#ujumbe
Explore tagged Tumblr posts
frontlinetv · 17 days ago
Text
Tumblr media
#Frontvibez Mwanamuziki @officialzuchu atangaza kuachana na aliyekuwa mpenzi wake @diamondplatnumz . Zuchu ameandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameainisha kuwa ni makubaliano yao wawili kuachana.
.
Zuchu ameongeza kuwa wanakazi mpya ambazo zinatoka hivi karibuni hivyo mashabiki wasishangae kazi hizo zikitoka na kuhisi kwamba ni kiki.
.
#frontvibez
#frontlinetv
0 notes
sariaisrael · 1 month ago
Text
Thomas Tuchel na England
Mbali na Shaka za Uteuzi wake, Kuna Sababu za Matumaini kwa England Jumatano hii, Shirikisho la Soka la England (FA) limemtangaza Mjerumani Thomas Tuchel kuwa kocha mpya wa timu ya taifa, kuchukua nafasi ya muda ya Lee Carsley. Uteuzi huu umepokelewa kwa mbwembwe, lakini pia umeibua maswali muhimu: Je, uteuzi huu unapeleka ujumbe gani kwa makocha wazawa wa England? Je, kocha mgeni ataendana na…
1 note · View note
chahali · 2 months ago
Text
0 notes
rwizakakiza · 3 months ago
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 14: MUDA NA KUSUDI) ...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 14:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
5. JE, MAJIRA NA NYAKATI ZINABEBAJE MAISHA YAKO? Au KUNA UMUHIMU GANI WA MAJIRA NA NYAKATI KWENYE MAISHA YAKO?
5. 2. KUSUDI LIMEFUNGWA KWENYE MUDA.
Makusudi yote yawe ya kibinadamu au yawe ya Kimungu yanafungamanishwa na muda wako wa uhai wako. MUNGU anapoamua kukuleta duniani, ujue majira yamefika na majira hayo yanaambatanishwa na kusudi au lengo la kuumbwa kwako. BWANA YESU hakuja tu ila alikuja kwenye wakati timilifu ili abebe hilo kusudi ndani ya muda uliopangwa.
‭.......Hata ULIPOWADIA UTIMILIFU wa WAKATI, MUNGU alimtuma YESU KRISTO ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria.
......Galatia 4:4.....
Kupitia andiko hilo YESU KRISTO alitumwa na BABA kwa wakati uliopangwa na kwenye Mazingira yaliyopangwa ambayo ni Mazingira ya sheria. Kwanini azaliwe chini ya sheria? Kwa sababu atuweke huru mbali na sheria zote. Jina lake lilisadifu kusudi alilolijia kulifanya, Malaika alipomtokea Yusufu (Mme mtarajiwa wa Bikira Maria) alimwambie hivi...
.......‭"Maria atazaa mwana, nawe (Yusufu) utamwita jina lake YESU, maana, yeye (YESU) ndiye ATAKAYEWAOKOA WATU WAKE na DHAMBI ZAO. Hayo yote yamekuwa, ili LITIMIE NENO lililonenwa na BWANA kwa ujumbe wa nabii akisema, Tazama, Bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, MUNGU pamoja nasi".
........Mathayo 1:21-23.....
Nafikiri umeona Yusufu hakumwita tu jina kwa sababu ya kupenda kwake ila alisikiliza MUNGU alichomwambia kwamba mtoto amwite nani na unaona anamwita jina lililobeba kusudi aliloumbiwa yaani Wakovu wa watu kutoka kwenye dhambi zao.
(Leo hii tunawaita majina watoto kutokana na majina maarufu ya Wachezaji! Waigizaji /Wasanii /wachungaji au Watakatifu fulani sio vibaya, Lakini Je hilo jina ndilo limebeba kusudi la kuumbwa kwake au umembebesha kusudi la mtu mwingine?.)
Kwenye maisha yako lazima utambue hujaja bure, haijalishi ulizaliwa kwenye mazingira gani, Yawe ya uzinzi, au Ubakaji au kutelekezwa au ndoa takatifu, na kadhalika, MUNGU ana kusudi na wewe, lazima ugeuke kwa MUNGU uliza Habari ya majira na nyakati zako umebeba nini.
Ndugu yangu kila mwaka, mwezi, wiki, saa, dakika, machozi au furaha na kadhalika vyote vimebeba ujumbe (kusudi fulani). Muda ukipita na kusudi lililoko kwenye muda huo linaondoka. Usipoteze muda kuangaika kutimiza makusudi ya watu ambayo hayalengi kukamilisha kusudi lako. Simama na MUNGU, unganika na watu sahihi kutimiza malengo yako na malengo ya MUNGU kwenye maisha yako, Amina.
6. AINA ZA MAJIRA NA NYAKATI KATIKA MAISHA YAKO.
....Tutaendelea....
Rejea
“When [in GOD’s plan] the proper time had fully come, GOD sent His Son, born of a woman, born under the [regulations of the] Law".
.....Galatians 4:4.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
meditationsoncatholicism · 4 months ago
Link
0 notes
mnaasilveira · 4 months ago
Text
Luz de Maria, 9 Agosti 2024
____________________________________________________________________ UJUMBE KUTOKA KWA BWANA WETU YESU KRISTOKWA LUZ DE MARIA9 AGOSTI 2024 Wanangu wapendwa, pokeeni Baraka Yangu. MOYO WANGU MTAKATIFU ​​UNAKUPENDA NA KUKUSUBIRI KWA UPENDO WA MILELE. Watoto, kwako kila siku mpya ni fursa mpya ya kusahihisha mwelekeo ambao unaendelea. Ninyi ni watoto Wangu na mnaendelea kutolitambua, Mimi ni…
0 notes
maxnate-africa · 1 year ago
Text
WhatMax APP NI NINI?
Hii ni aplikesheni ya simu za android itakayokuwezesha wewe mfanyabiashara, muandaa matukio, semina na mikutano kuweza kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi na kuimarisha mahusiano yenye tija kupitia mtandao wa whatsapp.
INAFANYAJE KAZI?
A: MOJA
Ina uwezo wa kuchukua namba za simu za biashara ama watu waliojisajili katika mitandao ya wazi ya kijamii mfano Google, facebook na kadhalika kwa urahisi kabisa mfano:             Wewe ni mmiliki wa duka la nguo na unauza nguo zako kwa jumla na unahitaji wateja wenye maduka ya nguo wauzao kwa rejareja wa mikoa mbalimbali na nchi mbalimbali ili wanunue nguo kutoka dukani kwako,
utakachotakiwa kufanya katika application ya whatmax ni
i) Hatua ya Kwanza: kuandika aina ya biashara ambayo kwa hapa ni "Duka ya nguo" au "Clothing Store" au "Nguo" na neno lolote linalofanana au kuendana na huduma ya nguo
i) Hatua ya pili: Kuandika eneo la kijografia ambalo unataka kupata namba za simu mfano: kampala, Dodoma, Kisumu nk.
Hatimaye utapata namba zenye mahusiano na ulichoandika na utaweza kuwaweka katika aplikesheni na kuwatumia meseji za whatsapp wote pamoja bila kusevu namba katika simu yako, lakini pia utaweza kuwapigia simu ya kawaida mtu mmoja mmoja kama itakufaa kufanya hivyo..
B: MBILI
WhatMax in uwezo wa kuchukua namba zaidi ya 1000 ndani ya dakika tano tu kutoka katika kundi la whatsapp lolote hata yale makundi ambayo ni kiongozi wa kundi pekee ndiye anaruhusiwa kutuma ujumbe ,
Hivyo kupitia WhatMax utaweza kuwatumia watu wa kwenye kundi meseji, Picha na video kwenye inbox zao bila hata kusevu namba zao
Kumbuka: meseji zinazotumwa kwa mtu binafsi zina uwezekano mkubwa sana wa kusomwa tofauti na meseji zinazotumwa kwenye makundi ya whatsapp.
C: TATU WhatMax ina uwezo wa kuyaweka makundi ya whatsapp unayoweza kuyatumia ujumbe unaofanana yakawa katika kundi moja hivyo utakapotuma meseji moja kutpitia whatMax itaingia kwenye makundi yote yaliyo katika orodha.
Kumbuka: huduma hii ni tofauti kabisa na WHATSAPP COMMUNITY kwani hakuna kundi litalojua kama limeunganishwa pamoja na kundi lingine na meseji au chochote utakachokituma kitakwenda kwenye kundi husika kana kwamba ulituma ujumbe huo kwa kulenga kundi hilo tu. D. NNE WhatMax inakuwezesha kuchukua namba za whatsapp ambazo uliwahi kuchat nazo na hukusevu katika simu yako na kisha kuzitumia meseji.
E. TANO WhatMax ina imewekewa uwezo wa kuwatoa kwenye makundi watu ambao ulikwisha watumia meseji lakini hawakupenda kuendelea kupokea meseji kutoka kwako wakati ujao, na hili linawezekana baada ya kuruhusu mtu aandike  "Unsubscribe" pindi anapopata meseji na kwa namna moja ama nyingine asingependa kupata tena meseji wakati mwingine na hivyo kupunguza kuchukiza watu
F. SITA Kupitia WhatMax utaweza kuwahudumia wateja kulingana na hatua ya uhusiano uliyo nayo inayojulikana kama Customer Journey. Hatua hizo ni kama ifuatavyo;
1. Awareness Katika hatua hii inatakiwa kila mmoja ajue kuhusu bidhaa au huduma yako bila kujali kama atanunua ama hatanunua, na ili huduma yako istawi unatakiwa kuhakikisha kila siku watu wapya wanajua kuhusu biashara yako
2. Consideration Katika hatua hii wale watu ambao walikuwa katika hatua ya kwanza, wakajua biashara yako au huduma unazotoa na wakaonesha kuvutiwa ama kuhamasika na kutamani kujua bei zako, mahali ofisi zilipo, muda wako wa kazi, nk hawa utatakiwa kuwaweka katika kundi tofauti na kuwatumia meseji tofauti na kundi la kwanza
3. Sales
Wale ambao walikuwa katika hatua ya pili lakini wakanunua huduma au bidhaa yako, hawa watatakiwa kutengenezewa kundi lao na watatumia meseji tofauti na kundi la pili
4. Leads Hawa ni wale wateja wa kujirudi hawa watatakiwa kutumiwa meseji za salaamu, heri ya kuvuka mwezi, meseji kuhusu ofa na zawadi kwa kadri ya mpangilio wa huduma yako.
TUMIA WHATMAX APP
Pakua sasa
Tumblr media
1 note · View note
zephilinecom · 1 year ago
Text
Tumblr media
YouTube Subscribe
Baada ya Kujifunza: ✔ YouTube ni Nini? ✔ Jinsi ya Kujiunga na Kuitumia
Kuna msomaji alinitumia ujumbe📩 X((Twitter) @ZephilineCom) nimsaidie kuijua Subscribe kiundani Yeye huwa anabonyeza tu ila hajui inasaidia nini zaidi ya kuongeza idadi tu🤣
Usichokijua ile batani ina kazi kubwa sana
Tumblr media
Wakati nakuandalia post ya Subscribe ni nini Niombe kama una: 》Swali 》Maoni Hata kama vipo nje ya YouTube Uliza
Inbox pako wazi kama una changamoto yeyote nitakusaidia
Ikiwa umepitwa na Makala nilizozitaja hapo juu gusa link kwenye bio yangu usomee Ni bure kabisa
Karibu Sana
1 note · View note
trumpeterscall · 1 year ago
Text
LEO NIMEOMBA MUNGU ANISAIDIE
MAELEZO YA ROBERT YA WAZI!”Nafasi yangu katika kuwasilisha machapisho haya hayafanywi kama mchungaji, mhudumu, au mwalimu wa maneno ya Mungu. Wanaletwa mbele kama ujumbe wa kutambuliwa na wale wanaowapokea na kuchagua kibinafsi jinsi ya kujibu. Msingi wa Kimaandiko kwa ajili ya utoaji wao Ezekieli 33:9Hata hivyo, ikiwa unawaonya waovu juu ya njia yake ya kugeuka kutoka kwake; kama hatageuka…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
tibaherbs · 2 years ago
Text
Dalili kubwa za uchawi wa hali ya juu
Ukiona mtu anabisha kuwa hakuna uchawi usimshangae kwani uchawi umetajwa na ulikuwepo enzi za manabii kama Suleiman, Musa, Muhammad na wengine. Biblia na Qur’an zimeutaja uchawi, tunaona Nabii Musa alivyokwenda Kwa Farao/Firauni kumpa ujumbe wa Mungu mmoja wa pekee na kutoa miujiza mikubwa kutoka kwa Mungu muweza, Farao hakuamini kuwa miujiza ya nabii Musa imetoka kwa Mungu mmoja aliyeumba kila…
View On WordPress
0 notes
mrherojoseph-blog · 2 years ago
Photo
Tumblr media
MIMI NI NABII MUTULA: Siku ya Leo nakuombea wewe unayesoma ujumbe huu🎇 Haijalishi uko nchi gani 🇰🇪🇺🇬🇹🇿🇬🇭🇧🇮🇦🇸🇺🇲🇸🇦 Pokea muujiza sawa sawa na Imani yako. 👉POKEA NYOTA 👉POKEA UTAJIRI 👉 POKEA KAZI 👉 POKEA NDOA 👉 POKEA MTOTO.... Kuanzia saa hii nakata minyororo inayokuzuia kupata ndoa, Kazi, Biashara, afya, nyota, au kufanikiwa in Jesus mighty name. 🎇Prophet Dr. Mutula -The Great 🎇 FOR PRAYERS CALL/WHATSAPP: 0720508509/0745207062 #LetMyPeopleGo https://www.instagram.com/p/CnWES-ata6i/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
sariaisrael · 10 months ago
Text
MAYELE AWAVAA VIONGOZI WA YANGA
“Chuki ya nini mimi siyo mtanzania mbona, nilikosea kucheza timu za Tanzania nini”, maneno ya Fiston Mayele kupitia ukurasa wake wa Instagram ambako alizua taharuki kwa wadau wa michezo baada ya kutupa lawama zake hizo. Mayele alionekana kukerwa na jambo fulani na kuingia ista kisha kuandika ujumbe mzito uliowashangaza watu wengi hususani mashabiki wa Yanga. KUJIUNGA NA YANGA Kabla ya sakata…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
chahali · 4 months ago
Text
0 notes
rwizakakiza · 10 months ago
Text
KIWANGO CHA KUFANIKIWA KWAKO, KINATEGEMEA NGUVU YA NENO ULIYOWEKEZA NDANI MWAKO.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia na Subscribe.
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
Mafanikio na Ustawi wako (kiroho, kimwili, kiuchumi, kisiasa, kiafya, nk) unategemea sana nguvu ya Neno la MUNGU ulilowekeza ndani mwako.
....."Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate KUANGALIA KUTENDA sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo UTAKAPOIFANIKISHA njia yako, kisha ndipo UTAKAPOSITAWI sana.
........Yoshua 1:8......
Kitabu hiki kisiondoke kinywani mwako.... Maana yake anataka kusema, lijae ndani ya moyo wako ambapo matokeo yake, kwenye kinywa chako Neno litatamkwa bila shida kwa sababu unatamka kilichoujaza moyo wako usiku na mchana.
Ukifaulu hatua hiyo inafuata hatua nyingine ya.... Kutafakari Neno usiku na mchana... Yaani ufahamu au akili nayo inalishwa (inatafakarishwa) ili kutafakari Neno la MUNGU, na sio kutafakari mawazo maovu na mabaya. Kwenye tafakari ya Neno la MUNGU, hapo ndipo ROHO MTAKATIFU anakufunulia ujumbe na kukufundisha na Ukikubali kufundishwa utapata faida.
Ndio maana anasema... Utaifanikisha njia yako na kustawi sana, maana Neno la MUNGU lenyewe litakuongoza katika njia sahihi maana Neno lenyewe ni taa ya miguu yako.
Hivyo kutafuta mafanikio na Ustawi wa kila kitu, Bila kuwa na BWANA YESU, mwenye mafanikio na Ustawi hata ukiupata utakuangamiza na kuikosa Mbingu.
Lakini
Ukimtafuta BWANA YESU na Ufalme wake ukakaa ndani yake, mafanikio na Ustawi na baraka vitakufuata wewe na kukupata sio kwamba utavitafuta.
Maamuzi ni yako kipi bora kwako kumtafuta BWANA YESU mwenye vyote au kutafuta vitu anavyotoa BWANA YESU?
Jenga urafiki na Neno la MUNGU, Tii Neno la MUNGU likupe nguvu, Ustawi, mafanikio na baraka za kila namna.
Rejea
‭‭ "This Book of the Law shall not depart from your mouth, but you shall read [and meditate on] it day and night, so that you may be careful to do [everything] in accordance with all that is written in it; for then you will make your way prosperous, and then you will be successful.
......Joshua‬ ‭1:8‬......
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
1 note · View note
meditationsoncatholicism · 4 months ago
Link
0 notes
mnaasilveira · 1 year ago
Text
Fatima, Mei 13, 1917
______________________________________________________________ ______________________________________________________________ Nilizaliwa Azores, Ureno, nilienda bara kwa ajili ya utumishi wa kijeshi. Nilimtembelea Fatima mwaka wa 1975, nilihudumu kwenye misa moja na kusali katika eneo la mazuka. Tokeo la kwanza la Bikira Maria lilitokea Mei 13, 1917, na ujumbe wake ulikuwa Uongofu, Kitubio na…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes