Tumgik
#niwakatiwako
imungy-blog · 3 years
Photo
Tumblr media
Ubaya Una mwisho. Ukifanya ubaya iko siku itakuridia. Karma kweli anaishi. Asante kwa mafua kunilaza kitandani, leo nimebahatika kuangalia movie RIO 1 & 2. Movie Hii ni maisha halisi ya wanadamu. Ukiishi kwa nia ya kuumiza na kuwaharibia wengine, kuna siku na wewe yatakufika. Ni wakati wako! Kinachoshangaza ni pale ambapo wakati unafanyia wengine unaona ni sawa! Ikifikia kwako unaona unaonewa. Watu waliymia sana na ulikuwa unawabeza na kuwaambia “unajitahidi kuwapatanisha” Kumbe si chochote. Na unajua hawakuwa na makosa. Wengine maisha yameharibika kabisa. #uongo #ukorofi #walionewa Ikifika wakati na zamu yako, linda lindo lako vizuri. Kaa kimya na vumilia. Tulivumilia na hatukulalamika. Kama Una haki Mungu atasimama Na wewe. La, tulia. That’s how it feels. #sixdowntwotogo #mtotowanesi #karmahasnodeadline #niwakatiwako #tuliadawaikuingie #haihusianinamtu tafadhali! (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/imungy/p/CXoEKI8MHSi/?utm_medium=tumblr
0 notes
kingmzeeguge1-blog · 7 years
Photo
Tumblr media
Dunia imebadilika nitofauti na zamaniii ilivyokua ona shetani katuteka hatandugu hatupendaniiii tuombedua ukipataweridhika soshinikizo la shetaniiiii weeeeweee mbona ndege hawalimi hawavuni na wanaishishiiii weeeeweee manyanyasoooooo ya dunia yanamwishooo kijana niwakatiwako oooh ooh wakuonesha mabadilikooooooooh Sayari ya tatu dunia ya watu imegeuka uwanja wa maovu na machafu sayari ya tatu dunia ya watu imegeuka uwanja wamaovu namachafu say oooooh ooooooh dunia siyo mbayaaaaah oooooooh ooooooh binadamu ndiyo wabaaaayaaaaaah x2 #KINGMZEEGUGE www.facebook.com/kingmzeeguge
0 notes