Tumgik
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
Need protein filled food? 馃 Don't look too far, just get as many Eggs as you can. : Fun Fact : #fugasmart_na_kukusmart (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CEiyJpCH30M/?igshid=ot7oau5zccrg
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
BAADHI YA MASWALI NINAYOPATA TOKA PLATFORM ZETU MBALIMBALI:- : 1. Kuku wangu anajikunja na kushusha mabawa.Nipatie dawa gani? 2. Kuku wangu hatagi mayai shida inaweza kuwa nini? 3. Kuku wangu wanakufa ni nini inaweza kuwazuia? 4. Kuku wangu wanamiezi sita na hawajaanza kutaga ni nini inaweza kuwa shida? 5. Niwape nini kuku wangu ili wanone? 6. Niongeze nini kwenye chakula cha kuku wangu ili watage vizuri? 7. Ni antibiotic gani mzuri naweza wapa kuku wangu wakihara kinyesi nyeupe or wakikohoa au wakijikunja? 8. Ni chakula gani kizuri kwa market naweza wapa kuku wangu? 9. Unaweza kunipa formula ya kutengeneza chakula ya kuku? 10. Naweza kuwaboost kuku wangu chakula ya nguruwe ili wakue haraka? 11. Kuku wangu wanadonoana niwape dawa gani? 12. Jogoo wangu hawawiki wala kupanda nifanye nini? : Dear farmers you must understand that farming is both an art and science.You must feed your vets or animal production consultants with lots of information about the state of your animals for them to be of help to you.We all know very well that animals don't talk. The same way you have to visit your physician when you sick is the same way we in the livestock health sector would demand for a visit to your farm inorder to arrive at a diagnosis. Professionalism must be observed and guesswork has no place in farming.If you value your investment get the services of a professional to guide you. (at Kukusmart) https://www.instagram.com/p/CEeLJ9mnglm/?igshid=1tforhl6oo94w
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
JIFUNZE.,ELEWA.,ELIMIKA NA FANYIA KAZI SWALA HILI KWA FAIDA YA MRADI WAKO:- : BAADHI YA SABABU : 1. Kuku kujaa kwenye banda dogo inamaana banda linakua halina nafasi ya kutosha. 2. Kuku kukosa chakula na maji. 3. Joto kali ndani ya banda. 4. Kuchanganya kwa kuku wakubwa na wadogo sehem moja au wenye miili mikubwa na midogo kwa pamoja. 5. Kuku wanaochelewa kuota manyoya wanakua wahanga wa hali ya kuumana au cannibalism. : NAMNA GANI WAWEZA ZUIA HALI HYO KWA KUKU WAKO:- : 1. Wape kuku majani ya kutosha na mboga mboga ili muda mwingi wapoteze kwenye kudonoa hayo majani. 2. Fuga kwa njia ya free range system au kuwaachia KUKU kwenye eneo wapate muda wa kuchakua chakua chini. 3. Weka vyombo vya chakula vyenye rangi za kungara ili kufanya wawe busy na kuvidonoa. 4. Kata kuku wote midomo wanapoanza tabia ya kudonoana. 5. Punguza na control joto ndani ya banda. 6. Toa kuku aliejeruhiwa kwenye banda na umpe dawa ya kutibu kidonda. (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CEWxJnGHtU-/?igshid=1mp5nq2gcj217
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
Next time you eat Eggs, think about the amount of feed that was eaten to make it. 馃槃 : Fun Fact #fugasmart_na_kukusmart (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CEQ6ojRne_D/?igshid=1beqoaja5o758
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
KWANINI VIFARANGA VYA KUROILER;- : 1. Hufugika KIENYEJI na KISASA pia. 2. Huhimili Magonjwa. 3. Ni kuku wanaofanya vizuri kwenye NYAMA na MAYAI pia. 4. Hukuwa kwa muda Mfupi. 5. Jogii nauwezo wakufikia kilo 5 na tetea koko 3.5. 6. Hutaga mayai 150 akifugwa KIENYEJI na MAYAI 250 akifugwa KISASA. (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CEEkK0inmNr/?igshid=1eti0hw37vlb5
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
Fun Facts : #fugasmart_na_kukusmart (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CD_LEvZn1Iv/?igshid=inwkpia6ib8n
0 notes
kukusmart1 4 years
Video
JIPATIE MBEGU ILIYO BORA YA KUTOKA KWA KUKU BORA AINA YA KUROILER.,ACHA KUFUGA KIMAZOEA : UMBALI WAKO KWETU SIO TATIZO UTAPATA BIDHAA ZETU POPOTE ULIPO. KARIBU UJIPATIE MBEGU ILIYOBORA YA KUKU AINA YA KUROILER. KARIBUNI SANA TUFUGE SMART NA KUKUSMART PRICE;- 1800/=Tsh Day old chicks https://www.instagram.com/p/CD6QeCkH8Or/?igshid=kydv5f6g5zbx
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
Fun Fact #fugasmart_na_kukusmart https://www.instagram.com/p/CDJK_uOn2aF/?igshid=kxxvauoavs3u
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
JIPATIE MBEGU ILIYO BORA YA KUTOKA KWA KUKU BORA AINA YA KUROILER.,ACHA KUFUGA KIMAZOEA : UMBALI WAKO KWETU SIO TATIZO UTAPATA BIDHAA ZETU POPOTE ULIPO. KARIBU UJIPATIE MBEGU ILIYOBORA YA KUKU AINA YA KUROILER. VIFARARANGA MIA TATU 500 VILIELEKEA ARUSHA.,KARIBUNI TENA TUFUGE SMART NA KUKUSMART PRICE;- 1800/=Tsh Day old chicks https://www.instagram.com/p/CCnbn6ynPn5/?igshid=1mebavyqfwa3v
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
Ukifungua Yai waweza kuta baadhi ya mapungufu pia *damu kwenye kiini/blood in York* 鈾ii inakuwa kama tone moja au kiasi kikumbwa cha damu kiasi cha kuchanganyikana na kiini kizima . Hii hutokana na kupasuka Kwa mishipa midogo kwenye mfumo WA Yai na kutoa damu ambayo huwa ndani na kuzunguahiwa she'll Kwa nje. Hali hii huweza kusabaisha na Kuwa na kiwango kisichosahihi cha vitamini A na K kwenye chakula Matiziwa ya dawa kama vile sulphaquinoxaline Kiasi kikumbwa cha lurcene kwenye chakula Kutokuzima taa wakati WA usiku Kutishiwa,stress na usumbufu wowote ule.. https://www.instagram.com/p/CCdqh4cHmB_/?igshid=160qemsmqh3ej
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
Mazingira yapi yanakusukuma, inachangia sana katika mafanikio yako. : Mazingira yana mchango mkubwa sana katika kuhakikisha jambo linatimia au linakufa. : kutimia(kuwa na uhai) au kushindwa(kukosa uhai), kwa jambo inategemea linatafsiriwa kutoka kwenye mazingira yepi. Mazingira ya nje hutoa tafsiri isiyo halisi maana huwa hayaoni/kuonyesha hatima bali hali halisi ya wakati huo. : Mazingira ya ndani huonyesha mwisho wa jambo. Nahivyo huwa na tabia ya kukupitisha kwenye mchakato, wa kukujengea ustahimilivu katika khari zote. uwezo huo huwa na package ya kukuvusha katika kila ugumu pia wepesi. Hivyo ni muhimu kujua unayatafsiri mazingira katika nafasi ipi, Hii inanguvu sana katika kufikia Kilele cha mafanikio yako. (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CCadsClna_I/?igshid=1z8qmhln2sh2
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
Hizi point huweza kuwa na rangi brown iliyokoa au nyeupe... Husababishwa na sababu zifuatzo Stress au disturbance wakati WA hatua ya calcification Kiwango kikumbwa cha calcium kwenye chakula (at Kukusmart) https://www.instagram.com/p/CCYJw1lnLkt/?igshid=1tzsesppbmxxl
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
Hutoka na kukosekana Kwa pigment za njano na nyekundu kwenye chakula cha kuku... Kuku wanaotaga majani mfano lecurne NA mahindi ya njano huwa na Yai lenye kiini cha njano... Pia kuna vitu huongezewa kwenye chakula pia huleta kiini cha njano . (at Sabasaba) https://www.instagram.com/p/CCVpuitHocg/?igshid=wm40ycwzrmm2
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
*Yai lisilo na shell/shell less eggs* 鈾utokana na sababu zifuatzo;- 1) kuku wanaonza kutaga baadhi kutoka na shell gland kuwa bado haijakuwa vizuri 2)upungufu WA vita E,A,B12 na D katika lishe. 3) baadhi ya magonjwa kama *newcstle disease* *infectious brochitis* *avian influenza* *egg drop syndrome* 4) kiwango kikumbwa cha joto na unyevu 5) minyoo ,viroboto na utitiri 6) physical stress. 7) utagaji katika kipindi cha moulting( kuruhusu manyoya mapya) 8 ) sumu za kuvu, na bacterial toxin ... (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CCOCthAnRtn/?igshid=iilzqqpg6w8v
0 notes
kukusmart1 4 years
Video
How things started (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CCLpyWdnG3M/?igshid=1eed62oqqru6k
0 notes
kukusmart1 4 years
Photo
Tumblr media
SASA NI MUDA WAKO WAKU KUZA MRADI WAKO WA UFUGAJI KWA KUANZIASHA UTOTOLESHAJI WA MAYAI NAKUUZA VIFARANGA PIA KUTOTOLESHA MAYAI YA WATU ILIKUONGEZA MTAJI WAKO : KARIBU UJIPATIE MASHINE NZURI BORA NA IMARA ZA UTOTOLESHAJI AMBAZO NI FULL AUTOMATIC YANI INAFANYA KAZI ZOTE PEKEE YAKE YANI : MASHINE HIZO ZINA BEO YA KIZALENDO KABSA ILI KUKUWEZASHA KUMILIKI YAKO NAKUUZA MRADI WAKO PIA : PUNGUZO KUBWA LA BEI INCUBATOR zitumiazo UMEME NA ZIMEUNDWA KWA BODY NGUMU : MASHINE ZOTE NI FULL AUTOMATIC (ZINAGEUZA ZENYEWE) : Mayai: Bei 60 Tsh 280,000/= : 90 Tsh 450,000/= : 120 Tsh 680,000/= : 180 Tsh 750,000/= : 264 Tsh 1,000,000/= : 352 Tsh 1,200,000/= : 440 Tsh 1,350,000/= : 528 Tsh 1,570,000/= : 704 Tsh 1,700,000/= : :880 Tsh 1,880,000/= : 1054 Tsh 2,100,000/= : 1408 Tsh 2,800,000/= : 2112 Tsh 3,200,000/= : 2640 Tsh 3,800,000/= : 3168 Tsh 5,000,000/= : 5280 Tsh 7,000,000/= : ZIKIWA NA WARRANTY YA MWAKA MMOJA https://www.instagram.com/p/CCIvrC7nXXd/?igshid=12w7e5lb606ru
0 notes
kukusmart1 4 years
Video
Creativity it's only Eggy shell https://www.instagram.com/p/CCEaj-pHXDm/?igshid=swrkbr8ohlr4
0 notes