#Kusafiri Tanzania
Explore tagged Tumblr posts
Text
Kufurahia Maisha ya Kusafiri Tanzania
Kusafiri ni njia bora ya kufurahia maisha na kujifunza mengi kuhusu dunia tunayoishi. Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye vivutio vingi vya kipekee ambavyo vinakupa fursa ya kufurahia maisha ya kusafiri. Kuanzia miji mikubwa hadi vijiji vidogo, kuna mengi ya kugundua katika nchi hii ya Afrika Mashariki.Kupitia safari yako, unaweza kufurahia vyakula vya kitamaduni, kujifunza lugha mpya, na kufahamu…
View On WordPress
0 notes
Text
Kata tiketi kwenye busbora.co.tz ili kuepuka msongamano usio wa lazima kwenye kaunta/ofisi na kusafiri kutoka popote Tanzania kwa utulivu wa moyo.
Au pakua BusBora App kutoka Google Playstore - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.busticketing.busbora
#busbora#arusha#moshi#kigoma#dodoma#daressalaam#mbeya#tanzania#busticketbooking
1 note
·
View note
Photo
Landcruiser Prado inakodishwa, kusafiri nayo mkoani au hapa hapa Dar es salaam Wasiliana nasi piga simu au whatsapp 0673970512 Tembelea www.brightcarrentals.com (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CPNi8QILDi4/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo
STEAM IRON Hii pasi ni nzuri sana haishiki kwenye nguo,unanyoosha utakavyo nguo inanyooka na haipauki,inatumia maji. Inabebeka unaweza kusafiri nayo pia Brand JOYTECH GERMANY Mpya kabisaa Ml 50 Watts -1000 Bei-45,000 Tupo MBEZI MAKONDE NSSF road& Faraja st Block H Plot 1 Dareslaam Tanzania #0757252557 #0686979377 #afroboel #afrotalia #afrotalia_international #afrotaliatz #stockTanzania https://www.instagram.com/p/CMgb7x9HiRz/?igshid=1s2e7ro1m5ld8
0 notes
Text
Africa and Safari
One of the activities we should do if we come to Africa is undoubtedly safari. In short, Africa is exactly a safari base. The word safari comes from the Arabic word 'Safarīyah' and its meaning is travel. It is called 'Kusafiri' in East Africa. It offers a magnificent safari in Zambia, Zimbabwe, Uganda, Rwanda, Namibia, Botswana, especially in Kenya, Tanzania, and the Republic of South Africa.
Those who want to do this activity for the first time in Africa, which has many safari points, generally prefer 'Maasai Mara' in Kenya, 'Serengeti' in Tanzania, 'Kruger' or 'Sabi Sand' in South Africa. Apart from these, I think one of the most interesting is Ngorogoro Crater in Tanzania. This crater, which was formed as a result of the eruption of a volcanic mountain, has been protected by UNESCO. Bwindi Impenetrable Forest in Uganda and The Parc National Des Volcans in Rwanda can be among the choices for those who want to see mountain gorillas. Etosha National Park in Namibia is one of the places that is rarely preferred but offers a magnificent experience. Those who want to see hippos and crocodiles should definitely visit South Luangwa National Park in Zambia. Offering an experience of 9000 kilometers, this Park attracts the attention of visitors. Those who come to Botswana should definitely visit Chobe National Park. You can see the elephants in the region closely in this event, it may be a little costly. The most important feature of the Okavango Delta is that it is the world's largest delta that does not flow into the sea. This Delta is also located in Botsvana. The adventure that started with canoe in this region continues on foot. In this safari experience, it is possible to see elephants, lions and crocodiles. In some seasonal times, it is possible to see only birds. Finally, if you want to observe all kinds of hippos, you can go to Livonde National Park in Malawi. The Shire River in the region offers this experience.
Those who want to experience safari in Africa should not be surprised if they hear the term 'Big 5'. 5 Big means the 5 most dangerous and wild animals of Africa. It consists of lion, leopard, African elephant, African buffalo, and black rhino. Those who want to experience safari in Africa usually want to complete these five. In most of the safari spots I mentioned above, you can experience this at the same time and in one go.
This short video may reveal your interest in safari. Have a good watch.
youtube
0 notes
Photo
Hujambo, nakukaribisha kwa Mkutano kupitia zoom... *FURSA YA BIASHARA NA AFYA* - MGENI WETU NI *MKURUGENZI *2* *RUBBY* - *VICKIE* *SHIRIMA* kutoka Tanzania , VICKIE alijiunga kwenye hii biashara akiwa mwanafunzi miaka michache iliopita, leo hii amebadilisha maisha yake na maisha ya Watu wengine wengi kupitia biashara hii. Amepata pesa mingi na kusafiri dunia, usikose simulizi ya safari yake kwenye hii fursa. Mada: *Uhuru wa kifedha* Lini : *Ijumaa Agosti 28, 2020 08:00 pm (Saa mbili usiku) 🇰🇪 (KENYA) EAT ; 05:00 pm GMT* Jiunge kwa mkutano wa zoom https://us02web.zoom.us/j/7432653875' Unavutiwa? DM +254721360774 nikupe *kitambulisho cha Mkutano*(Meeting ID) na *Nywila* (Password)* Afya yako ndio utajiri wako mkubwa, usikose …Mwalike rafiki ahudhuria...mushirikishe mwenzako kwa hii habari njema. Twawezesha dunia kuwa ya afya na furaha... tunafanya kazi katika nchi 55 sasa kwa takriban miaka 62🏃🏽♀️🏃🏾💃!! https://shopneolife.com/050-6696582/ #Empowerment #Uwezeshaji #Healthy lifestyle #Maisha ya afya #Entrepreneur start-up #Mjasiriamali wa kuanzia #Financial Independence #Uhuru wa kifedha #Financial freedom #Kufanikiwa kifedha #Opportunity #Fursa #Your health is your greatest wealth # Afya yako ndio utajiri wako mkubwa #Residual income #Mapato yanayojiendeleza https://www.instagram.com/p/CEbukJinfyd/?igshid=125g69uxkj9s7
#empowerment#uwezeshaji#healthy#maisha#entrepreneur#mjasiriamali#financial#uhuru#kufanikiwa#opportunity#fursa#your#residual#mapato
0 notes
Photo
Andaa Roho yako ,Kesho ikawe ni siku yako KUPOKEA kutoka kwa Bwana. Uko tayari KUSAFIRI KINABII na Nabii., Uko tayari kupokea NENO la Kinabii, Uko tayari kupokea MAJI ya UZIMA, Uko tayari kupokea MAOMBEZI, Uko tayari Kusifu na kuabudu pamoja na @joellwaga & @propheticsingers ?? Tukutane JUMAPILI YA KESHO KIVULE MATEMBELE YA PILI kuanzia saa 02:00 asubuhi.. #chief_Prophet_Suguye #wrm_redio #Wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CCgDxeJp-Qw/?igshid=1b2t6rq11im81
0 notes
Photo
HABARI KUTOKA TANZANIA - AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUTAKA KUMPA RUSHWA AFISA WA SERIKALI RAIA wa Pakistani, Muhammad Hasnaih Hyderi leo Januari 17,2019 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka moja la kutaka kumpa rushwa Ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Imedaiwa na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (Takukuru), Pascal Magabe akisaidiana na wakili, Leornad Swai kuwa, Januari 15, 2019 huko katika Mgahawa wa Best Bite uliopo ndani ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, mshtakiwa alitenda kosa. Mbele ya Hakimu Mkazi, Wanjah Hamza imedaiwa, siku ya tukio mshtakiwa alitoa rushwa ya Sh. milioni mbili kwa Talib Kombo ambaye ni Ofisa wa TRA) ili kumsaidia asilipe kodi kubwa. Hata hivyo mshtakiwa amekana kutenda kosa hilo na amerudishwa rumande Kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ambapo mahakama imemtaka kuwa na wadhamini wawili kutoka ofisi yoyote inayotambulika na Serikali watakaosaini bondi ya Sh.milioni tano kila mmoja. Pia Mahakama imemtaka mshtakiwa kuwasilisha hati yake ya kusafiria na haruhusiwi kusafiri nje ya mkoa wa Dar es Salaam bila ya kuwa na kibali cha mahakama.Kwa mujibu upande wa mashtaka upelelezi wa kesi hiyo umeisha kamilika na kesi hiyo itatajwa Januari 31 mwaka huu #takukuru #tra #rushwa #corruption #tanzania #daressalaam #asia #africa https://www.instagram.com/p/BsxAy0WBBeO/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=5nexk39qgb4e
0 notes
Text
Mfululizo wa Mahojiano ya Mara ni seti ya video zinazotambulisha baadhi ya marafiki na wenzangu katika mkoa wa Mara, Tanzania. Kabla ya kuchukua video kila mtu alikubaliana nami kwamba nitachapisha kwenye YouTube video ya yeye kujibu maswali ili kumtambulisha, na pia kuiweka video yake kwenye Tumblr, hapa. Baadhi ya marafiki na wenzangu bora walikataa, haswa naamini kwa sababu walihisi aibu fulani kwa kuwepo kwenye video kwenye YouTube. Utaona wale waliokubali hapa kwa Miezi wa Nne, Tano, na labda Sita, mwaka 2020. Nikipoweza kusafiri, ningependa kuwaonyesha pia, baadhi ya marafiki na wenzangu ambao wako Arusha, Tanzania, kwa mfumo sawasawa na wale wa Mara.
Ukipotaka kuwasiliana na mtu wowote ninayeonyesha, uniandike, halafu nitawaunganisha pamoja.
0 notes
Text
Kufurahia Vyakula vya Kitamaduni Tanzania
Vyakula vya kitamaduni ni sehemu muhimu ya utamaduni wa watu wa Tanzania. Kuanzia pilau hadi ugali, kuna mengi ya kufurahia katika vyakula vya kitamaduni vya Tanzania. Vyakula hivi ni vyenye ladha na virutubisho vingi ambavyo vinakupa nguvu na afya.Kupitia safari yako, unaweza kufurahia vyakula vya kitamaduni vya Tanzania na kujifunza jinsi ya kutengeneza na kula vyakula hivyo. Pia, unaweza…
View On WordPress
#Jifunze kuhusu utalii#Kufurahia maisha ya kusafiri#Kugundua Tanzania kupitia safari na maisha ya kusafiri#kujifunza kutoka kwa watu wa eneo husika#mandhari#na vyakula vya kitamaduni vya Tanzania#njia za usafiri#safari-na-maisha-ya-kusafiri-kugundua-tanzania
0 notes
Photo
Inasemekana Hivi Karibuni Miss #IOKOTE @mauasama Aliitwa Ku Perform Na Mfanyabiashara Flani Wimbo Mmoja Tu Wa Iokote ktk Mji Mmoja Tanzania Ambao Haufikiwi Na Route Za Ndege Kubwa, Inasemekana Mfanyabiashara Huyo Bilionea Alikua ameandaa Party Ya Ki Ukoo Ndipo Kamati Ya Burudani Ya Ukoo Huo ikawa Iko Na Majina Ya Wasanii 10 Lakini majina Hayo linatakiwa libaki Jina moja tu la kwenda kuburudisha, Mchujo ukafanyika na Asilimia 80 Ya Members wa Kamati Hiyo Wakapendekeza Jina la Maua Sama yani aende Kuwaburudisha kivyovyote, Maua alipopigiwa Simu alianza kwa ku dengua dengua Kuwa Kwa Kua mji huo Hauna Route za Ndege Hizi za Kibiashara basi yeye Hawezi Kusafiri Umbali mrefu na Gari, hivyo ameisamehe Show hiyo Ndipo Bilionea Huyo akamjibu Watamkodishia Ndege Maalum, Maua Sama Akawa Hana jinsi Akaona akikataa ataonekana Anawaringia Mashabiki zake, Ikabidi Akubali Offer hiyo Siku ilipofika akapanda Ndege Hiyo ya Kifahari Yeye Na Team Yake, Unaambiwa Jumla Yao Hawakuzidi Watu Watatu Kwa Mujibu Wa chanzo Chetu Cha Habari Kinadai kuwa Pamoja Na Kukodishiwa Ndege Hyo Maua Sama alilipwa Fedha Taslimu Zaidi Shilingi Milioni 15 za Kitanzania Kwa Kuimba Wimbo Huo Tu Mmoja tu ambao aliurudia Kuuimba ktk Tukio Hilo sio zaidi ya Mara Tano. Bado Tunaendelea kufatilia Juu ya Zawadi alizotunzwa Maua Sama vikiwemo vito vyenye thamani Na Bado Tunanyapia nyapia Kama tutapata Picha za tukio Hilo, Na Bado Tunaendelea Kufatilia Kama Picha hzo unazoona hapo kama ndo za tukio lenyewe https://www.instagram.com/p/BpkPAn8BcYN/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1eq67wlt318oo
0 notes
Photo
FORGET EVERYTHING YOU WERE TAUGHT IN BIOLOGY – Plants Don't Need Sunlight To Grow. WWW.SPORAHTV.COM Mwamy Mlangwa ni Mama, Mke na mkulima wa mboga jijini Dar es salaam, Mwamy analima kilimo cha kisasa, kinachojulikana kama Kilimo bila udongo (Hydroponics). Mwamy anapenda kusafiri, anapenda kusoma vitabu, anapenda sana kukaa na familia yake, kupika na kusaidia watu. Mboga anazolima Mwamy zinakua kwa muda wa siku 35 mpaka 45.. na hizo siku zinatofautiana kutokana na hali ya hewa. Kipindi cha joto zinakua taratibu ila kipindi cha baridi zinakua haraka. Mboga hizi zinaliwa zikiwa mbichi, ni kama salad. Kama tunavyokula kabichi, unakata unaosha, unakata na nyanya, pilipili hoho na tango na salad source. Mboga hit sio kama mboga nyingine kama matembele na mchicha. Mboga hizi zinaliwa na kila mtu, sasanasana watu wanaopenda kujali afya zao ambao hawapendi kunenepa na kujali ngozi zao. Hii ni kwasababu kilakitu kuhusu hii mboga kinaliwa kikiwa FRESH. Yani nyanya zikiwa fresh, pilipili hoho fresh, vitu vote hivi vinasaidia sana ngozi zetu. Pia kama mtu ana viupele au matatizo ya ngozi, hizi mboga zinasaidia sana. KILIMO cha mboga mboga tofauti kinakua kwa kasi sana nchini Tanzania. Sekta ya kilimo imekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania ambapo mwaka uliopita ilichangia asilimia 29.1 ya pato la jumla la taifa. Find Out More: www.sporahTV.com
0 notes
Photo
STEAM IRON Hii pasi ni nzuri sana haishiki kwenye nguo,unanyoosha utakavyo nguo inanyooka na haipauki,inatumia maji. Inabebeka unaweza kusafiri nayo pia Brand JOYTECH GERMANY Mpya kabisaa Ml 50 Watts -1000 Bei-45,000 Tupo MBEZI MAKONDE NSSF road& Faraja st Block H Plot 1 Dareslaam Tanzania #0757252557 #0686979377 #afroboel #afrotalia #afrotalia_international #afrotaliatz #stockTanzania https://www.instagram.com/p/CLTJE0vHiTY/?igshid=muxcj162s62t
0 notes
Text
Kichekesho cha Maprofesa wa Tanzania
Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:
Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa Kitanzania.
Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isipokuwa mmoja alibaki kwenye kiti chake
Walipomuuliza ni kwanini hakuondoka akajibu kwa haraka na furaha kuwa:
Kama ndege hii…
View On WordPress
0 notes
Photo
Huyu #BASHITE ana matatizo gani? Huyu jamaa anawaza kwa kutumia nini? Tunaelekea wapi? Huyu kijana asipodhibitiwa mapema hakika Tanzania itakuwa kama #Pango la Walanguzi😐😐 Huyu kijana ameshafikia hatua ambayo tunapaswa kumkataa kwa nguvu zote bila kujali kitu chochote. ........ . .............................. Huyu jamaa anatutia aibu Vijana, tunaonekana uwezo wetu wa ku reason ni mfupi, watengenezee mazingira ya kazi zao (BM) kuwa na soko kwa kuwapa mbinu mbadala ili kazi zao zivutie watazamaji. #Ukininyang'anya samaki wangu niliovua na kumpa asiye na ndoano si kwamba utanikomoa mimi bali utamdumaza uliyempa samaki, hii ni kutokana na ukweli kwamba, mimi uliyeninyang'anya samaki nitatafuta mbinu ya kupata wengine kwa kuwa nina uwezo wa kuvua, ila yule uliyempa samaki ambao hajavua unamdumaza kwa kuwa atalemaa, hatajua mbinu ya kupata kitu. ................................................... Simple Logic tu, ndiyo maana tunashinikiza vyeti, #Mwl. Nyerere aliwahi kusema " Elimu sio njia ya kuukwepa Umasikini, bali ni njia ya kupigana nao". Brother #Makonda tambua kuwa Elimu ingekusaidia kufanya maamuzi yenye tija na yenye Busara zaidi katika kuisaidia Bongo Movie, ila si kwa hicho unachokifanya. Unaua ajira za watu wengi zaidi kuliko ujuavyo, ................................................. Hawa Wamachinga kwanza Serikali haijawajengea miundombinu stahiki ya kufanya shughuli zao, wanafanya kazi katika mazingira magumu unakuja kukwamisha juhudi zao. SHAME, acha bidhaa zishindane zenyewe kisha mteja aamue, ndiyo maana katika usafiri mfano wa #Anga, kila msafiri ana hiari ya kusafiri na Ndege ipi, kuna za bei nafuu na bei kubwa, so hufungii za bei ndogo eti zinaua soko la zenye bei kubwa, Au shule, kuna za laki/Milioni, zipo na mtu mwenyewe nachagua wapi mwanae akasome, Bro MAKONDA, get back to Class. Unatia aibu Taifa na Mamlaka zilizokuteua. Source: http://ift.tt/2oU4bzG
0 notes
Text
Safari na Maisha ya Kusafiri Tanzania
Kutembea ni moja ya njia bora za kujifunza na kufurahia maisha. Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye vivutio vingi vya kipekee vya utalii na safari. Kuanzia Zanzibar hadi Dar es Salaam, Mwanza hadi Arusha, Singida hadi Dodoma, na Mbeya hadi Kilimanjaro, kuna mengi ya kufurahia na kugundua katika nchi hii ya kuvutia.Safari ni njia bora ya kujifunza kuhusu tamaduni tofauti, historia, na maisha ya…
View On WordPress
0 notes