Tumgik
#sikuyawazee2022
serengeti-dc · 2 years
Photo
Tumblr media
Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani. Kuelekea Kilele cha Siku ya Wazee Duniani wilaya ya Serengeti itaadhimishwa tarehe 🗓️30/09/2022.Katika 📍 Kijiji Cha Mbalibali Huduma zifuatazo zitatolewa bila malipo kwa Wazee kama vile 🦷Uchunguzi wa kinywa na meno 🕵️uchunguzi wa magonjwa ya macho ♥️Upimaji wa shinikizo la damu na Kisukari 🉐Ushauri maswala ya Afya kwa ujumla kwa wazee wote ✍️🇹🇿Kauli mbiu Ustahimilivu na mchango wa wazee ni muhimu kwa Maendeleo ya Taifa. #wazeewambanga #wazee #old #olderwomen #oldcar #oldisgold #gold #mazingira #sikuyawazeeduniani2020 #sikuyawazee2022 #afya #maendeleo #youth #energy #jesusismylord @ikulu_mawasiliano @maene_gloire @maendeleoyajamii @icaretechnologytz_ @jamiiforums @timesfmtz @elimu_ya_afya @bjinitiative @_maids_for_show_ @mzeewabwax_1 @adamchomvu @uvccm_w_serengeti @regmel_technology https://www.instagram.com/p/CjFR2wqt6TC/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes