard so either Leona better watch out or not get distracted by her. Honestly, I'm happy with how these turned out. ♥️♥️♥️♥️
Also, Mara is the leader of her own team in Catch the Tail (she isn't in Leona's team, unfortunately. To be fair, she didn't think he was coming). So she and Leona have to face each other in the Sunset Showdown where the team leaders in charge of the lessons have to face each other. This will be fun 😁
Now to get back to getting Leona's outfit or at least try to 😅😅😅
9 notes · View notes
frontlinetv · 4 months ago
Text
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema ndani ya miezi minne limesafirisha zaidi ya abiria 1,000,000 kupitia treni yake ya kisasa ya SGR, ikiwa ni zaidi ya mara mbili ya waliokuwa wanasafirishwa na treni za zamani kwa mwaka.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Novemba 20, 2024 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Fredy Mwanjala imesema; .
“Shirika limefanikiwa kusafirisha abiria zaidi ya 1,000,000 katika kipindi cha miezi minne tangu uzinduzi wa njia za treni za umeme kati ya Dar es Salaam na Dodoma mnamo Juni 2024.
“Idadi hiyo ni mara mbili ya abiria waliosafirishwa na treni ya zamani (MGR), ambayo ilisafirisha jumla ya abiria 400,000 katika kipindi cha mwaka mmoja,” imesema na kuongeza taarifa hiyo.
Pia, TRC imesema inatambua umuhimu wa huduma hiyo ya kisasa katika kuboresha usafiri, kuongeza ufanisi wa biashara na kutoa chaguo la haraka na salama kwa abiria na hivyo imewataka wananchi kuilinda miundombinu ya reli hiyo.
#frontnewz
#frontlinetv
Tumblr media
0 notes
joackbagamoyo · 4 months ago
Text
TUNAUZA MBUZI WA NYAMA WA AINA YA BOER GOAT KUTOKA SOUTH AFRICA °° I °° WE SELL BEEF GOAT
Fahamu kuhusu Boer Goats °I° Mbuzi wa nyama °I° Mbuzi Wanaozaa Mapacha
Call/Text/WhatsApp: 0655 057 323
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani
ASILI
Kiasili ni #mbuzi wa Afrika ya kusini ingawa ndani yake kuna damu toka bara Ulaya na India
Hii ndio mbegu kubwa Zaidi ya mbuzi wa nyama ukilinganisha na wengine.
Pia wanazalisha kiwango kikubwa cha maziwa ingawa wanafaa zaidi kwa nyama.
RANGI
Wana mwili wenye rangi nyeupa na kichwani wana rangi nyekundu au hudhurungi (brown) ingawa wapo weupe kabisa au wekundu/hudhurungi kabisa na hii hutokea kwa 0.001%
UMBO
Wana umbo kubwa kufikia kilo 110-135 kwa madume Kilo 90-100 kwa majike
Wana masikio yaliyolala kama #mbuzi wa kinubi (Nubians)
UZAZI
Huwa wanazaa mapacha na huweza kuzaa mara 2 kwa mwaka
Majike ni wazazi na walezi wazuri wa watoto sababu wana maziwa ya kutosha.
Watoto hukua haraka sana, na nia aina ya mbuzi ambao sio wakorofi (docile)
Kwenye baridi kali au joto kali huwa inawaathiri kwenye kubeba mimba.
#mbuzi #mbuziwanyama #nyama #boer #boergoats #mbuziainayaboergoat #beefgoat #boaergoat
Mbuzi hawa wanasifa nyingi ila hizo ni chache tu, kama unahitaji aina hii ya mbuzi wasiliana nasi kupitia
Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323
(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #mbuzi #mbwa #daressalaam #morogoro #tanzania #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #dodoma #ufugajiwambuzi #magonjwayambuzi #mbuziwakisasa
0 notes
shilohmediatanzania · 6 months ago
Text
Tumblr media
Dagaa, ambao ni samaki wadogo wa maji baridi na baharini, wanayo faida nyingi kwa afya na lishe. Hapa kuna faida kumi za dagaa:
1. **Matajiri wa Protini**: Dagaa ni chanzo kizuri cha protini, inayosaidia ukuaji wa misuli na uimarishaji wa mwili.
2. **Mafuta Bora**: Wanakamilika na asidi ya mafuta ya Omega-3, ambayo ni muhimu kwa afya ya moyo na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
3. **Vitamini**: Wana vitamini muhimu kama vile vitamini A, D, na B12, ambazo zinasaidia katika afya ya ngozi, mifupa, na mfumo wa neva.
4. **Madini**: Wanatoa madini muhimu kama kalsiamu, chuma, na zinc, ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa, damu, na mfumo wa kinga.
5. **Kipande cha Mlo**: Dagaa ni chakula chenye kalori chache na kilichojaa virutubisho, hivyo husaidia kudumisha uzito mzuri wa mwili.
6. **Hudhibiti Viwango vya Shinikizo la Damu**: Omega-3 katika dagaa husaidia kupunguza shinikizo la damu na kuboresha afya ya moyo.
7. **Viongeza Nishati**: Kwa kuwa ni chanzo cha protini, dagaa hutoa nishati ya haraka kwa mwili.
8. **Kupunguza Hatari ya Magonjwa**: Omega-3 na viambata vingine vya dagaa vinasaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na kansa.
9. **Afya ya Ngozi**: Vitamini na mafuta yaliyojaa katika dagaa yanaweza kusaidia kuboresha afya ya ngozi.
10. **Urahisi wa Kupatikana na Gharama Nafuu**: Dagaa wanapatikana kwa urahisi na mara nyingi ni nafuu kuliko aina nyingine za samaki.
Kila faida inachangia afya bora na ustawi wa mwili kwa jumla.
1 note · View note
joackanimalclinic · 9 months ago
Text
TAHADHARI: FAHAMU KUHUSU UGONJWA HATARI KWA MBWA KIPINDI HIKI CHA MVUA
Mbwa wengi wamekuwa wakiumwa gafla na hawamalizi wiki wanakufa kutokana ugonjwa unaoitwa Canine Leptospirosis.
Leptospirosis ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bakteria aina ya Leptospira spp.
Ugonjwa huu unaharibu figo na ini na kusababisha kifo kwa haraka.
Hawa bakteria wanaweza kukaa kwenye maji yalio tuama au udongo wenye unyevu kwa mda mrefu.
Mbwa atapata ugonjwa huu kutoka kwenye udogo, maji au mkojo wenye vijidudu hivi na vijidudu huingia kupitia mdomo, pua, macho(eyelid) au kwenye michubuko.
Bakteria wakiingia wanajizalisha kwenye damu na kusambaa sehemu za mwili, kama ini na figo na wanasababisha uaribifu mkubwa wa viungo ivo.
Dalili
1. Mbwa hukosa nguvu, hamu ya kula kupungua, kutapika, homa kali na anakuwa na kiu sana.
2. Anaweza kutoa matapishi yalio changanyika na matone ya damu na kinyesi lani chenye rangi ya udongo/dark brown.
3. Anaweza kojoa mkojo wenye damu japo sio sana hii dalili, figo inaweza kufeli kufanya kazi.
4. Kupumua kwa shida
5. Jaundice: Sehemu za ndani ya mdomo huwa za njano, macho pia na mapajani na ndani ya mara nyingi ndani ya siku chache mbwa anakufa
Wanyama watao pona wanaweza kuwa na tatizo la kudumu la figo.
Ugonjwa huu unaweza kutoka kwa mnyama kwenda kwa binadamu yani ni Zoonotic Disease.
Ugonjwa huu huwa unatokea maranyingi kipindi cha mvua
JOACK Vet Center tunatoa huduma za kitaalamu kama tiba ya mifugo na chanjo ili kuhakikisha wanyama wako wanakuwa salama na wewe unakuwa salama pia.
#joack #joackvetcenter #joackcompany #mifugo #mifugotz #parvo #kilimotz #mobilepetclinic #animaltreatment #animalsclinic #magonjwayambwa #hospitaliyawanyama #leptospirosisindogs #animaldoctor #doctorofanimals
Hayo ni machache tu, kama unahitaji msaada zaidi, huduma za kitaalamu, tiba ya mifugo au ushauri wasiliana nasi kupitia:
Simu:
+255 658 40 80 08 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #clinicyamifugo #mbwa #cathospital #doghospital #madawa #madawayamifugo #kituochaafyayamifugo
JOACK Animal Clinic
0 notes
joackcompanytz · 9 months ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA MBUZI WA NYAMA WA AINA YA BOER GOAT KUTOKA SOUTH AFRICA °° I °° WE SELL BEEF GOAT
Fahamu kuhusu Boer Goats °I° Mbuzi wa nyama °I° Mbuzi Wanaozaa Mapacha
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani
ASILI
Kiasili ni #mbuzi wa Afrika ya kusini ingawa ndani yake kuna damu toka bara Ulaya na India
Hii ndio mbegu kubwa Zaidi ya mbuzi wa nyama ukilinganisha na wengine.
Pia wanazalisha kiwango kikubwa cha maziwa ingawa wanafaa zaidi kwa nyama.
RANGI
Wana mwili wenye rangi nyeupa na kichwani wana rangi nyekundu au hudhurungi (brown) ingawa wapo weupe kabisa au wekundu/hudhurungi kabisa na hii hutokea kwa 0.001%
UMBO
Wana umbo kubwa kufikia kilo 110-135 kwa madume Kilo 90-100 kwa majike
Wana masikio yaliyolala kama #mbuzi wa kinubi (Nubians)
UZAZI
Huwa wanazaa mapacha na huweza kuzaa mara 2 kwa mwaka
Majike ni wazazi na walezi wazuri wa watoto sababu wana maziwa ya kutosha.
Watoto hukua haraka sana, na nia aina ya mbuzi ambao sio wakorofi (docile)
Kwenye baridi kali au joto kali huwa inawaathiri kwenye kubeba mimba.
#mbuzi #mbuziwanyama #nyama #boer #boergoats #mbuziainayaboergoat #beefgoat #boaergoat
Mbuzi hawa wanasifa nyingi ila hizo ni chache tu, kama unahitaji aina hii ya mbuzi wasiliana nasi kupitia
Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #mbuzi #mbwa #daressalaam #morogoro #tanzania #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #dodoma #ufugajiwambuzi #magonjwayambuzi #mbuziwakisasa
0 notes
joackcompany · 2 years ago
Text
TUNAUZA NGOMBE WA NYAMA AINA YA BORANI | IMPROVED BORAN
WhatsApp/Call/Text: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-DSM na Bagamoyo
Boran cattle ni ng'ombe ambao asili yake ni kaskazini mwa Kenya karibu na mipaka ya somalia.
Ngombe hawa walishamiri zaidi Kenya na kukawa na taasisi ya Kenyan Boran Cattle Breeders' Society (BCBS) ambao kazi yao zaidi ni kuzalisha mbegu Bora za Borani "improved Borani"
Borani wana umbo la wastani na kimo chake ni 114cm hadi 147cm.
Borani wanaweza kuwa na mapembe au wasiwe na mapembe.
Uzito wa dume ni 500kg hadi 850kg na majike ni 380kg to 450kg.
Ngozi yao imejiachia na ni nene, hivyo huwasaidia kupambana na hali ya joto pamoja na wadudu kama kupe.
Sifa nyingine za Boroni
1. Ni mkubwa kuliko ng’ombe wa kienyeji.
2. Kiwele cha wastani na chuchu ni kubwa kidogo
3. Ndama huwa wa wastani (kilo 25 – 28) kwa hiyo hakuna matatizo wakati wa kujifungua lakini watoto hukua haraka na ni mara chache sana kufariki
4. Anahimili hali ya mazingira ya Afrika (joto na magonjwa).
5. Jike anaweza kuzaa bila matatizo mpaka akiwa na miaka 15, madume yanauwezo wa kuzalisha mpaka miaka 16
6. Majike hubalehe baada ya siku 385
7. Ni wapole na wenye nguvu kwa hiyo hufaa kwa shughuli za kulima na kukokota mikokoteni (maksai)
8. Anaongezeka uzito haraka hata kama anakula majani makavu, majike yanayo nyonyesha hupungua uzito kidogo sana kipindi cha kunyonyesha
9. Wanakula kwa mshikamano na hawatawanyiki wakiwa machungoni kiasi kwamba inakuwa vigumu kumuiba mmoja au kumtenganisha na wenzake
#boran #borani #ngombeborani #ngombewanyama #tunauzaborani #tunauzangombewanyama #boranicattle #ufugajiwaborani #mbeguzaborani #kenyanborani #tanzaniaborani #uzalishajiwanyama #nyamayangombe
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #mifugo #mifugotz #tanzania #Dodoma
JOACK CO. LTD | DSM & Bagamoyo
Tumblr media
0 notes
kiswahilichetu · 2 years ago
Text
Kuadhimisha Miaka Minne ya Utoaji wa Ndege zisizo na rubani nchini Ghana.
Tumblr media
Miaka minne iliyopita, Serikali ya Ghana ilizindua utoaji wa papo hapo wa Zipline. Nchi hiyo imeunda mfumo mkubwa zaidi wa utoaji huduma unaojiendesha duniani ambao unahudumia zaidi ya vituo 2,600 vya afya kote nchini Ghana.
Mnamo 2022, mkulima anayeitwa Ekua alikuwa akiugua damu na maumivu makali ya tumbo. Alipoenda katika Hospitali ya St. Michael huko Pramso, wahudumu wa afya waligundua kuwa hawakuwa na plasma mpya iliyogandishwa, au FFP - bidhaa ambayo inaweza kumzuia kuvuja damu.
Kwa bahati nzuri, St. Michael's ni mojawapo ya zaidi ya vituo 2,600 kote Ghana ambavyo hupokea bidhaa za matibabu kutoka kwa ndege zisizo na rubani za Zipline.
"Tulipigia simu Zipline, na katika muda wa dakika 20 hivi waliweza kutuletea uniti mbili za FFPs na uniti tatu za damu," anasema Dk. Philip Agyemang-Prempeh, ambaye alimtibu Ekua. Hii ilimaanisha kuwa wangeweza kumtibu mara moja, badala ya kumpeleka katika hospitali nyingine akiwa na FFPs akiba.
"Kama tungetaka kumpa rufaa, ingekuwa changamoto kwa sababu hatukuwa na gari la wagonjwa hapa katika kituo chetu," alisema, akiongeza kuwa kumhamisha kungechukua muda mrefu zaidi ya dakika 20. "Nadhani maoni [ya Zipline] yalikwenda mbali katika kuokoa maisha ya Ekua."
Katika miaka minne iliyopita, Zipline imefanya kazi na Serikali ya Ghana kukua kutoka kituo kimoja cha usambazaji hadi sita. Pia imeongeza kwa kasi idadi ya wanaojifungua, bila gharama ya ziada kwa serikali: Mnamo 2019, Zipline ilileta wastani wa usafirishaji 375 kwa mwezi. Kwa miaka mingi, wastani wa utoaji wa kila mwezi umeongezeka kwa mara 44, na kufikia 17,000 mnamo 2023.
Leo, Zipline inaajiri zaidi ya Waghana 200 na imefikisha zaidi ya 350,000 katika vituo vya afya katika mikoa 13. Mpango huo pia umepanuka kwa kesi mpya za utumiaji. Ingawa Zipline ilizinduliwa kimsingi kutoa chanjo, sasa inajumuisha bidhaa kadhaa kutoka kwa vifaa vya matibabu hadi antivenin.
Ili kuwasilisha dawa ya kuua sumu mwilini, Zipline huihifadhi katika ghala kuu, iliyohifadhiwa kwa friji - kuzuia wahudumu wa afya kulazimika kuihifadhi kwenye tovuti na inaweza kuisha muda wake. Madaktari wanaoagiza antivenin hupokea ndani ya saa moja, ambayo huwawezesha kutibu wagonjwa haraka, kuzuia sumu kuenea, ambayo inaweza kusababisha kushindwa kwa figo, kukatwa na hata kifo. Zipline imesafirisha zaidi ya vitengo 5,500 vya antivenom kwa watu kote nchini Ghana tangu Januari 2022.
Kufikia sasa, bidhaa inayoletwa mara kwa mara nchini Ghana ni chanjo. Zipline ilipozinduliwa nchini Ghana walikuja kusaidia kwa usaidizi wa utoaji wa chanjo mara kwa mara wakati nchi ilikuwa chini ya kizuizi wakati wa janga la COVID-19. Tangu wakati huo, Zipline imetoa zaidi ya dozi milioni nane za chanjo za kawaida zikiwemo zile za pepopunda, polio, surua na uti wa mgongo, pamoja na zaidi ya dozi milioni mbili za chanjo za COVID-19.
Muhimu zaidi, tangu Januari 2022, Zipline imewasilisha zaidi ya maagizo 3,600 kwa wagonjwa walio katika hali mbaya, na hivyo kuokoa maelfu ya maisha. Utimilifu wa Zipline na timu za ndege hujibu maagizo muhimu kwa haraka sana, kuandaa, kufunga na kuzindua agizo, kwa wastani, chini ya dakika nane.
Katika miaka minne ijayo, Zipline itaendelea kusaidia msururu wa ugavi wa kitaifa wa Ghana. Zipline na Serikali ya Ghana wanapanga kukuza programu, kuboresha ufikiaji wa bidhaa, kuunda nafasi za kazi za STEM na kupanua kutumia kesi. Lakini sehemu muhimu zaidi ya ushirikiano ni kazi ya Zipline, na Serikali ya Ghana hufanya pamoja kutatua matatizo ya mnyororo wa ugavi kwa matokeo bora ya afya - kuboresha maisha, na kuokoa maisha, kwa maelfu ya Waghana.
0 notes
joettmusic · 5 years ago
Audio
Jifunze Kuimba na Joett: Vocal Drills Volume 2
Volume 2 ni muendelezo wa Vol. 1. Kwa maana ni lazima ufanye Vol. 1 kabla haujafanya Vol. 2. Kwa mara nyingine tena, nita sistiza mfuate maelekezo kama yalivo kwenye toleo hili. Mazoezi haya yana dakika 7. Ukishaweza kufanya haya mazoezi, sasa utakua na mazoezi mawili. Yaani Vol. 1 & 2 katika ratiba yako ya mazoezi ya sauti ya kila siku; na utatakiwa kufanya yote kwa pamoja kufuata mlolongo huo huo wa Vol. 1 kuingia Vol. 2. Kumbuka, madhumuni ya haya mazoezi ni ku re-balance sauti yako, au kurekebisha matumizi ya sauti yako ili uweze kuimba kwa urahisi kwenda juu na kwenda chini; na mpangilio na ratiba hii ndio itaweza kukupa wewe huo uwezo kwa njia ya haraka na salama zaidi. Tafadhali usianze kukurupuka na ku-download vitu olela kwenye internet. Tafadhali fuata maelekezo yangu na mazoezi niliokuandalia ili uweze kupata mafanikio ya uhakika. Kwa maelekezo zaidi soma makala zangu hapa!
Mifano ya video utaikuta Facebook (bofya hapa)
Ku-download mp3 kutoka Archive (bofya hapa!)
Muongozo wa Mazoezi
Tumia chombo cha muziki cha kupigia CD/Flash; au kama unatumia simu yako ya mkononi, hakikisha unaunganisha na speaker kupata sauti kubwa kulingana na sauti yako ukiimba.
Marufuku kutumia NGUVU na haya mazoezi. Angalia mifano ya video.
Fanya mazoezi ndani ya chumba na sio kwenye maeneo ya wazi, wala sio kwa kutumia simu yako ya mkononi na headset zake masikioni.
Kujifunza kuimba online inataka kujituma. Darasani pia inataka kujituma na kuhudhiria madarasa. Katika njia zote mbili, wanafunzi wengi wakitanzania hughairi. Inataka mtu unajijengea tabia ya kufanya mazoezi.
Jitengenezee ratiba. Hata kama ni siku moja kwa wiki. Baada ya muda unazoe. Na inakua jambo rahisi kutekeleza bila ya kuona uzito.
Na la mwisho kabisa, kumbuka, mazoezi ya sauti hayana mwisho. Ni endelevu.
Nawatakia mafanikio mema!
JOETT -- Mwalimu wa Sauti
Tumblr media
2 notes · View notes
deadassdiaspore · 3 years ago
Photo
Sudan: Eritrean Refugees
Eastern Sudan hosts 112,283 Eritrean refugees – 83,499 of whom live in camps and 28,784 in urban situations. The first refugees arrived in 1968 fleeing Eritrea’s war of independence with Ethiopia. Over the course of the subsequent thirty-year conflict, successive waves of people fleeing repression, insecurity, famine and drought crossed the border into Eastern Sudan. Although significant numbers of Eritrean refugees returned home after a peace treaty was signed in 2000, ongoing deterioration in the political and human rights situation in Eritrea has again caused many to flee - in some cases for the second time – to Eastern Sudan.
This continued deterioration means voluntary repatriation is not a viable durable solution for Eritrean refugees in Eastern Sudan. Despite the longstanding nature of the Eritrean refugee population in Eastern Sudan, prospects for local integration are also quite limited. Sudan is a signatory to the 1951 Convention, its 1967 Protocol and the 1969 OAU Refugee Convention.
Naturalisation is in principle available to long-term residents. However, living in Sudan as a refugee and being recognized as such by the authorities does not constitute ‘legal residence,’ making it impossible for Eritreans to be naturalised through formal means. Some Eritreans have accessed 
Sudanese citizenship, but have relied on personal connections and significant resources in order to do so. Both UNHCR and NGOs have raised concerns about an increase in the number of kidnappings and trafficking activity targeting Eritrean refugees in Eastern Sudan, in particular in Shagarab camp.
In 2012, 262 Eritrean refugees departed for resettlement from Sudan. For 2014, UNHCR’s resettlement submissions planned for Eritrean refugees represent 2,690 refugees, and UNHCR has projected that all of them are in need of resettlement. UNHCR plans to submit 9,500 Eritrean refugees who arrived in Sudan prior to January 1st 2005, and can be considered as living in a protracted refugee situation, for resettlement. In Europe, Eritrean refugees from Sudan were resettled to the Netherlands, Norway and Sweden.
The implications for Africans escaping conflict whether incited by
Hii haishirikiwi kushiriki katika urembo au kuzama katika udanganyifu wa magharibi wa Mwokozi kuhusu migogoro ya ndani ndani ya mataifa ya Afrika. Watu wa Afrika ni chini ya duress unimaginable wakati wa migogoro mbali zaidi ya uelewa wetu mara nyingi kama kuwa watoto wa hegemony na tovuti ya Inflamed Neo-Colonialsm. Hii ni hasa ikiwa huna uhusiano wa haraka wa kijamii na kitamaduni na watu hawa.
DO NOT SHARE to ignorantly amplify aesthetics of your feed/blog, etc.
Resettling in Europe from the African continent is a horrendously taxing and psychologically violent process. ALBEIT fleeing from life threatening circumstances during warring conflict; this experience of urgency is still non-consensual as is all displacement. Nor should anyone assume safety is promised upon arrival but potentially a deepening of different life threatening circumstances in attempts to regain a sense of community and grounding away from your native land. None of these site locations are in any way exempt from anti-blackness or participation in legislative culling of African people either.
Tumblr media
2K notes · View notes
egyptiangamer · 11 months ago
Text
Tumblr media
Summon: "You invade my territory, MY territory, and then you make jokes?"
Meet Mara Haraka 🐆! A fearless and prideful first year student and a king cheetah beast-woman from Savannaclaw. She is based on the cheetahs from Lion King as well as Fuli and Azaad from Lion Guard.
A bit about Mara is that she is brave and strong but also a loner and has difficulty being social since cheetahs normally hunt and thrive alone. Being in NRC, she learns there is value and benefits of having friends and starts to be more open-minded.
Mara and Leona (who I ship together) are fierce and competitive rivals with each other since lions and cheetahs don't get along too well. What makes it even more difficult for them to get along is that Mara's parents are both members of the royal guard, and she is training to be one. They might have had some small interactions as cubs, but it wasn't frequent until they both attended NRC together.
Some fun facts about Mara:
- Mara and Haraka are both swahili words. Mara means "spotted," and Haraka is "fast, quick, or speedily"
- She is of arabic descent from her father and Sunset Savanna descent from her mom
- Mara is considered the mom of the Savannaclaw dorm. Strict yet caring
- She has a blue henna on her left hand
Note: her hair is supposed to be in dreads. I'm not sure if I did them right because I don't do that hairstyle too much 😅
19 notes · View notes
frontlinetv · 4 months ago
Text
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema ndani ya miezi minne limesafirisha zaidi ya abiria 1,000,000 kupitia treni yake ya kisasa ya SGR, ikiwa ni zaidi ya mara mbili ya waliokuwa wanasafirishwa na treni za zamani kwa mwaka.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Novemba 20, 2024 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Fredy Mwanjala imesema; .
“Shirika limefanikiwa kusafirisha abiria zaidi ya 1,000,000 katika kipindi cha miezi minne tangu uzinduzi wa njia za treni za umeme kati ya Dar es Salaam na Dodoma mnamo Juni 2024.
“Idadi hiyo ni mara mbili ya abiria waliosafirishwa na treni ya zamani (MGR), ambayo ilisafirisha jumla ya abiria 400,000 katika kipindi cha mwaka mmoja,” imesema na kuongeza taarifa hiyo.
Pia, TRC imesema inatambua umuhimu wa huduma hiyo ya kisasa katika kuboresha usafiri, kuongeza ufanisi wa biashara na kutoa chaguo la haraka na salama kwa abiria na hivyo imewataka wananchi kuilinda miundombinu ya reli hiyo.
#frontnewz
#frontlinetv
Tumblr media
0 notes
kilimotanzania · 3 years ago
Text
MAAJABU YA SHUBIRI MWITU KAMA TIBA KWA KUKU
Kuku ni moja ya miradi inayofanywa kwa wingi na watu wa kada mbalimbali, wakiwamo wakulima na wafugaji, na wanaofanya shughuli nyinginezo.
Moja ya changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili na kuzungumziwa mara kwa mara ni magonjwa yanayoshambulia kuku, bila wafugaji kufahamu ni nini cha kufanya.
Kumekuwepo na njia mbalimbali za kutibu kuku, zikiwemo za asili na zisizokuwa za asili. Moja wapo ya tiba rahisi ya asili kwa kuku ni kwa kutumia shubiri mwitu maarufu kama Aloe Vera. Mmea ambao umekuwa ukisifika kwa kutibu magonjwa mbalimbali kwa binadamu, wanyama na ndege.
Shubiri mwitu (Aloe) imekuwa ikitumika kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo. Mmea huu unatumika sasa kutengeneza sabuni, dawa za binadamu na wanyama na mambo mengine mengi. Kwa sababu ya madawa mengi ya kiwandani kushindwa kutibu baadhi ya magonjwa kwa sababu wadudu wametengeza ukinzani, ipo haja kubwa ya kuweka mkazo kwenye madawa ya asili yatokanayo na mimea. Mmea wa aloe vera unauwezo wa kutibu magonjwa ya kuku hasa mharo mwekundu na kwa kiasi fulani mdondo-Newcastle disease.
Tafiti zilizofanyika kwa kutmia mti huu kutibu ugonjwa wa mharo mwekundu-coccidiosis ambao unamadhara makubwa kwa wafugaji wa kuku zinaonesha kuwa mti huu unaweza kutumiwa kama mbadala wa dawa za viwandani. Maji maji ya mmea huu yana uwezo wa kutibu magonjwa na kuponyesha majeraha yanayotokana na maambukizi ya magonjwa pamoja na kupandisha kinga ya kuku kwa asilimia 50 dhidi ya maonjwa mbalimbali.
Kupanda
Mmea wa Aloe vera unaweza kupandwa maeneo ya karibu na mabanda ya kuku ili kurahisisha upatikanaji wake na unakubali maeneo karibu yote.
Shubiri mwitu kwa ukuaji wa kuku
Shubiri mwitu inapowekwa kwenye maji inasaidia kwa kiasi kikubwa kuku kukua haraka. Mililita 15 had 20 za maji ya shubiri mwitu yakichanganywa na lita tano za maji kila siku kwa kuku 90 yana uwezo wa kusaidia ukuaji wa kuku na kuongeza uzito ukilinganisha na wale ambao hawajapewa.
Uandaaji wa Shubiri mwitu Kunywa
Shubiri mwitu (moja) inaweza kukatwe vipande vipande na kulowekwa ndani ya maji ya kunywa kiasi cha lita 1-hadi 3 kutegemeana na idadi ya kuku. Viache vipande hivyo kwenye maji kwa siku kadhaa hadi unapobadilisha maji ndipo uviweke vingine. Ukiweza kuchuja mchuzi wa shubiri mwitu basi unakuwa ukitumia mililita 15 ndani ya lita tano ya maji ya kunywa kuku kwa kuku 90 kama una kuku wachache basi punguza kiasi cha dawa au ongeza kama ni wengi.
Vidonda
Kuku wenye vidonda kama ilivyo kwa ugonjwa wa mdondo (Newcastle Disease) inakubidi utengeneze unga. Kata vipande vidovidogo vya shubiri mwitu kisha changanya na pumba kidogo, vitwange na kuvichekecha ili upate unga laini.
Anika na kisha tunza vizuri tayari kwa kuutumia mara kuku wauguapo. Kuku wenye vidonda waoshwe vizuri kwa maji safi na sabuni pamoja na chumvi kidogo. Baada ya hapo paka unga wa shubiri kwenye vidonda hivyo.
Njia hii ya asili ni nzuri na muhimu sana kwa utunzaji wa kuku, kwa kuwan hupunguza uwezekano wa matumizian ya madawa makali ya viwandani ambayo yana madhara kwa walaji na mazingira.
The post MAAJABU YA SHUBIRI MWITU KAMA TIBA KWA KUKU appeared first on Kilimo Tanzania.
from WordPress https://bit.ly/3fdvrXP via IFTTT
0 notes
shilohmediatanzania · 6 months ago
Text
Tumblr media
Dagaa, ambao ni samaki wadogo wa maji baridi na baharini, wanayo faida nyingi kwa afya na lishe. Hapa kuna faida kumi za dagaa:
1. **Matajiri wa Protini**: Dagaa ni chanzo kizuri cha protini, inayosaidia ukuaji wa misuli na uimarishaji wa mwili.
2. **Mafuta Bora**: Wanakamilika na asidi ya mafuta ya Omega-3, ambayo ni muhimu kwa afya ya moyo na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
3. **Vitamini**: Wana vitamini muhimu kama vile vitamini A, D, na B12, ambazo zinasaidia katika afya ya ngozi, mifupa, na mfumo wa neva.
4. **Madini**: Wanatoa madini muhimu kama kalsiamu, chuma, na zinc, ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa, damu, na mfumo wa kinga.
5. **Kipande cha Mlo**: Dagaa ni chakula chenye kalori chache na kilichojaa virutubisho, hivyo husaidia kudumisha uzito mzuri wa mwili.
6. **Hudhibiti Viwango vya Shinikizo la Damu**: Omega-3 katika dagaa husaidia kupunguza shinikizo la damu na kuboresha afya ya moyo.
7. **Viongeza Nishati**: Kwa kuwa ni chanzo cha protini, dagaa hutoa nishati ya haraka kwa mwili.
8. **Kupunguza Hatari ya Magonjwa**: Omega-3 na viambata vingine vya dagaa vinasaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na kansa.
9. **Afya ya Ngozi**: Vitamini na mafuta yaliyojaa katika dagaa yanaweza kusaidia kuboresha afya ya ngozi.
10. **Urahisi wa Kupatikana na Gharama Nafuu**: Dagaa wanapatikana kwa urahisi na mara nyingi ni nafuu kuliko aina nyingine za samaki.
Kila faida inachangia afya bora na ustawi wa mwili kwa jumla.
1 note · View note
joackanimalclinic · 9 months ago
Text
Tumblr media
FAHAMU UGONJWA WA NGOZI WA MBWA | MANGE IN DOGS | JOACK ANIMAL CLINIC
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Mange ni ugonjwa wa ngozi unaoathiri wanyama wengi na mbwa ni kati ya hao.
Mange ni ungonjwa unaosababishwa na mites ambao hushanbulia sehemu ya chini ya vinyweleo (hair follicles.)
Baadhi ya mites husambaa kwa haraka na kuna ambao hushanbulia hadi binadamu (zoonotic)
Hawa mites wapo wa ainambili ambao ni sarcoptic mange and demodectic mange.
Sarcoptic mange, kwajina lingine inaitwa scabies, hii husababishwa na Sarcoptes scabiei. Aina hii ya mange haipo sana kama demodectic mange, na mara nyingi inashambulia mbwa wa mtaani, mbwa waliotengwa/achewa bila uangalizi na mbwa wenye shida ya Kinga ya mwili.
Demodectic mange, or red mange hii husababishwa na Demodex canis. Aina hii ya mange inasambaa kutoka Kwa mama kwenda kwa mtoto kipindi Cha kunyonya, hii haisambai Kwa mbwa wengine wala Kwa binadamu.
Dalili:
1. Kuwashwa
2. Kunyonyonyoka nywele
3. Kuchubuka ngozi.
4. Vipele kwenye ngozi mara nyingi kwenye kifua.
Kama mbwa wako ana dalili moja kati ya hizi au anashida sugu wasiliana nasi tumalize tatizo mara moja
#ugonjwawangozikwambwa #mange #ukurutu #ukurutuwambwa #dogskindisease #dogskinproblem #Sarcopticmange #Demodecticmange #mitesindogs #mangeindogs #matibabuyambwa #kuoshambwa #mangeindog
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #kilimo #mifugo #tanzania🇹🇿 #tanzania #dodoma #dog #chanjozamifugo #madawayamifugo #matibuyambwa #daktariwamifugo #veterinaryservicetanzania #chanjozambwa #chanjozapaka #veterinaryhospital