#heriyanoeli
Explore tagged Tumblr posts
imungy-blog · 5 years ago
Photo
Tumblr media
Kwa familia na rafiki zangu wote tunaowasiliana kupitia mitandao ya kijamii; Muwe na sikukuu njema ya Noeli yenye furaha na amani mioyoni mwenu. Nawatakia pia Baraka za mwaka mpya wenye mafanikio lukuki ikiwemo furaha, busara na utashi wa kumjua na kumpenda mola wetu. #Upendowakwelinibaraka #merrychristmas2019 #heriyanoeli #happychristmas #christisthereasonfortheseason (at Moshi) https://www.instagram.com/p/B6ezUeBHmGcJaq1m6_VooB5cD4IKqARLlcizKI0/?igshid=jsa2omouv5yt
0 notes