Don't wanna be here? Send us removal request.
Photo
Semina na mkutano wa tathmini ya zao mwaka 2021 (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/COCnzxzF43Z/?igshid=1eaqktybtdeqw
0 notes
Photo
Washiriki wakifuatilia mafunzo katika semina na mkutano wa tathmini ya zao unaoendelea katika ukumbi wa Kilimani Lands Mark jijini Dodoma. Mkutano huu unafanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 21.04.2021 hadi 23.04.2021. https://www.instagram.com/p/CN7YWxdFpHe/?igshid=1xqrujs9f61md
0 notes
Photo
0 notes
Photo
Bodi ya Tumbaku Tanzania inapenda kuwatanganzia wadau wote wa sekta ya tumbaku nchini kuwa kutakuwa na semina na mkutano wa tathmini ya zao (Appreciation Meeting) utakaofanyika kwa siku tatu mfululizo kuanzia tarehe 21.04.2021 hadi 23.04.2021 saa mbili na nusu asubuhi katika ukumbi wa LANDSMARK, jijini Dodoma. https://www.instagram.com/p/CN3LinBJ8rG/?igshid=t7uvmllxyvzw
0 notes
Photo
0 notes
Photo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Musabila Kusaya akipata maelezo juu ya madaraja ya tumbaku kutoka kwa Mteuzi Mkuu wa tumbaku Bw. Albert Godfrey Chale wa Bodi ya Tumbaku Tanzania wakati wa maandalizi ya soko la tumbaku lililofanyika leo tarehe 13/08/2020 katika kituo cha kununulia tumbaku cha kampuni ya JTI Leaf Services Limited. https://www.instagram.com/p/CD1Ip3Sl4Ki/?igshid=1eiwuuewbrmww
0 notes
Photo
Tembelea banda Na. 21 la Bodi ya Tumbaku upate elimu ya kilimo bora cha tumbaku. (at Nyakabindi Nane Nane Grouds, Bariadi) https://www.instagram.com/p/CDdSgXvFdrF/?igshid=uois46ircd2c
0 notes
Photo
Maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane kitaifa mwaka 2020, Nyakabidi - Simiyu (at Nyakabindi Nane Nane Grouds, Bariadi) https://www.instagram.com/p/CDVo9RHFKw_/?igshid=1h1iixvdauwwo
0 notes
Video
instagram
Uzinduzi wa masoko ya tumbaku kitaifa ambao ulifanyika tarehe 26/06/2020 wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya. https://www.instagram.com/p/CB97WtdFKck/?igshid=12jnf6oqt5t54
0 notes
Photo
Tobacco Buying Report for the week ending 31 May 2020 https://www.instagram.com/p/CBgBfvzFd1J/?igshid=185fjomytutlp
0 notes
Photo
Tobacco Buying Report for the week ending 07 June 2020 https://www.instagram.com/p/CBf-Fi3lnj5/?igshid=gmec907nodd9
0 notes
Photo
Tobacco Buying Report for the week ending 24 May 2020 https://www.instagram.com/p/CBf95myFUaK/?igshid=or253v32kbhe
0 notes
Photo
Tobacco Buying Report for the week ending 17 May 2020 (at Tabora, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CBf9j_plHNG/?igshid=1k68e4duyh46g
0 notes
Video
youtube
Maadhmisho ya Sherehe za Wakulima Nanenane 2019, Kanda ya Magharibi
1 note
·
View note