Don't wanna be here? Send us removal request.
Text
BUSARA.
Busara ni uwezo na utashi wa mtu fulani kutoa mawazo ya mjengo na muongozo sahihi wenye faida chanya katika jambo husika. Uwezo huu wa busara mwanadamu yeyote yule anazaliwa na uwezo huo kwa asilimia 80%. Kiasi kwamba asilimia 40% kutoka kwa baba na asilimia 40% kwa mama. Asilimia 20% zinatoka kwenye mazingira anayokulia mhusika. Kiasi kwamba mambo yote anayofanya au kufanyiwa yanaweza kufanya…
View On WordPress
0 notes
Text
JANA NI LEO NA LEO NI KESHO:
Maisha kila siku huongozwa na mipango ambayo kwa namna nyingine yaweza kua endelevu au ya muda maalumu kulingana na jambo linalofanyiwa kazi. Kwa kua maisha ni mipango na ni namna ya kupambana na udhaifu ambao mhusika anaufahamu, basi katika kupambana na udhaifu huohuo ndipo unapo pambana na changamoto za maisha na mipango kuendelea kufanyiwa kazi kama kawaida.
Katika kushughulikia mipango…
View On WordPress
0 notes
Text
JUA KALI.
Nishati nzuri hapa duniani hutoka kwenye jua. Nishati hii ni nzuri kwa sababu inasaidia mimea kutengeneza chakula chake na pia nishati hio hio inakua ipo ndani ya chakula cha mmea ambacho binadamu na wanyama wengine hufaidi pindi wanapo kula zao la mmea huo. Pindi jua linavyo anza kuchomoza kuanzia saa moja asubuhi hadi saa nne husaidia kuweka mwili wa binadamu na wanyama wengine kwa kuwasaidia…
View On WordPress
0 notes
Text
NAMNA YA KUONGEZA NGUYA MKOPAJI KATIKA VIKUNDI VIDOGOVIDOGO.
Mikopo ni njia moja wapo ya kusaidiana kiuchumi baina ya watu wenye nia moja katika muktadha husika. Kulingana na uwepo wa vikundi vidogovidogo vyenye nia ya kusaidiana kiuchumi katika nyanja tofautitofauti, vikundi hivyo huwa wananjiazao binafsi za kuwaingizia kipato. Njia moja wapo ni njia ya kukopeshana kwa riba na kwa muda maalumu. Kwa kua kuna njia ya utoaji wa mikopo, katika njia hii…
View On WordPress
0 notes
Text
TIPS FOR SUCCESS IN SCIENCE SUBJECT.
Science subjects are the facts based subjects matter. It is fact based as it involves verification of the imppssed knowledge. Science subjects have the theoritical starting point then finishing with the practicals approach.
To do the best in science, there are different ways that will results to have best success in studying and taking science subjects. These ways are:-
Understand the concepts…
View On WordPress
0 notes
Text
MVUTO MPYA.
Mvuto mpya ni mwaka mpya. 2016 ulikua ni mwaka wenye mawazo na mitazamo tofauti tofauti pamoja na changamoto tofauti. Mwaka 2017 ni mwaka wa kufanya mambo mapya nakuyatimiza yale ambayo hayakutimia mwaka 2016. Katika kutimiza hayo ni lazima tathmini sahihi ichukue nafasi kutizama uhalisi wa mambo ya awali na kujumuisha na mambo mapya. Katika kukuza uwezo sahihi wa kutimiza hayo, kupambana na kila…
View On WordPress
0 notes
Photo
HAMNA JIBU BILA KUMSHIRIKISHA JIRANI. Solve for "x" and "y" from the question below.
0 notes
Text
UKIWEZA HILI, UTAKUWA NA UWEZO WA KUFANYA VITU VINGI KWA WAKATI MMOJA.
Siku moja bwana HEM alikua akisafiri kutoka Kilimanjaro kwenda Tanga kwa miguu. Katika kusafiri huko alikua ameambatana na Chui wake mmoja, Mbuzi wake mmoja na Majani. Safari yake ilikua ni ndefu sana, alitembea sana na mwishowe aliufikia mto Pangani. Kwakua mto ni mbubwa sana inambidi achukue kiumbe mmoja mmoja na kumvusha ng’ambo ya pili na pia kwa viumbe vitakavyo baki havitakiwi kugeukana na…
View On WordPress
0 notes