#wadadisi
Explore tagged Tumblr posts
rwizakakiza · 18 days ago
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 9: UVI...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: IX.
----------------------
3. 4. 2. VIASHIRIA /DALILI /MATOKEO YA TABIA YA UVIVU.
(i). VISINGIZIO
....Ni sababu ambayo unatoa ili kueleza kwa nini jambo fulani halijafanyika, au ili kuepuka kufanya jambo fulani au kutoa sababu za uwongo kwa nini huwezi kufanya jambo kwa nia ya kukwepa majukumu.
Mtu mvivu ana visingizio (visababu) vingi vya Uongo ili kwekwepa majukumu kwa sababu ya uvivu, atazunguka akidai HAKUNA kazi na kuwakatisha tamaa wengine.
.......Tena, pamoja na hayo, hujifunza kuwa wavivu, wakizunguka-zunguka nyumba kwa nyumba; wala si wavivu tu, lakini ni wachongezi na wadadisi, wakinena maneno yasiyowapasa.
.......1Timotheo 5:13....
(ii). KUOMBA OMBA
.....Ni hali ya kutarajia kitu /fedha bila kukifanyia kazi kwa sababu ya uvivu. Kama Uvivu unasababisha Umaskini, uwe na uhakika umaskini utakujengea tabia ya kuomba omba..
......Mtu huyu AKIWAONA Petro na Yohana ALIOMBA APEWE sadaka. Na Petro, akasema, TUTAZAME SISI. Akawaangalia, AKITARAJIA KUPATA KITU kwao.
.....Mdo 3:2-6.....
Nimeona baadhi ya watu (Viwete/Walemavu) wanapewa msaada ili waondokane na kuomba omba lakini kwa sababu tabia ya uvivu imejengeka, anarudi kuomba omba.
Wengine SIO WALEMAVU lakini ni Omba omba kwa sababu ya kutojishughulisha wanataka kila kitu waletewe walipo hata kama upo uwezekano wa kupata anachokitaka, lakini mpaka mtu mwingine afanye kwa ajili yake.
(iii). MANENO BILA MATENDO
.....Tabia ya uvivu mara nyingi ni kuongea sana, lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wengi wanaishia na kauli ya...... NITAFANYA.... Wengine wameweka mipango mingi, mfano KUOMBA utasimia anasema... Nitaomba, lakini haombi. Pia mwenye tabia ya uvivu anaandamwa na hali ya KUHAIRISHA na kutotimiza alichohairisha.
.....Lakini iweni WATENDAJI wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu. Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala SI MTENDAJI, mtu huyo ni KAMA MTU ANAYEJIANGALIA uso wake katika kioo. Maana hujiangalia, kisha huenda zake, mara akasahau jinsi alivyo.
......Yakobo 1:22.....
(iv). KUISHI BILA AKIBA
.....Mara nyingi mtu mvivu ni mvivu hata kufikiri maisha yake ya mbeleni. Wengi watakwambia... Kipato ni kidogo huwezi kuweka akiba, Wengine kudai wakipata fedha mahitaji ni mengi kuliko fedha zenye..... Zote sababu zina mashiko lakini tambua unakaribisha umaskini.
MUNGU anapokupa pesa yoyote iwe unayoifahamu hata 1,000/= anachokitaka kukiangalia ni usimamizi mzuri wa hicho ulichopewa hata kikiwa kidogo anataka uweke akiba, maana kila akupacho amekigawanya (Mkate - Matumizi, Mbegu - Akiba), ukila yote unategemea NINI, Je utatajirishwa?!.
....MUNGU ampaye MBEGU mwenye kupanda, na MKATE uwe chakula, atawapa mbegu za kupanda na kuzizidisha, naye atayaongeza mazao ya haki yenu; ili MKITAJIRISHWA katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao MUNGU shukrani kwa kazi yetu.
...2Korintho 9:10-11...
(v). UZEMBE
....Uzembe ni kukosa uwajibikaji na umakini kwa unalolitenda yaani kushindwa kuishi kwa kiwango cha uangalizi ambacho mtu mwenye akili timamu angetekeleza katika mazingira yale yale na kukosa nidhamu, kutojali, kupuuza au kutofanya kazi kabisa.
Mfano
Inaweza kuwa wakati wa mavuno au kukusanya /kuweka akiba /kuhifadhi wakati unavyo, lakini kwa sababu ya tabia ya uvivu inasababisha kuzembea na kuona nitapata hata kesho, mwisho uhitaji huja kwa ghafla, na hapo utaanza Malalamiko.
..... Akusanyaye wakati wa hari ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.
.....Mithali 10:5....
(Vi). UMASKINI
.....Tabia ya uvivu mara nyingi uzalisha tabia ya KUPENDA KUSINGIZIA na ukiipenda usingizi umaskini utakufuata tu, Ingawaje sio kila umaskini unaletwa na uvivu, lakini mara nyingi Ukikosa bidii kwenye maisha yako unakaribisha umaskini (njaa).
.....Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa.
....Mithali 19:15....
(vii). ULEGEVU NA KUTEGEA
Ulegevu ni hali ya kutenda kwa kutegea au bila kujibidiisha.
....Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.
....Mithali 10:4...
Kuna laana sisi wenyewe tunazitafuta, unachokifanya kilicho halali unawwzeshwa na MUNGU, ukifanya kwa ulegevu unajipatia laana baada ya baraka.
....Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya BWANA kwa ulegevu.
....Yeremia 48:10....
Kiujumla tabia ya uvivu ni hatari sana na kuepukana nayo kabisa na unaishinda kwa KUONGEZA BIDII, Amina.
3. 5. TABIA YA 5: "UBINAFSI - SELFISHNESS"
......Tutaendelea......
____________
Rejea
"The hand of the diligent will rule, But the negligent and lazy will be put to forced labor"
.....Proverbs 12:24....
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
magaratimes · 2 years ago
Text
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
#VOA. | Wadau wa mazingira wadadisi usalama wa nguo za mitumba kwa mazingira
Wanamazingira wadai kuwa nguo za mitumba zinachangia kuongeza tatizo la taka na baadhi ya watu wanahoji iwapo nchi za Magharibi na Asia zinazo safirisha mitumba kwenda nchi za Afrika wanatumia fursa hiyo kugeuza bara hilo ni jaa la kutupa uchafu. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
tanzaniatech · 5 years ago
Text
Jiandae na Simu Mpya za Tecno Camon 15 Nchini Tanzania
Kampuni kinara ya simu za mkononi TECNO ndio kampuni inayosemekana na wadadisi wa masuala ya teknolojia ya simu kuwa huenda ndio itakayoleta teknolojia ya kamera ya simu ambayo kwa mara ya kwanza katika tasnia ya masuala ya simu janja Tanzania itakata kiu kwa watumiaji wa simu hizo hasa kwa upande wa kamera, betri na muundo […] More
Soma Zaidi : Jiandae na Simu Mpya za Tecno Camon 15 Nchini Tanzania
source https://tanzaniatech.one/2020/04/tecno-camon-15-hivi-karibuni/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=tecno-camon-15-hivi-karibuni
0 notes
enockmaregesi · 10 years ago
Text
Waandishi
128. Waandishi ni wadadisi.
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 7 years ago
Text
#VOA: "NATO ya Waislam" yazinduliwa Saudi Arabia
#VOA: “NATO ya Waislam” yazinduliwa Saudi Arabia
[ad_1]
Tumblr media
Wakati wanaounga mkono ushirika huo wameupa jina la “NATO ya Waislam,” lakini wadadisi pamoja na wale walioko Pakistan, wameendelea kuhoji malengo ya umoja huo na kuangalia kama ni kikundi kilichojikita katika madhehebu dhidi ya wapinzani wao -Mashia wa Iran, Syria na Iraq.
Mrithi wa Ufalme Mohammed bin Salman, ambaye pia ni waziri wa ulinzi wa Saudi Arabia, amefungua mkutano huo wa Umoja…
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 7 years ago
Text
#VOA: Tanzania yasisitiza kuvujisha takwimu kosa la jinai
[ad_1]
Tumblr media
Kauli hiyo imetolewa Jumamosi na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango akiwatahadharisha wadadisi watakao husika na zoezi hilo kuwa kuvujisha siri hiyo ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria ya Takwimu ya mwaka 2015.
Vyanzo vya habari nchini Tanzania vimesema kuwa aliwataka wananchi wote nchini ambao kaya zao zimechaguliwa kushiriki katika utafiti huo, kuhakikisha wanatoa taarifa…
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 8 years ago
Text
#DWSwahili: Wagambia wataka haki itendeke kwa waliopotea | NRS-Import | DW.COM
#DWSwahili: Wagambia wataka haki itendeke kwa waliopotea | NRS-Import | DW.COM
[ad_1]
Polisi nchini humo imeanzisha uchunguzi katika visa kadhaa, lakini wadadisi wanasema kufungua mashtaka katika mahakama ya uhalifu ya kimataifa ya ICC ni changamoto kubwa.
Wakati afisa wa usalama wa Gambia alipomkamata mwandishi wa habari Ebrima Manneh ofisini kwakwe, alimwambia mlinzi wa ofisi amuwekee chai yake.  “Narudi sasa hivi,” alisema Ebrima kulingana na mfanyakazi mwenziwe Alhagie…
View On WordPress
0 notes