#waisraeli
Explore tagged Tumblr posts
atukaworld · 11 months ago
Text
Tutateswa, kama waisraeli...
Mungu aliwekaka manabi na wa juji. Waisraeli waliomba wafalme kufatana na kabila ingine, japo Mungu hakupenda. Sisi wakongomani, tunafuata upumbafu ya waisraeli.Tutateswa, kama waisraeli ; kwani hatuti Mungu. Yehova atatuchagulia nani na kwa nini, sisi watoto tusiyomuti ? Hatuyatubu zambi zetu, dada.
View On WordPress
0 notes
mrherojoseph-blog · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Wakati Mungu amesikia kilio chako.. Huwa amtuma nabii kwako.. wakati Mungu alisikia kilio Cha waisraeli pale misri, alimtuma msa..MUNGU AMESIKIA KILIO CHAKO NA AMENITUMA SASA.. NATANGAZA KILIO CHAKO KIFIKE MWISHO IN JESUS NAME. #letmypeoplego #powersofthepropheticword https://www.instagram.com/p/CPIDBkUH8Br/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
simonwekesake · 3 years ago
Photo
Tumblr media
#NenoLaLeo... HAKUNA KURUDI MISRI, UTUMWA UMEISHA! Kutoka 14:5-8 Farao, mfalme wa Misri, aliposikia kwamba Waisraeli wamekimbia, yeye na maofisa wake walibadili fikira zao, wakasema, “Tumefanya nini kuwaachia Waisraeli waende zao wasitutumikie tena?” Basi, Farao akatayarisha gari lake la vita na jeshi lake. Alichukua magari yake bora ya vita 600 na magari yote mengine ya kivita ya Misri yakiongozwa na maofisa wa kijeshi. Mwenyezi Mungu akamfanya Farao, mfalme wa Misri, kuwa mkaidi naye akawafuatia Waisraeli ambao walikuwa wameondoka Misri kwa ushupavu. Farao na watu wake hawakuamini kwamba wamewaachilia wana WaIsraeli, nani angewatumikia? Hivyo ndivyo adui atakavyoshangaa. Hataamini kwamba hauko kwenye mikono yake tena, atatamani urudi Misri lakini Mungu habadilishi kazi yake, amekutoa utumwani na hakuna kurudi Misri! Songa mbele ufike Galilaya, utumwa umeisha! Uwe na wikendi safi na Tukutane Galilaya 💪 (at Nairobi, Kenya) https://www.instagram.com/p/CZij-80KsSi/?utm_medium=tumblr
1 note · View note
itsmygiverbouquetworld · 4 years ago
Video
youtube
2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Su...
0 notes
enockmaregesi · 5 years ago
Photo
Tumblr media
Matatizo ya kijamii, kimiiko, kimaadili, kisiasa, na kiroho; hayataweza kutatuliwa kwa pesa, vikao vya kifamilia, haki za binadamu, usalama wa taifa, au nguvu za kijeshi. Yataweza kutatuliwa kwa haki na hekima ya Mwenyezi Mungu. Israeli ilifikia kikomo cha kipindi chake kikubwa cha mafanikio tangu enzi za Sulemani. Taifa lilikuwa tajiri. Lilikuwa na nguvu. Lilikuwa na silaha nyingi na nzuri zaidi. Lilikuwa taifa lililojidai kwa uwezo wake mkubwa wa nguvu za kijeshi, hekima, ujasiri, utajiri, na faida za kimkakati. Nani angeweza kushindana na Israeli? Lakini Mungu hunguruma onyo kwamba uwezo wote mkubwa wa asili wa taifa, ujuzi waliojipatia, na sifa bora zaidi havikuweza kulisaidia taifa la Israeli. Watu huona nguvu ya taifa katika utajiri wake, idadi yake ya watu, silaha za kijeshi, teknolojia, na maarifa. Lakini Mungu huangalia haki. Kwa vile taifa la Israeli lilipoteza haki yake ya upendeleo, Mungu aliahidi kuliharibu kama alivyoyaharibu mataifa ya Waamori na Wamisri. Watu wa Israeli walishafika mbali sana kiasi cha Mungu kutokutegemea tena toba kutoka kwao. Kuna muda wa fursa na kuna muda ambao fursa haipo tena. Nafasi ya Israeli ya kutubu ilishafikia mwisho. Kama alivyokuwa amepigana vita vyao kwa ajili yao katika siku za nyuma sasa Mungu alipigana nao. Pamoja na ujasiri na utaalamu wao wote wasingependelewa tena. Mambo ambayo mwanzo yaliipa Israeli nguvu katika vita yaliwageukia. Israeli, kama adhabu kwa uozo wake wa kiroho na kimaadili, ilivamiwa na Ashuru katika mwaka wa 721 KK na kuangushwa vibaya katika vita hiyo kubwa. Waisraeli waliosalia walitekwa na kupelekwa uhamishoni ambako inaonekana walitoweka kabisa katika uso wa dunia hii. Hili lilikuwa ni jibu la Mungu kwa dhambi na uasi wao. Sababu ya kupanda na kuanguka kwa mataifa ni ya kimaadili na kiroho. Hakuna taifa linaloweza kutegemea nguvu na mali zake ili kujiokoa kutokana na madhara ya ukiukwaji wa maadili. Dhambi ikizidi katika taifa, Mungu ataliangamiza. Taifa likitenda haki, Mungu ataliinua. Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita https://www.instagram.com/p/B5r3Au0n9Y3/?igshid=1n5uc4w7taker
0 notes
magaratimes · 8 years ago
Text
#VOASwahili: Utafiti wabaini Wapalestina hawaziamini sera za Trump
#VOASwahili: Utafiti wabaini Wapalestina hawaziamini sera za Trump
[ad_1]
Tumblr media
Tafiti inaonyesha kuwa wengi wa Wapalestina wanaamini kuwa sera za Rais Donald Trump zitapelekea misuguano kati ya Waisraeli na Wapalestina au kukwama kwa mazungumzo huko Mashariki ya Kati.
Katika utafiti unaojulikana kama “Opinion Poll” uliyofanywa Jumanne na Kituo cha Palestina kinachosimamia sera na tafiti kimesema kuwa ni asilimia 9 tu ndio wanaamini kuwa Trump ataweza kuanzisha…
View On WordPress
0 notes
sportspuffkenya-blog · 5 years ago
Text
'Messi wa Israel' Gai Assulin alijikwaa, kaingia topeni la kuzimu
‘Messi wa Israel’ Gai Assulin alijikwaa, kaingia topeni la kuzimu
Gai Assulin alionekana na wengi kama Messi mpya wa kutoka taifa la Israeli.
Mbabe huyo alikuwa mchezaji mchanga zaidi kuwahi chezea taifa la Israel katika historia.
Waisraeli walimbandika Gai jina ‘Messi wa Israeli’. Lakini kulitokea nini hadi mambo yakamuendea mrama Messi wa Israeli?
Gai alizaliwa mnamo mwaka wa 1991 na alitarajiwa kufuata nyayo za makinda wengine wa La Masia kama Pedro, Gerard…
View On WordPress
0 notes
Text
Kujua madhumuni na Umuhimu wa Kila Moja ya Hatua Tatu za Kazi ya Mungu
Kujua madhumuni na Umuhimu wa Kila Moja ya Hatua Tatu za Kazi ya Mungu
II. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu
2. Kujua madhumuni na Umuhimu wa Kila Moja ya Hatua Tatu za Kazi ya Mungu
(1) Lengo na umuhimu wa kazi ya Mungu katika Enzi ya Sheria
Maneno Husika ya Mungu:
Kazi ambayo Yehova alifanya kwa Waisraeli ilianzisha mahali pa Mungu pa asili miongoni mwa binadamu, ambapo pia palikuwa pahali…
View On WordPress
0 notes
kilimotanzania · 9 years ago
Photo
Tumblr media
Hupaswi kuwa Maskini Mungu alisema kwa WANA WA IBRAHIM (Waisraeli): Mtakapoingia kwenye ile nchi niwapayo, MSIWASAHAU MASIKINI (Muwatunze na muwe jibu lao), kwa maana MASIKINI HAWATAKOMA JUU YA NCHI...
0 notes
enockmaregesi · 5 years ago
Photo
Tumblr media
Ukitaka kufanikiwa katika maisha yako kuwa tayari kuitwa mjinga au mpumbavu. Mungu hutumia watu ‘wajinga’ na ‘wapumbavu’ kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya Farao ya kuendelea kuwafanya watumwa wana wa Israeli nchini Misri; Nuhu aliitwa mpumbavu alipohubiri kwa miaka mia kuhusu gharika, katika kipindi ambacho watu hawakujua mvua ni nini; Daudi aliitwa mjinga alipojitolea kupambana na Goliati bonge la mtu, shujaa wa Gathi; Yusufu aliitwa mjinga alipokataa kulala na mke wa bosi wake, baada ya kuwa ameuzwa na nduguze kama mtumwa nchini Misri; Abrahamu aliitwa mjinga alipoamua kuhama nchi aliyoipenda na kwenda katika nchi ya ahadi, eti kwa sababu Mungu alimwambia kufanya hivyo; Yesu aliitwa mjinga mpaka akasulubiwa aliposema yeye ni Mfalme na Mwana wa Mungu. Lakini Musa alitenganisha Bahari ya Shamu na kuwapeleka Waisraeli katika nchi ya ahadi, ambako aliwakomboa kutoka utumwani. Nuhu aliokoa dunia. Daudi alimshinda Goliati. Yusufu aliokoa familia yake kutokana na njaa. Abrahamu alikuwa baba wa imani. Yesu aliyashinda mauti. Wakati mwingine tunatakiwa kufanya mambo makubwa kulingana na jinsi Roho Mtakatifu anavyotutuma, bila kujali watu au dunia itasemaje. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita https://www.instagram.com/p/B0yqdvhnECf/?igshid=duoegggpgkst
0 notes
enockmaregesi · 6 years ago
Photo
Tumblr media
Siku moja, jambo baya litatokea. Labda babu yako au mnyama wako kipenzi atafariki au shangazi yako atagundulika na kansa. Labda utafukuzwa kazi au utaachika kwa mumeo au mkeo mliyependana sana. Labda rafiki yako kipenzi atapata ajali mbaya ya gari na utatakiwa kupeleka taarifa kwa ndugu na marafiki zake. Kutoa taarifa ya jambo baya kwa mtu ni kazi ngumu sawa na kupokea taarifa ya jambo baya kutoka kwa mtu. Kama umeteuliwa kupeleka taarifa ya kifo au ya jambo lolote baya kwa mtu fanya hivyo kwa makini. Toa taarifa ya msiba au ya jambo lolote baya kwa hekima na busara kama Ibrahimu alivyofanya kwa Sara kuhusiana na kafara ya Isaka, si kama Mbenyamini alivyofanya kwa Eli kuhusiana na kutwaliwa kwa sanduku la agano na kuuwawa kwa watoto wake wawili. Jidhibiti kwanza wewe mwenyewe kama umeteuliwa kupeleka taarifa ya kifo au ya jambo lolote baya. Angalia kama wewe ni mtu sahihi wa kupeleka taarifa hiyo. Pangilia mawazo ya kile unachotaka kwenda kukisema au unachotaka kwenda kukiandika. Mwangalie machoni, si usoni, yule unayempelekea taarifa kisha mwambie kwa sauti ya upole nini kimetokea. Hakimu na Kuhani Mkuu wa Shilo Eli alipata matatizo makubwa wakati wa mgogoro wa Waisraeli na Wafilisti, kati ya mwaka 2871 na 2870 Kabla ya Kristo. Mara tu baada ya kupewa taarifa ya kifo cha watoto wake wawili, Hofni na Finehasi, na kutwaliwa kwa Sanduku la Agano la Bwana wa Majeshi lililohifadhi Amri Kumi za Mungu, Eli alianguka kutoka katika kiti chake na kufariki papo hapo akiwa na umri wa miaka 98. Aidha, mkwe wa Eli, mke wa Finehasi, alijifungua ghafla na kufariki alipopata taarifa ya kifo cha mkwewe na taarifa ya kuuwawa kwa mumewe na ya kutekwa nyara kwa Sanduku la Agano. Mwanajeshi kutoka Benyamini falaula angetumia hekima na busara kutoa taarifa ya kifo na ya kutwaliwa kwa Sanduku la Agano huenda Eli asingefariki, na huenda mkwewe asingejifungua mtoto njiti na huenda asingekufa siku hiyo. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=2402056299818184&id=100000415120038 #hekima #wisdom #sandukulaagano #arkofcovenant https://www.instagram.com/p/BvYueBHHM_f/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=m8wvjvrgro2i
0 notes
enockmaregesi · 6 years ago
Photo
Tumblr media
Eneo la kihistoria la vita visivyokwisha kati ya Wayahudi na Waarabu, kati ya Israeli na Palestina, UKANDA WA GAZA, Mpelelezi wa Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya Daniel Yehuda kutoka Kidon (Kitengo cha Mauti na Utekaji Nyara cha Shirika la Kijasusi la Mossad la Israeli) alipokuwa akitekeleza operesheni maalumu ya Jeshi la Israeli katika mji wa Khan Younis – faksi ya Oslo ilipofika Givat Ram, katika ofisi za Tume ya Dunia jijini Yerusalemu. Ukanda wa Gaza ni jimbo lenye miji minne na kambi mbalimbali za wakimbizi za Umoja wa Mataifa. Lina urefu wa kati ya kilometa 41 au maili 25, na lina upana wa kati ya kilometa 6 mpaka 12 au maili 3.7 mpaka 7.5, pamoja na eneo la jumla la kilometa za mraba 365 au maili za mraba 141. Jimbo hili liliwahi kutawaliwa na Wamisri, Wakanaani, Waisraeli, Wasiria, Wababelonia, Wagiriki, Warumi, Waturuki, Waingereza, na Wapalestina, na limekuwa uwanja wa vita kwa karne nyingi kwa sababu za kidini na kihistoria. Ukanda wa Gaza uko chini ya Palestina. Uko chini ya serikali ya Hamas. Mpelelezi wa Tume ya Dunia Daniel Yehuda kutoka Israeli alikuwa Khan Younis (ambako alikwenda kutuliza ghasia) wakati faksi ya Oslo kutoka kwa Kamishna U Nanda ilipofika ofisini kwake Givat Ram, Yerusalemu, ikimtaka aondoke haraka ilivyowezekana kwenda Rangoon na Copenhagen; kuonana na Kamishna Meja Jenerali U Nanda wa Asia-Australia na Rais wa Tume ya Dunia Boidin Versnick, kwa mfuatano huo. Alisafiri. Lakini kwa sababu ya uzembe alioufanya huko Rangoon, Yehuda alisababisha watu wengi (wenye hatia na wasiokuwa na hatia) kufa katika Machafuko ya Sheraton jijini Copenhagen. Kama ilivyo Alaska kwa Marekani au Kaliningrad kwa Urusi ndivyo ilivyo Gaza kwa Palestina, katikati ya Mto Yordani na Bahari ya Mediterania. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=2359234694100345&id=100000415120038 #ukandawagaza #gazastrip #khanyounis #yakobo #jacob https://www.instagram.com/p/BuOE1FInPg5/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1r05pd79gszvc
0 notes
enockmaregesi · 6 years ago
Photo
Tumblr media
Ukitaka kufanikiwa katika maisha yako kuwa tayari kuitwa mjinga au mpumbavu. Mungu hutumia watu ‘wajinga’ na ‘wapumbavu’ kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya Farao ya kuendelea kuwafanya watumwa wana wa Israeli nchini Misri; Nuhu aliitwa mpumbavu alipohubiri kwa miaka mia kuhusu gharika, katika kipindi ambacho watu hawakujua mvua ni nini; Daudi aliitwa mjinga alipojitolea kupambana na Goliati bonge la mtu, shujaa wa Gathi; Yusufu aliitwa mjinga alipokataa kulala na mke wa bosi wake, baada ya kuwa ameuzwa na nduguze kama mtumwa nchini Misri; Abrahamu aliitwa mjinga alipoamua kuhama nchi aliyoipenda na kwenda katika nchi ya ahadi, eti kwa sababu Mungu alimwambia kufanya hivyo; Yesu aliitwa mjinga mpaka akasulubiwa aliposema yeye ni Mfalme na Mwana wa Mungu. LAKINI, Musa alitenganisha Bahari ya Shamu na kuwapeleka Waisraeli katika nchi ya ahadi, ambako aliwakomboa kutoka utumwani. Nuhu aliokoa dunia. Daudi alimshinda Goliati. Yusufu aliokoa familia yake kutokana na njaa. Abrahamu alikuwa baba wa imani. Yesu aliyashinda mauti. Wakati mwingine tunatakiwa kufanya mambo makubwa kulingana na jinsi Roho Mtakatifu anavyotutuma, bila kujali watu au dunia itasemaje. Mtu akikuita mjinga au mpumbavu juu ya maisha yako usikasirike, kwa sababu wewe si mjinga wala mpumbavu. Sema hapana kwa ndiyo nyingi, kwa sababu hawapaswi kuingilia mambo yako bila idhini ya Mwenyezi Mungu. Kuingilia mambo ya mtu mwingine bila idhini ya Mwenyezi Mungu ni dhambi, tena dhambi kubwa, ni kuvunja amri kuu ya kwanza ya Mungu. #mjinga #foolish #mpumbavu #stupid #mungu #god https://www.instagram.com/p/BsN3w7vn31c/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=2a9o7t2k2233
0 notes
enockmaregesi · 6 years ago
Photo
Tumblr media
Matatizo ya kijamii, kimiiko, kimaadili, kisiasa, na kiroho; hayataweza kutatuliwa kwa pesa, vikao vya kifamilia, haki za binadamu, usalama wa taifa, au nguvu za kijeshi. Yataweza kutatuliwa kwa haki na hekima ya Mwenyezi Mungu. Israeli ilifikia kikomo cha kipindi chake kikubwa cha mafanikio tangu enzi za Sulemani. Taifa lilikuwa tajiri. Lilikuwa na nguvu. Lilikuwa na silaha nyingi na nzuri zaidi. Lilikuwa taifa lililojidai kwa uwezo wake mkubwa wa nguvu za kijeshi, hekima, ujasiri, utajiri, na faida za kimkakati. Nani angeweza kushindana na Israeli? Lakini Mungu hunguruma onyo kwamba uwezo wote mkubwa wa asili wa taifa, ujuzi waliojipatia, na sifa bora zaidi havikuweza kulisaidia taifa la Israeli. Watu huona nguvu ya taifa katika utajiri wake, idadi yake ya watu, silaha za kijeshi, teknolojia, na maarifa. Lakini Mungu huangalia haki. Kwa vile taifa la Israeli lilipoteza haki yake ya upendeleo, Mungu aliahidi kuliharibu kama alivyoyaharibu mataifa ya Waamori na Wamisri. Watu wa Israeli walishafika mbali sana kiasi cha Mungu kutokutegemea tena toba kutoka kwao. Kuna muda wa fursa na kuna muda ambao fursa haipo tena. Nafasi ya Israeli ya kutubu ilishafikia mwisho. Kama alivyokuwa amepigana vita vyao kwa ajili yao katika siku za nyuma sasa Mungu alipigana nao. Pamoja na ujasiri na utaalamu wao wote wasingependelewa tena. Mambo ambayo mwanzo yaliipa Israeli nguvu katika vita yaliwageukia. Israeli, kama adhabu kwa uozo wake wa kiroho na kimaadili, ilivamiwa na Ashuru katika mwaka wa 721 KK na kuangushwa vibaya katika vita hiyo kubwa. Waisraeli waliosalia walitekwa na kupelekwa uhamishoni ambako inaonekana walitoweka kabisa katika uso wa dunia hii. Hili lilikuwa ni jibu la Mungu kwa dhambi na uasi wao. Sababu ya kupanda na kuanguka kwa mataifa ni ya kimaadili na kiroho. Hakuna taifa linaloweza kutegemea nguvu na mali zake ili kujiokoa kutokana na madhara ya ukiukwaji wa maadili. Dhambi ikizidi katika taifa, Mungu ataliangamiza. Taifa likitenda haki, Mungu ataliinua. #matatizoyakifamilia #socialproblems #hakizabinadamu #humanrights #taifa #nation #haki #right #dhambi #sin #mungu #god #maadili #morals https://www.instagram.com/p/BrAnwOiHwIH/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=4uvsh5sslj6q
1 note · View note
enockmaregesi · 8 years ago
Text
Hekima na Busara
Hakimu na Kuhani Mkuu wa Shilo Eli alipata matatizo makubwa wakati wa mgogoro wa Waisraeli na Wafilisti, kati ya mwaka 2871 na 2870 Kabla ya Kristo. Mara tu baada ya kupewa taarifa ya kifo cha watoto wake wawili, Hofni na Finehasi, na kutwaliwa kwa Sanduku la Agano la Bwana wa Majeshi lililohifadhi Amri Kumi za Mungu, Eli alianguka kutoka katika kiti chake na kufariki papo hapo akiwa na umri wa…
View On WordPress
0 notes