Tumgik
#Leo Isaka
rwizakakiza · 1 year
Text
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
(Please like & subscribe)
Tumaini Jipya Ndani ya YESU KRISTO.
7. NAFASI YA UUNGU.
Tuangalie haki zilozomo kwenye nafasi ya Uungu.
7.(a). HUKUMU JUU YA MIUNGU.
Haki hii inakusaidia kupigana vita na kuihukumu miungu iliyoko kinyume na MUNGU aliye hai. Kumbuka ukikaa kwenye nafasi hii, YESU yuko ndani yako nawe upo ndani ya YESU, kwa hiyo uwezo wa vita unaoupata sio nguvu zako, ila nguvu ya MUNGU iliyoko kwenye nafasi ya Uungu. Ndio maana Eliya kwa macho ya kawaida alionekana Eliya, lakini ile ilikuwa vita Kati ya MUNGU na miungu. (Eliya amembeba MUNGU, manabii wa Uongo wamembeba mungu baali)
.....Naye Eliya akawakaribia watu wote, Mtasita-sita katikati ya MAWAZO mawili hata lini? BWANA akiwa ndiye MUNGU, mfuateni; bali ikiwa Baali ni MUNGU, haya! Mfuateni yeye. Wale watu hawakumjibu neno.
Basi ombeni kwa jina la mungu wenu, nami nitaomba kwa jina la BWANA; na MUNGU yule ajibuye kwa moto, na awe ndiye MUNGU. Watu wote wakajibu wakasema, Maneno haya ni mazuri.
Eliya akawaambia watu wote, Nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. AKAITENGENEZA madhabahu ya BWANA iliyovunjika. Wakati wa kutoa sadaka ya jioni, Eliya akasema, Ee BWANA, MUNGU wa Ibrahimu, Isaka, Israeli, na ijulikane leo ya kuwa wewe ndiwe MUNGU katika Israeli, na ya kuwa mimi ni mtumishi wako, na ya kuwa nimefanya mambo haya yote kwa neno lako.
Ndipo moto wa BWANA ukashuka, ukaiteketeza sadaka ya kuteketezwa, na kuni, na mawe, na mavumbi, ukayaramba yale maji yaliyokuwamo katika mfereji.
Watu wote walipoona, wakaanguka kifudifudi; wakasema, BWANA ndiye MUNGU, BWANA ndiye MUNGU.
....1Falme 18:21‭-40....
Unaweza kuona, Kilichotafutwa ni mioyo ya watu iliyogawanyika kwa miungu, Na njia bora ya kupigana vita hii ni SADAKA.
Tukumbuke mpaka wanakubaliana na Eliya kujenga kutoa sadaka, walikuwa na uhakika miungu yao, nayo inajibu, ndio maana aliposema "MUNGU ATAKAYEJIBU KWA MOTO, NDIYE MUNGU" (Ukiona watu wanaamini juu ya mizimu, kwamba ina nguvu, ujue kuna vitu iliwatendea pia). Kushinda vita hiyo, lazima Ukae kwenye nafasi uihukumu miungu, abaki MUNGU mkuu atawale.
7.(b). NGUVU YA UUMBAJI.
💬......Tutaendelea kesho.
Rejea
Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
.....Zaburi 82:6....
@2023 the greatest Glory for me.
0 notes
torukun1 · 4 years
Photo
Tumblr media Tumblr media
We Are Marvelous!! 😆🤘
And Takumi Iroha is Cute!!
16 notes · View notes
yanoisablessing · 5 years
Photo
Tumblr media
14 notes · View notes
Text
Pro Wrestling WAVE Results for January 20, 2018
Pro Wrestling WAVE “Saturday Night Fever ’18” 1/20/18 [Sat] 18:00 @ Shinkiba 1stRING in Tokyo 208 spectators (1) Takumi Iroha & Rin Kadokura vs Hiroe Nagahama & Miyuki Takase ♦Winner: Iroha (12:11) with a Liger Bomb on Nagahama (2) Keisuke Goto vs Leo Isaka ♦Winner: DRAW (15:00); time expired (3) ASUKA vs Kyusei Sakura Hirota ♦Winner: ASUKA (9:33) with the Moonsault Press (4) Moeka Haruhi vs Miki…
View On WordPress
1 note · View note
godzilla-reads · 2 years
Text
Tumblr media
Top Row:
-Anna Karenina by Leo Tolstoy (trans. Louise and Aylmer Maude)
-The Last Quarter of the Moon by Chi Zijian (trans. Bruce Humes)
-My Annihilation by Fuminori Nakamura (trans. Sam Bett)
Bottom Row:
-Three Assassins by Kotaro Isaka (trans. Sam Malissa)
-Tales from the Cafe by Toshikazu Kawaguchi (trans. Geoffrey Trousselot)
-Amrita by Banana Yoshimoto (trans. Russell F. Wasden)
11 notes · View notes
bitterdrop · 2 years
Text
Tumblr media
when the cover is more interesting than the inside of story
😌😌
ureoji x omegaverse anthology / 熟れおじ×オメガバースBL
list: ike reibun, isaka joguro, josee, nitako, haruyama moto, hoshizaki leo, m:m , yan, senco yoshimoto
cover: hontoku/analu
22 notes · View notes
whimpering-hearts · 6 years
Text
Tumblr media
1P America :: Alfred F. Jones
2P America :: Jason A. Cardinali
1P Ancient Greece :: Helene Karpshi
1P Andorra :: Teodor Domènech
2P Andorra :: Ferran Oriol
1P Australia :: James Oswald “Oz” Cooper
1P Austria :: Roderich Edelstein
2P Austria :: Karlheinz “Karl” Richter
1P Belarus :: Nataliya Arlovskaya
2P Belarus :: Nadzeya Voleskaya
1P Belgium :: Charlotte “Lotte” Van den Berghe
2P Belgium :: Joséphine “Fifi” Dubois
1P Britannia (Mother of Wales and England) :: Elaine Kirkland
1P Bulgaria :: Boris Andreev
2P Bulgaria :: Viktor Stoichkov
1P Canada :: Matthew Williams
2P Canada :: Beauregard “Beau” Lambert
1P Croatia :: Mirna “Mimi” Kovačević
1P Cyprus :: Kyriakos “Papa” Papadopoulos
1P Czech :: Eliška “Ellie” Procházková
1P Dacia (Mother to Romania and Moldova) :: Rodica Ionescu
1P Denmark :: Kasper Møller
2P Denmark :: Aksel Haugaard
1P Estonia :: Eduard von Bock
1P Finland :: Timo Väinämöinen 
2P Finland :: Ilkka Moilanen
1P France :: Francis Bonnefoy
2P France :: Jacques Girardot
1P Gael (mother of Ireland & Scotland) :: Fionnaghal “Fiona” MacDonald
1P Germania :: Alaric Beilschmidt
2P Germania :: Irmin Brenner
1P Germany :: Ludwig Beilschmidt
2P Germany :: Lars Brenner
1P Greece :: Herakles Karpshi
1P Hungary :: Erzsébet Héderváry
2P Hungary :: Jolana Balogh
1P Iceland :: Kristófer Pétursson
2P Iceland :: Jóhann “Jojo” Ásgeirsson
1P Ireland :: Fergis “Fergie” O’Kelly
2P Ireland :: Finnley “Finn” Townsend
1P Italia (father of the four Italians) :: Marcus Vargas
1P Japan :: Kiku Honda
2P Japan :: Ren Suzuki
1P Kugelmugel :: Sebastian Edelstein
1P Ladonia :: Leif Oxenstierna
1P Latvia :: Raivis Galante
1P Liechtenstein :: Adelheid “Heidi” Geschke 
1P Lithuania :: Toris Laurinaitis 
2P Lithuania :: Isakas “Issy” Gylys
1P Luxembourg :: Luca Weyker 
2P Luxembourg :: Leo Weiss
1P Macau :: Yuen “Juan” Song
1P Moldova :: Alexandru “Sandu” Ionescu
1P Monaco :: Stéphanie Moreau
1P Mongolia :: Naranbaatar “Naran” Borjigin
1P Netherlands :: Quentin van Leeuwen
1P North Italy :: Feliciano Vargas
2P North Italy :: Luciano Valentini
1P Northern Ireland :: Charlie Kirkland
1P Norway :: Kristian Erikson
2P Norway :: Lukas Welhaven
1P Persia :: Manuchehr “Manu” Akhtar
1P Poland :: Feliks Łukasiewicz
2P Poland :: Kazimierz “Kaz’ Lubomirski
1P Romania :: Nicu Ionescu
1P Russia :: Ivan Braginsky
2P Russia :: Pyotr Ruslyakov
1P Scotland :: Alistair “MacGruff” MacDonald
2P Scotland :: Jack “Jackie” Townsend
1P Sealand :: Peter Kirkland
2P Sealand :: Bingley “Bing” Townsend
1P Seborga :: Stefano Marinari 
1P Slovakia :: Milovan “Milo” Novak
1P South Italy :: Lovino Vargas
2P South Italy :: Flavio Valentini
1P Spain :: Antonio Hernández
2P Spain :: Andres Bardem
1P Sweden :: Berwald Oxenstierna
2P Sweden :: Bernhard Skarsgård
1P Switzerland :: Bäsch Zwingli
1P Taiwan :: Qiuyue Liu
1P Turkey :: Sadık Adnan
1P Turkish Republic of Northern Cyprus :: Serhan Adnan
1P Ukraine :: Kateryna Chernenko
2P Ukraine :: Tetjana Kononenko
1P Vietnam :: Cam Liem “Cammy” Tran
1P Wales :: Rhys Davies
2P Wales :: Henry Townsend
1P Wy :: Mackenzie “Mac” Cooper
42 notes · View notes
simonwekesake · 3 years
Photo
Tumblr media
#NenoLaLeo... MUNGU ATAPEANA, JEHOVAH JIRE. Mwanzo 22:7-14. Isaki akanena akamwambia Abrahamu baba yake, “Baba yangu!” Abrahamu akaitika, “Mimi hapa, mwanangu.” Isaki akasema, “Moto na kuni zipo, Je, yuko wapi mwana-kondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa?” Abrahamu akajibu, “Mwanangu Mungu mwenyewe atajipatia mwana-kondoo kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa.” Nao hawa wawili wakaendelea mbele pamoja. Vs 13 Abrahamu akainua macho yake, akaona kondoo dume amenaswa pembe zake nyuma yake katika kichaka. Akaenda akamchukua huyo kondoo dume, akamtoa awe sadaka ya kuteketezwa badala ya mwanawe. Abrahamu akapaita mahali pale Yehova Yire. Mpaka siku ya leo inasemekana, “Katika mlima wa Bwana itapatikana.” Huenda kama Isaka unashangaa mwama kondoo atatoka wapi, kiri kama Abrahamu kwamba Mungu atapeana, vitu vyote hutoka kwake na hapungukiwi, He will provide! Unakosa nini leo? Wiki hii wacha uone mkono wake Jehovah Jire na ushuhudie, Amina! Uwe na wiki ya baraka, Tukutane Galilaya! SIMON WEKESA (at Nairobi, Kenya) https://www.instagram.com/p/Caghl_CIL88/?utm_medium=tumblr
0 notes
babadupdates · 3 years
Photo
Tumblr media
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha siku 100 za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imesajili miradi 93 yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.6 ambayo itaingiza ajira zaidi ya 24,600 kwa vijana. Amesema kuwa hatua hiyo inatoa alama kwa wawekezaji wa nje kwamba kwa sasa urasimu katika sekta ya uwekezaji unaendelea kupunguzwa katika maeneo ya usajili wa makampuni pindi muwekezaji anapokusudia kuja kuwekeza nchini. Waziri Mkuu ameyasema leo (Jumapili, Juni 27,2021) alipofungua Kongamano la siku 100 za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan lililofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Ametumia fursa hiyo kutaja miradi iliyotekelezwa katika kipindi cha siku 100. Amesema mbali na miradi hiyo, pia Mheshimiwa Rais amefanya jitihada kubwa ya kuondoa tozo 232 zilizokuwa zinawakwaza wafanyabishara. “Tozo hizi zimeondolewa ili kuwawezesha wafanyabiashara kufanya biashara zao hapa nchini.” “…Na haya yote ni katika kuongeza mzunguko wa fedha kwa Watanzania ambao wanashiriki katika shuhguli mbalimbali za kuimarisha uchumi wao.” Waziri Mkuu amesema katika kufanya kazi zake, Mheshimiwa Rais Samia ameendeleza mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na nchi jirani ambapo ametembelea nchi za Kenya, Uganda na Msumbiji kwa lengo la kuimarisha urafiki na Mataifa ya jirani. Pia amepokea ujumbe kutoka nchi mbalimbali ikiwa ni alama ya mshikamano. Amesema kuwa Mheshimiwa Rais Samia ameendelea kupanga mipango ya ujenzi wa miradi mipya katika siku 100 za uongozi wake ikiwemo kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa reli ya kimataifa kipande cha kutoka Mwanza mpaka Isaka, ujenzi wa meli mpya nne na ukarabati wa meli kongwe moja. "Meli hizi zimewekwa katika maeneo yote, ziwa Victoria tuna meli moja ambayo ina uwezo wa kubeba tani 3000 za mizigo itakayotoa huduma kati ya Tanzania, Kenya na Uganda, pia meli nyingine ya MV Umoja ambayo awali ilikuwa inakwenda Uganda nayo inakarabatiwa" #babadupdates (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CQoOaT0rLa2/?utm_medium=tumblr
0 notes
real-life-pine-tree · 7 years
Text
Seed of Darkness: A Clash of Academies (6/?)
All it takes it one bad seed to spoil the whole bunch. An AU collab with @violetganache42​.
Ah, the wondrous dueling school known as Duel Academy. Located in the Fusion Dimension, this school is where the most skilled Duelists go to become among part of Leo Akaba's team of elite soldiers.
Or at least, that's what it used to be.
No one saw it coming and it was too late for the students to retaliate because they had taken over all within the span of only two days. Smoke hissed from the huge piles of rubble scattered all over the island. The attached towers were either destroyed, ripped from the Academy, suffered damage, or a combination of the three. Different buildings also endured the same casualties and a few of the docks had been dismantled from the severe battle damage that was dealt. Any students who survived the onslaught have been facing with the grim, harsh reality that the school they grew up in was now gone. It now went under a new name and it was called Reverse Academy.
The large percentage of the students had been Reversed and still follow the same strict set of rules and the “By-the-Book” method, but it was all for a different purpose: create the perfect world as imagined by the Void. They have been converting the wrecked duel school into what resembles a demonic cult; there was a vast amount of candles standing around every hall and corner, draperies with the Link Joker emblem were hung up in the rooms that contained little to no damage, and everyone attending there wore dark-colored cloaked robes like Celina and Barrett. Progress was still being made on not only Reverse Academy’s appearance, but that was the job of those who were not assigned to carry out the mission to handle the “renovation”.
Right now, a special task was going to be made for one of the Reversed students. In the Professor’s old throne room, a tall teen received a notification on his altered Academy-issued Duel Disk. He had teal hair divided in three sections with the bangs hovering above his blue eyes, fair skin, and wore a white variation of the male Obelisk Blue uniform. He was known as Zane Truesdale, a legendary Duelist in the Fusion Dimension who used to be a student at Duel Academy. With him already falling victim to the Reverse, he had recently returned to help carry out the Void’s orders. He was currently left in charge until Celina returns from her assignment in the Standard Dimension, so seeing the head agent calling him meant this was going to be important.
Zane opened his Duel Disk's communication function, very little emotion showing on his face. "Hello Celina," he said. "Have you made progress with Reversing the Standard Dimension?"
"I have," Celina answered. "I was able to Reverse a small number of Duelists, but that should be enough to Reverse everyone else. But my top priority is finding Zuzu Boyle. Once I find her, I'll come back to Reverse Academy."
"But the chains you once wore are gone," Zane pointed out. "There's no need to liberate her, as you call it."
"I have witnessed her duels," Celina explained. "She is one of the more powerful Duelists of the Standard Dimension. Once I liberate her, fulfilling the Void's wishes will be much easier. But there's more. There are still former students who oppose us: Sora Perse, Dennis McField, and Yuri."
"So the Professor's prodigy sides against us," Zane noted. "The Void will not be happy to hear that, wherever it currently is."
"Speaking of our master, I also made a discovery," Celina said. "And it has to do with the Void's ultimate plan to Reverse everyone in all four dimensions: someone might have access to Joker monsters."
"Why should that be a concern?" Zane asked. "You know I have Joker monsters as well, ones that replaced my Cyber Dragons."
"Because he sounded too innocent," Celina explained. "But I don't have time to track him down. I need someone to scout ahead and locate this rumored Joker user."
"And you want me to handle it?" Zane assumed. "I appreciate how much faith you have in me, but I need to overlook the medical procedures Bastion has completed."
"Not you," Celina corrected. "I need your brother."
"Are you sure?" Zane asked. "You know how ruthless he can be, even before he was Reversed."
"I'm sure," Celina insisted. "He's the perfect candidate to start our takeover of the Standard Dimension."
"Very well," Zane said. "I will send him to Standard as soon as possible."
Within moments, a flash of icy blue light shone just outside of the Ancient Zone; coincidentally, it just so happened to be right near the alleyway where the three beings were hidden away from plain sight. The trio looked over to their right to see the light and ran towards it, awaiting for the arrival of their companions and their commander. Once it diminished, it revealed a few more people dressed exactly like them but with different colored lenses for each soldier. Leading them all was a short, fair-skinned teenager with light blue, fluffy hair sectioned into three layers, gray eyes underneath the three bangs closest to his face, a pair of small, circular glasses, and donning a slightly altered male Obelisk Blue uniform. He was known to everyone as Syrus Truesdale, Zane’s younger brother who was originally a Slifer Red student but made it through Ra Yellow and up to Obelisk Blue over the years thanks to the intense amount of strict, ruthless training and lessons.
"Commander Truesdale!" one of the soldiers exclaimed with a salute. "What a surprise to see you!"
"Save your breath, Torrey," Syrus said, speaking in a cold tone. "My brother sent me to this dimension on orders given by Celina. It seems her obsession with finding her other selves is keeping her occupied. So how is the progress?"
"Everything is proceeding according to the Void's plan," Torrey reported. "Mukouda, Isaka, and myself have Reversed about three Duelists."
"That's all?" Syrus asked. "How pathetic."
Torrey was surprised by Syrus' words. "But Commander Truesdale, the Void wants us to Reverse every Duelist who doesn't have Pendulum cards!" he explained. "So far most of the Duelists we came across already has them!"
"Then make sure everyone in this dimension loses their Pendulum cards!" Syrus snapped. He let out a huff. "Must I do everything?"
It was bad enough he already has his hands full with his own mission. Earlier that same day, he was called into the throne room because Zane had retrieved information from Celina; his main objective was to seek out this Yuri lookalike because he might be in possession of Joker monsters. He does have an idea about the latter’s appearance because Celina did mention about the two sharing the same facial structures. Also, with his small group of Obelisk Force soldiers plus the ones scheduled to arrive briefly, taking over the Standard Dimension should be simple enough as long as they confiscate those Pendulum cards. Besides, how much of an impact would Reversing three measly Duelists even have?
"So what brings you here, sir?" Torrey asked.
"Celina wants me to track down a Duelist who might have access to Joker monsters," Syrus explained. "Have any of you seen a 14-year-old boy who resembles Yuri but with messy hair and casual clothing?"
"I have," Torrey reported, showing a broadcast from his Duel Disk. "His name is Yuya Sakaki. He doesn't have the same bushy eyebrows as Yuri, but his other facial features and voice are very similar."
"I see," Syrus said, watching the broadcast carefully. "May I see the other duels he was in?"
"Actually, Commander, you might want to check TooYube," Isaka suggested. "There is a video you might want to watch."
"We don't have time watching pointless videos!" Syrus pointed out.
"But sir, this one is kind of important," Isaka insisted, using his own Duel Disk to play the video. "It was what made Celina come to Standard in the first place."
The video playing on Isaka’s Duel Disk was during Yuya’s duel against Iggy. The young Duelist’s demonic Reversed side had just made itself known and he had brought out Odd-Eyes Joker Dragon. He declared his attack to secure his victory through a One Turn Kill, but what happened after that piqued Syrus’ curiosity. Yuya had Reversed Iggy, but once the duel was over, Nico had dropped his microphone, causing the former to go back to normal due to the feedback; he didn’t remember what happened until he saw his defeated opponent’s face. After the video ended, Syrus proceeded to quickly piece together what Celina meant when she said Yuya sounded too innocent. The presence of Joker energy drew her into the Standard Dimension and seeing him in the Battle Royale made her suspicious of him.
"Wait a minute..." Syrus said, his eyes widening slightly. "That dragon looks familiar."
"I know," Isaka agreed. "It looks a lot like Glendios."
"Of course!" Syrus exclaimed. "The Void's signature Unit! But that would mean..."
The Void is using Yuya as a puppet; in its current state, it used enough energy to take control of him. Despite the microphone feedback snapping him back to normal, it was still enough for its pawn to initiate its side of its master plan. With the increasing number of Reversed soldiers, it would grow stronger and soon fully reveal itself through him eventually. Syrus smirked sinisterly at this revelation of Yuya being the Void’s host; in fact, his mission just got a whole lot interesting.
"There has been a change of plans," Syrus said. "We must locate Yuya Sakaki so we can see if our master has chose him as its current host."
Meanwhile, thanks to Violet Flash cooperating with him, Yuri and Sora had managed to successfully arrive just outside of the Battle Royale. They are currently staying at a motel, mainly because there was no way Yuri wanted to make himself known to the public, especially to his counterparts after attempting to abduct Lulu and Rin. The last thing he needed was for his past actions to burn into everyone’s brains and draw alarm; the war against the Reversed Duelists is already a threat as it is.
So while Sora was currently in the motel's dining room splurging on free sweets, Yuri was still in the rented room, looking at Starving Venom's card. "Oh, my treasured pet," he said. "Whatever are we supposed to do?"
"Help me!"
Yuri looked up in alarm. "Who said that?!" he demanded.
"I did, plant boy! Now hurry up and help me!"
Yuri turned to his left to see an apparition standing in front of the motel room’s window. He rapidly realized this was no ghost—it was a Duel Monster Spirit! Not only that, but he recognized her as Celina’s ace monster prior to the Reverse outbreak! What was Lunalight Cat Dancer even doing here?
"I don't suppose you're here to slash my chest and throat as well," Yuri said with disdain in his voice.
"I only attack Celina's opponents in duels," Cat Dancer said. "And my attacks don't cause actual damage."
"Then how-" Yuri started to ask.
"How was I able to attack Leo Akaba?" Cat Dancer asked in response. "That wasn't me. The entity known as Link Joker was manipulating my body. Luckily I was able to transfer my consciousness to your deck before I was Locked."
"My deck?!" Yuri asked in disgust. "Get your filthy paws off my lovely Predaplants!"
Cat Dancer let out a frustrated sigh. "It's not like I had a choice," she admitted, sitting next to Yuri on the bed. "I could have transfer my consciousness to any deck, preferably that of Declan Akaba. But for some reason, your dragon seemed to call out to me, so here I am."
"How dare you make such a false accusation!" Yuri cried out. "Starving Venom would never associate himself with the likes of you!"
"Then why is he getting all chummy-chummy with me?" Cat Dancer asked.
Right as she said that, Yuri saw Starving Venom Fusion Dragon’s spirit next to Cat Dancer and he was purring. He also could have sworn he heard occasional small, content growls. His jaw was left ajar and his arms went limp at the sight of his beloved pet getting smitten with Celina’s feline ace.
"What do you think you're doing?!" Yuri asked. "You know you're not supposed to fraternize with the enemy!"
"I guess he's willing to make an exception with me," Cat Dancer said as she scratched Starving Venom under his chin.
"Enough with that," Yuri said, changing topics. "You said you need me to help you."
"I do," Cat Dancer explained. "You have to get Celina to snap out of it. She's not completely Reversed."
"Not completely?" Yuri repeated. "I saw the damage she caused."
"Exactly," Cat Dancer. "The Void didn't tell her to kill Leo and destroy all of Duel Academy. That was her doing. The only thing the Void did was give her the power she needed to overthrow the school."
Yuri’s eyes shot open wide and his bushy eyebrows sharply raised up at what he just heard. The shock was so intense, his Starving Venom card fell out of his hand and landed on the floor as his mind comprehended the given information. Leo’s sudden murder and the massively hysterical epidemic going around Duel Academy… All of that was only Celina’s doing?! She was solely responsible for the uprising?! In only a matter of seconds, his eyebrows lowered and started to twitch, his upper and lower jaws pushed against each other, his hands clenched shut to form two fists, and subtle trembles shook his body. All the years spent growing up under the care of someone who valued his powerful skills and talent, taught him etiquette and proper manners, and served as a father figure to him… They came to an abrupt halt…at the hands of the same girl he met when they were young.
"How dare she cause such a ruckus!" Yuri shouted, tears forming from his eyes. He stood up. "You here me, Celina?! You will pay for the damage you have caused!"
Starving Venom used his tail to wipe away the tears from his master's eyes, sadly growling in response. "I take it that Leo meant a lot to you," Cat Dancer noticed.
"Of course he does," Yuri responded, having slightly calmed down from his outburst. "As well as Duel Academy itself. It was the only place I ever called a home, and the Professor was the closest thing I had to a true father figure. He never made it official, but it always felt like he adopted me."
Cat Dancer couldn’t help but feel somewhat bad for Yuri. She knew Celina was devastated to learn the truth about Leo’s plans, but she admittedly never took into consideration about how her actions would affect the other students. It all happened too quickly; before anyone could get a chance to discover Leo had died, all the carded Duelists were freed and Reversing most of Duel Academy and quickly took control thanks to the Void and its Units merging with Duel Monster cards to create horrific, monstrous demons, including herself.
"But that's why you have to help me," Cat Dancer said. "Yet you can't do it alone. You need to team up with your other selves."
"I beg your pardon?" Yuri asked as he picked up Starving Venom's card. "Why would I do that?"
"Because I believe you're the key to freeing Celina from this twisted insanity," Cat Dancer admitted. "The same way your other selves are drawn towards their female friends."
Now that he thought about it, Yuri did remember seeing his XYZ and Synchro counterparts accusing each other of kidnapping their respective female friends. It further proves how strong their connections are regardless of what dimension they originated in. Although Yuri and Celina met each other a couple years ago and haven’t had that much of a bond, that connection is still there, and with the fate of the dimensions on the line, it may be time to put it into good use.
"Well, if you insist, I suppose it wouldn't hurt to...ugh...ask them for help," Yuri said.
"Thank you for cooperating," Cat Dancer said.
At that moment, Sora returned to the room with a bag full of candy. "Who're you talking to, Yuri?" he asked.
"What?" Yuri asked. "You don't see them?"
"See what?" Sora asked in response.
Yuri wasn’t sure how to explain this since this was the first time he ever saw Duel Monster Spirits; the only ability he knew he can do was communicating with Starving Venom. Was this an advanced version of this ability where he can also see him and other Duel Spirits? Were a selected few aware of this as well mainly because they possess it too? He was hoping this wouldn’t be too long of an explanation; for all he knows, Reversed Academy could be arriving at any minute.
Back at the Battle Royale, a duel was taking place on the outskirts of the Ancient and Jungle Zones. A well-known chef and Duelist named Reed Pepper was currently locked in a heated battle against Syrus with Yuya’s whereabouts on the line. His Cookpals were holding up surprisingly decent against Vehicroids; of course, this duel wasn’t even over yet because Syrus was getting ready to unleash his ace Joker monster.
"What a pity," Syrus said. "Your Cookpals appear to be the strongest monsters I have ever faced." A sinister grin appeared on his face. "They're perfect for Link Joker to influence."
"Link Joker?" Reed repeated, trying hard to stay calm. "What's that?"
"Oh, you'll find out soon enough," Syrus answered. "With the Spell card Joker Fusion, I combine the two Cycroids in my hand to bring out a new type of monster: a Fusion-Joker hybrid known as Life Pair Cycroid - Reverse!"
As the name suggests, Life Pair Cycroid - Reverse is the Link Joker counterpart of Pair Cycroid. Resembling more of a two-up-seated motorcycle than a tandem bicycle, its design consisted of a white and dark gray color scheme with yellow and red linings, gray, robotic hands, blinkers that were light green on the front and magenta on the back, blood red eyes, and the red-lit black halo behind it. It is also a Grade 2 Machine-Type Joker-Fusion monster with 1600 ATK and 1200 DEF. Its Fusion materials must be two monsters with the same name in order for it to be Fusion Summoned. It can also attack its opponent directly but—much like Life Force—leave a damaging effect on life points, hence its given name.
"Now I activate Life Pair Cycroid - Reverse's special ability!" Syrus continued. "Since I used two monsters to summon it, I can Lock two of your monsters! I Lock Royal Cookpal Prince Curry and Royal Cookpal Princess Pudding!"
"Lock?!" Reed repeated. "What are you-"
Life Pair Cycroid - Reverse revved its engine and launched two black halos towards Prince Curry and Princess Pudding. The two monsters became trapped and surrounded by black electricity when they were soon swallowed up by bright light that reverted them to their card forms. The light then encased each of them in two, black, electric spheres with two black orbiting rings. Reed was baffled by what had just happened and one glance at his Duel Disk left him speechless at the sight of his monsters in face-down defense position.
"Don't bother touching your cards," Syrus said. "When a monster is Locked, it loses all of its stats and abilities until the end of your next turn."
"That's alright," Reed said, looking back at his remaining monster. "I activate Royal Cookpal Knight Pasta's special ability-"
"I don't think so," Syrus interrupted.
"Huh?" Reed asked.
"It's Joker Fusion's secondary ability," Syrus explained. "By banishing it from my Graveyard, your remaining monster is also Locked."
Joker Fusion soared out from the Graveyard portal and lit up before disintegrating to let Reed know it was banished. Once that was done, a black ring materialized around Knight Pasta and Locked him into place alongside Prince Curry and Princess Pudding.
Reed looked deeply surprised. "I can't believe it..." he said. "You're the second person to defeat my Royal Cookpals, but I've never seen these tactics! What are they?!"
"These are Joker monsters," Syrus answered. "They're combinations of Duel Monsters and Units. They have abilities like typical Duel Monsters, but they also have skills that give them advantages when monsters are Locked. For instance, Life Pair Cycroid - Reverse has two skills. The first one deals you 400 points of damage for every Locked monster on the field."
Three Locked monsters meant 1200 points of effect damage will be dealt to Reed. With each Locked sphere unleashing 400 damage each, they all zapped black bolts of electricity at him to lower his Life Points. Of course, like Syrus said, this was only just the first of Life Pair Cycroid - Reverse’s two skills.
"But that's not all," Syrus continued. "With Life Pair Cycroid - Reverse's second skill, it can attack you directly for every Locked monster on the field."
Reed was alarmed with that information. "That's..."
"Far more than 2800?" Syrus interrupted, referring to Reed's current life points. "That's the power of Link Joker. Now go, Life Pair Cycroid - Reverse! Finish off this duel once and for all!"
Life Pair Cycroid - Reverse charged up its motor and accelerated towards Reed for a triple direct attack. Each strike and blow lowered his Life Points by 1600, giving him no time to react after it kept passing him; by the time the third attack was done, the 4800 damage points had completely depleted his Life Points and secured an easy win for Syrus, who was eagerly and sadistically anticipating the result of dueling someone with the Link Joker archetype.
Suddenly, the dark red aura of the Reverse started to surround Reed. "What's going on?!" he demanded. "Are you even part of the tournament?!"
"Of course not," Syrus answered. "Now become one with the Reverse!"
Reed shot open his usually shut eyes out of petrified helplessness to reveal his grayish purple irises glued onto the surrounding aura sucking him deeper into the Reverse’s influence. Within seconds, his pupils and white highlights vanished as his eyes obtained a soulless demeanor and red markings faded in underneath his lower eyelids.
At that moment, Reed's newfound friend, a Duelist named Trout, ran over to him. "There you are!" he exclaimed. "I know we're supposed to be allies, but you can't run off like that!"
However, Reed didn't respond. "Reed?" Trout asked. "You feeling alright?"
Reed looked over at Trout. "Are you...a strong Duelist?" he asked.
8 notes · View notes
leenaevilin · 7 years
Photo
Tumblr media Tumblr media
[Announcement] 超体感ステージ キャプテン翼 ファン感謝祭 (chou taikan stage captain tsubasa fan kanshasai)
honestly… when I saw this on twitter, I first thought ‘yeah, DVD release’… but it was only news about the upcomming fan event (October 30th, 2017)
but let’s hope they will announce the release at the event!!
Cast:
Motoki Seiya as Oozora Tsubasa Nakamura Ryuusuke as Wakabayashi Genzou Matsui Yuuho as Hyuuga Kojirou Kanegae Kou as Misaki Tarou Washio Shuuto as Mizuki Jun Sorihashi Souichirou as Matsuyama Hikaru Doi Kazumi as Souda Makoto Katou Mao as Nitta Shun Kouki as Jitou Hiroshi Watanabe Kazuki as Wakashimazu Ken Kiyama Ryuu as Ishizaki Ryou Oosone Keita as Tachibana Masao Hirono Ryouto as Tachibana Kazuo Tanaka Toshihiko as Roberto Hongo Segawa Ryou as Mikami Tatsuo Matsunaga Kazuya as Abe Leo Saitou Shunichirou as Noel Popolo Kitamura Yuu as Karl Heinz Schneider Isaka Tatsuya as Dieter Müller Iruma Rui as Elle-Sid Pierre AKI as Carlos Santana Abe Jouji as Yamamori General Manager
8 notes · View notes
torukun1 · 4 years
Photo
Tumblr media Tumblr media
The MARVELOUS All-Stars
7 notes · View notes
yanoisablessing · 5 years
Photo
Tumblr media
9 notes · View notes
kataarushwatz · 5 years
Photo
Tumblr media
Rais Magufuli  amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga (RC), Zainabu Tellack kwa kumwakilisha vema kwa kusimamia kikamilifu nafasi yake  na kupambana na rushwa. Akizungumza na wananchi eneo la Isaka Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga leo Jumatano Novemba 27, 2019, Rais Magufuli amemtaka mkuu huyo wa mkoa kuchapa kazi na kuendelea kupiga vita vitendo vya rushwa kwenye eneo lake. “Mkuu wa mkoa wewe unafanya kazi nzuri sana; endelea kufanya kazi. Wewe ndiye mwakilishi wangu hapa na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa...ndio maana nimewasimamisha kazi RPC na RCO. Sijui walikuwa wanakudharau kwa sababu wewe ni mwanamke?” amesema Rais Magufuli Rais Magufuli ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kuagiza kusimamishwa kazi kwa Kamanda wa Polisi mkoa (RPC) wa Shinyanga, Richard Abwao, Mkuu wa Upelele wa mkoa (RCO), John Rwamlema na Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wa mkoa huo, Jumbe Samson kwa tuhuma za utovu wa nidhamu na uhujumu uchumi. Kusimamishwa kazi kwa vigogo hao wa mkoa kulitokana na madai ya kushindwa kutekeleza maelekezo ya mkuu wa mkoa kuhusu hatua za kisheria dhidi ya kampuni moja inayozalisha pombe kali inayodaiwa kukwepa kodi. #volunteers #causes #donate #change #activism #nonprofit #dogood #charity  #fundraising #philanthropy #SocialGood #changemakers #DoSomething #humanity #SM4NP #impact #sustainability #sdgs #globalgoals #development #youth #agenda #goals #sustainabledevelopment #kataarushwa #stopcorruption https://www.instagram.com/p/B5tc780HUZY/?igshid=ups6w4xqto13
0 notes
hantishmhugo-blog · 7 years
Photo
Tumblr media
NEVER GIVE UP ⭕ 🕧 GREAT THINGS TAKE A TIME. Yamkini unaelekea kukata tamaa ya Maisha, na kudhani ya kwamba Mungu amekuacha. Fikiri juu ya watu fulani kwenye Bible, ambao huenda walikua na matatizo ya mda mrefu, pengine makubwa hata zaidi yako, mtu kama Mzee Ibrahim.. Baba wa Imani.. Aliye pewa mwanae Isaka. Fikiri juu ya mama yule Hanna mke wa Elkana.. Fikiri jinsi alivyo sugua goti kumwomba Mungu ampe mtoto kwa Muda mrefu. Fikiri kuhusu rafiki yetu YESU ambaye aliteseka kwaajili yetu wenye dhambi. Lakini baada ya hayo yote kuisha,, waliyafurahia maisha mengine mapya yenye raha isiyo simulika. Ni nini kikufanye ushindwe KUSUBIRI? Nikusihi kwamba VUMILIA... Tatizo halipo kwingine, ila ni Muda tu. Muda ukifika hautakuwa km leo tena. Mafanikio ya mtu wa Mungu hupimwa kwa kiwango cha uvumilivu na Unyenyekevu wake katika kusubiri. 🆒🆒🆒JESUS IS THERE FOR YOU. BY Ev Mhugo Hantish, the sound of worship. www.hantishmhugo.blogspot.com evhantish.blogspot.com [email protected] +255768788303 ©2017
0 notes
rwizakakiza · 1 year
Text
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
(Please like & subscribe)
Tumaini Jipya Ndani ya YESU KRISTO.
7. NAFASI YA UUNGU.
Tuangalie haki zilozomo kwenye nafasi ya Uungu.
7.(a). HUKUMU JUU YA MIUNGU.
Haki hii inakusaidia kupigana vita na kuihukumu miungu iliyoko kinyume na MUNGU aliye hai. Kumbuka ukikaa kwenye nafasi hii, YESU yuko ndani yako nawe upo ndani ya YESU, kwa hiyo uwezo wa vita unaoupata sio nguvu zako, ila nguvu ya MUNGU iliyoko kwenye nafasi ya Uungu. Ndio maana Eliya kwa macho ya kawaida alionekana Eliya, lakini ile ilikuwa vita Kati ya MUNGU na miungu. (Eliya amembeba MUNGU, manabii wa Uongo wamembeba mungu baali)
.....Naye Eliya akawakaribia watu wote, Mtasita-sita katikati ya MAWAZO mawili hata lini? BWANA akiwa ndiye MUNGU, mfuateni; bali ikiwa Baali ni MUNGU, haya! Mfuateni yeye. Wale watu hawakumjibu neno.
Basi ombeni kwa jina la mungu wenu, nami nitaomba kwa jina la BWANA; na MUNGU yule ajibuye kwa moto, na awe ndiye MUNGU. Watu wote wakajibu wakasema, Maneno haya ni mazuri.
Eliya akawaambia watu wote, Nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. AKAITENGENEZA madhabahu ya BWANA iliyovunjika. Wakati wa kutoa sadaka ya jioni, Eliya akasema, Ee BWANA, MUNGU wa Ibrahimu, Isaka, Israeli, na ijulikane leo ya kuwa wewe ndiwe MUNGU katika Israeli, na ya kuwa mimi ni mtumishi wako, na ya kuwa nimefanya mambo haya yote kwa neno lako.
Ndipo moto wa BWANA ukashuka, ukaiteketeza sadaka ya kuteketezwa, na kuni, na mawe, na mavumbi, ukayaramba yale maji yaliyokuwamo katika mfereji.
Watu wote walipoona, wakaanguka kifudifudi; wakasema, BWANA ndiye MUNGU, BWANA ndiye MUNGU.
....1Falme 18:21‭-40....
Unaweza kuona, Kilichotafutwa ni mioyo ya watu iliyogawanyika kwa miungu, Na njia bora ya kupigana vita hii ni SADAKA.
Tukumbuke mpaka wanakubaliana na Eliya kujenga kutoa sadaka, walikuwa na uhakika miungu yao, nayo inajibu, ndio maana aliposema "MUNGU ATAKAYEJIBU KWA MOTO, NDIYE MUNGU" (Ukiona watu wanaamini juu ya mizimu, kwamba ina nguvu, ujue kuna vitu iliwatendea pia). Kushinda vita hiyo, lazima Ukae kwenye nafasi uihukumu miungu, abaki MUNGU mkuu atawale.
7.(b). NGUVU YA UUMBAJI.
💬......Tutaendelea kesho.
Rejea
Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
.....Zaburi 82:6....
@2023 the greatest Glory for me.
1 note · View note