#Lugha
Explore tagged Tumblr posts
Text
0 notes
Text
It's speak your language day! I have some fun facts on Kiswahili! Translation under the cut.
Leo hapa Tumblr ni siku ya kuongea lugha yako ya kwanza (inaitwa speak your language day)! Kuisherehekea siku hii, nilitaka ku shiriki nanyinyi nyote semi chache za Kiswahili. Kiswahili ina utajiri nyingi ya mapokeo ya mdomo, na kuna desturi na historia ndefu ya kusimulia mahadithi, kutega vitendawili, n.k.
Kwa mfano, ukitaka kusimulia hadithi, unaanza hivyo:
Msimulizi: Hadithi hadithi!
Hadhira: Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea!
Msimulizi: Zamani za kale...
Hadithi zinazosimuliwa mara kwa mara ni hadithi za wanyama wa porini: sungura mjanja, mfalme simba, fisi, na kadhalika; hadithi kama hizi zinapatikana katika nchi nyingi za Kiafrika.
Vitendawili ni semi zinazotegwa, na watu wanatakiwa wazifumbulie. Watu wanaoongea Kiswahili kawaida wanajua vitendawili vingi, kwasababu tunazifunza katika shule ya msingi—mi mwenyewe nakumbuka nilipokuwa katika darasa la saba, kabla ya mtihani ya taifa, nilikaa ninakariri vitendawili kama arobaini! Vitendawili vinachekesha na vinachemsha bongo, kwa mfano:
"Askari wangu ni mpole lakini adui wanamhara." (Jibu: paka)
"Tajiri wa rangi." (Jibu: kinyonga)
"Numba yango ina nuguzo mmoja." (Jibu: uyoga)
"Mzungu katoka ulaya no mkono kiunoni." (Jibu: kikombe)
Kwa ukweli mi mwenyewe nimeaanza kusahau vitendawili vingine—lakini zinapatikana ukiGoogle siku hizi!
Kiswahili ni lugha yenye historia, desturi, na vipengele vingi vya kuvutia—siwezi kuziandika zote hapa, lakini kwa mfano, muda ya Kiswahili ("swahili time"), ngeli za nomino, historia ya uandikishi wa Kiswahili (kuanza na harufi za Kiarabu), na ilivyotengenezwa 'lingua franca' katika Tanzania, na lugha ya taifa baada ya uhuru. Natumaini mtafunza kidogo kuhusu lugha ya Kiswahili leo—usiache baada ya kujua 'Hakuna Matata' tu!
(Kama nimokesea sarufi, samahani sana! Siku hizi siandiki kwa Kiswahili kwa kawaida.)
(Translated from Kiswahili/Swahili, with some extra notes)
Today, here on tumblr, is Speak Your Language Day! To celebrate this day, I wanted to share with you a few short sayings in Kiswahili. Kiswahili has a rich variety of oral traditions, and there is a long history and tradition of narrating stories orally, posing vitendawili (common riddles), etc.
For example, it is traditional when one is narrating a story to start like this:
Narrator: A story, a story!
Audience: Story, come! Fiction, come! Make it sweet!
Narrator: Once upon a time...
The common tales that are narrated are folk tales involving wild animals: common characters of the cunning hare (sungura mjanja), the king lion, the hyena—folk tales of similar nature can be found in many African countries.
Vitendawili are short sayings that are posed, and people need to solve/figure them out. People who speak Kiswahili will know many of these, because we learn them in primary school—I remember when I was in Grade 7, before my national exams (standardised tests taken at the end of primary school), I sat and memorised about forty different vitendawili! Vitendawili can both make one laugh, and be mind-bogglers (literal translation: they boil the brain), for example:
"My soldier is so gentle, but the enemies are scared of them."
"The one wealthy in colours."
"My house has only one pillar."
"The white man has come from England with his hand on his waist."
Answers to the vitendawili are at the bottom.
In all honestly I have forgotten a lot of the vitendawili—but these days you can Google and find lists of them easily!
Kiswahili is a language with a rich history, and many fascinating features—I couldn't write them all here, but for example, Swahili time, our many noun classes, the history of writing Kiswahili (there are early Kiswahili writings using the Arabic script), and the way it originated as a lingua franca and how it became the national language and a uniting factor in Tanzania after independence. I hope you'll look up the history of or a little bit of Kiswahili today—it's much more than just the phrase 'Hakuna Matata'!
(My apologies if I've made any grammar mistakes—these days I don't often write in Kiswahili. Also, because I intentionally wanted to write this in Kiswahili first, and then translate it, and I'm not practiced at translation, the English sounds clunky/weird—my apologies, but hey, it's SpYLD, I gotta prioritise the non-English text.)
Answers to the vitendawili:
A cat
A chameleon
A mushroom
A teacup
Some links:
Langfocus' Swahili video, which is a really good primer
The online Kiswahili dictionary I use most
For Kiswahili news, BBC Swahili (both online and you can listen to the radio) is pretty good. There's also many, many Kiswahili language news sites you can find, eg Mwananchi.
And of course, music!
Bongo flava is a genre of Tanzanian music (that originated in Dar es Salaam! Bongoland!)—it's a vibrant genre, it's closely linked to hip-hop and Afrobeats; I have a soft spot for the Bongo Flava of the 00s, so here's Usineseme by Ali Kiba (2009)
Sauti Sol are super well known these days, with good reason! They're awesome! They sing in both Kiswahili and English, but my favourite song of theirs is Nairobi
And in a departure from my usual brand, some patriotic music—this is a remix of the traditional patriotic song Tanzania Tanzania, recorded to encourage people to vote in the 2015 elections. I like it because it's a fun video that captures a lot of different parts of Dar es Salaam.
#this got so much longer than i planned#and translation is hard my god#spyld#speak your language day#kiswahili#swahili#languages#linguistics#home and neighbouring lands#text post#my post#anyway hope you all have enjoyed this journey in which i learn bad i am at translation#and how much specific kiswahili vocab i've forgotten#i can feel my primary school teachers' disappointment
153 notes
·
View notes
Text
Mashabiki wa lugha hawa.
Wajerumani wakiongea Kiswahili kama wenyewe.
Kiswahili kimesambaa kweli. Lakini hapo zamani, Kiswahili kilikuwa kinazungumzwa pwani ya Afrika Mashariki pekee, na sana sana katika eneo la Tanzania na Unguja. Kwingineko, Kiswahili imekuwa lugha inayozungumzwa katika sehemu mbali mbali za ulimwengu, zikiwemo Bara Ulaya, Japan, na kadhalika.
Na wenyenji hawa wa Ujerumani ambao walikuwa wamehudhuria kongamano la Kiswahili pale chuo kikuu cha Hamburg, wanathibitisha wazi kwamba mtu yeyote anaweza kukizungumza Kiswahili kama mzaliwa asili wa Afrika.
2 notes
·
View notes
Text
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
Tumaini Jipya Ndani ya YESU KRISTO
Ni
KUMZALIA MUNGU MATUNDA YADUMUYO (TUNDA LA ROHO MTAKATIFU)
"KKK 1832"
Juzi tuliona ili uweze kumzalia MUNGU matunda yadumuyo, lazima ukae ndani ya YESU, na YESU akae ndani yako yaani uwe umeungana kabisa na YESU KRISTO, na utaratibu wa kuungana na YESU KRISTO ni kukaa.
....... Yohana 15:1-8.......
NINI MAANA YA KUKAA?
>>>Kwa kawaida mtu ukikaa chini, huna uwezo wa kujitetea yaani huwezi kutumia uwezo wako ulionao kupambana, ukiwa umekaa hapa unahitaji msaada wa kusaidiwa kupiganiwa, sio wewe kupigana maana huna uwezo wa kupigana.
....... Ndio maana ametumia lugha ya kukaa, akimaniisha Unamwihitaji BWANA YESU akusaidie kushinda kila kitu na kila hali,...... Hajasema uwe ndani ya YESU...... Ukiwa ndani ya YESU, unaweza kusimama, kukimbia, kuruka, nk, kwa maana unaweza kutumia uwezo wako (Elimu, cheo, karama, vipawa, uzuri, nk, kupambana au kutatua hali au jambo, lakini kuna mengine yatagota pamoja kwamba utatumia Elimu au nafasi yako kufanya baadhi ya vitu
lakini
....... Hauwezi kununua Uzima wa milele,...... Hauwezi kununua upendo...... Hauwezi kununua Amani,....... Hauwezi kununua furaha, ambayo ni matunda ya ROHO MTAKATIFU.
..... Hivyo ndio maana anasema, ili nizae matunda yadumuyo, lazima nikae ndani ya YESU KRISTO, ili NISITEGEMEE uwezo wangu, akili zangu, karama, vipaji, Elimu, nk, Ila naweza kuvitumia ila nisivitegemee, bali nimtegemee YESU KRISTO kwa kila kitu, yaani nikae ndani ya YESU KRISTO.
>>>Dalili za kugundua umekaa ndani ya YESU KRISTO Ni kuzaa matunda yanayodumu, ndiyo yatakayokutambulisha.
...... Mathayo 7:15-20.....
Matunda yadumuyo na yenye kukutambulisha ambayo tutaangalia Matunda 12 amboyo ni baadhi kwa maana yapo zaidi, Tuanze na Tunda la kwanza......
1. UPENDO
💬.... Tutaendelea jumatatu........
Rejea
"Tunda la Roho ni Upendo, Furaha, Amani, Uvumilivu, Utu wema, Fadhili, Uaminifu, Upole, Kiasi; Juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
Galatia 5:22-25
@2023 the greatest Glory for me.
2 notes
·
View notes
Text
Arabic vocab
Verbs
NB: VSO language (= verb first)
/ayin/ - has
Question word
Goes first
/2aiin/ - where
/hal/ - gen. question word
Pronouns
Masculine pronouns = a
Feminine pronouns = i
Singular
1st Person اَنا /anaa/
2nd Person (M) اَنتَ /anta/
2nd Person (F) اَنتِ /anti/
3rd Person (M) /hua/ he
3rd Person (F) /hii/ she
Nouns
Female job titles get an "a" added at the end.
/baiit/ - house
/dajaaj/ - chicken
/jaar/ - neighbor
/lugha/ - language
/maHaam/ - lawyer
/malak(a)/ - king/queen
/mualliim(a)/ - teacher
/mutarjim(a)/ - translator
/samak/ - fish
/sayyaara'a' - car
/'ustadh(a)/ - professor
/walad/ - boy
/zawj/ - husband
Adjectives
NB: After noun, no need for "is" (and = wa).
Adjectives (incl. nationalities) that describe a feminine noun have an "a" added to them.
/berid(a)/ - cold
/dekii(a)/ - smart
/ha3dii/ - regular
/jadid(a)/ - new
/jajjid(a)/ - good
/jamiil/ - pretty
/kabir/ - big
/kariim(a)/ - generous
/mumtaz(a)/ - amazing
/mumtia/ - fun
/muzbahima/ - crowded
/sahiid(a)/ - happy
/sariiha/ - fast
/waasi'a/ - spacious
Adverbs
NB: after adjective
/aayaamaa/ - very
Misc.
/aaii/ - goes right before the person you speak to
2 notes
·
View notes
Text
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango asisitiza elimu kutolewa Hatifungani ya Samia ya Miundombinu (Samia Infrastructure Bond)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Ofisi ya Rais -TAMISEMI na Benki ya CRDB kuhakikisha uzinduzi wa Hatifungani ya Samia ya Miundombinu (Samia Infrastructure Bond) unaenda sambamba na utoaji wa elimu kwa umma kwa lugha rahisi kuhusu masuala ya fedha na uwekezaji katika fursa kama hizo. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati wa uzinduzi wa…
View On WordPress
0 notes
Text
VIDONGE MAALU VYA KUUWA WADUDU KAMA KUPE, VIROBOTO, UTITIRI NA KUTIBU UKURUTU KWA MBWA
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
SIMPARICA hivi ni vidonge maalumu kwajili ya kuuwa wadudu kama kupe, viroboto, utitiri na kutibu ukurutu kwa mbwa, kwa lugha ya kitaalamu hawa wadudu wanaitwa parasite.
Mara nyingi tumekuwa tukitumia dawa za kuogeshea mbwa ili kuuwa wadudu kama kupe na viroboto, leo tunawaletea njia nyingine ya kuuwa hawa wadudu kwa kutumi vidonge vya SIMPARICA.
Box moja lina vidonge vitatu (3) na kidonge kimoja mbwa ukimpa mbwa kinauwezo wa kuuwa hawa wadudu kwa siku 35, yaani hii dawa inakaa mwilini siku 35, zaid ya mwezi.
Kidonge kinaanza kufanya kazi masaa matatu (3) baada ya kumlisha mbwa.
Vidonge hivi unaweza kumpa hata mbwa mwenye uzito mdogo kuanzia kilo 1.3kg.
#simparica #bravecto #sumuyaviroboto #sumuyakupe #vidongevyakuuwaviroboto #vidongevyakuuwakupe #dawayaviroboto #viuatilifu #vidongevyakuuwautitiri #vidongevyakutibuukurutu #simparicatablets #vidongevyaukurutu #vidongevyambwa #vidongevyamange #vidongevyakiroboto
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #mbwa #mbwawaulinzi
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
Text
TUNAUZA MAWE YA MADINI KWAJILI YA NG'OMBE NA KONDOO KWA BEI NAFUU
WE ARE SELLING MINERAL BLOCK FOR CATTLE AND SHEEP AT AFFORDABLE RATE
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackvetclinic
Mineral block ni nini?
Mineral Block kwa kiswahili ni jiwe lenye madini, haya ni mawe special kwajili ya ng'ombe. Haya mawe yana madini mengi ya kalishiamu na fosiforasi.
Kwa lugha nyepesi, Mineral Block ni mchanganyiko wa madini ya Calcium na Phosphorus ambao upo katika mfumo wa jiwe/tofali.
Mineral Block husaidia kutatua changamoto kwa wanyama wenye upungufu au maradhi yatokanayo na ukosefu wa madini haya ya Calcium na Phosphorus.
FAIDA ZA MINERAL BLOCK KWA MIFUGO
1. Huzuia kuongeza kiwango cha maziwa.
2. Husaidia katika utengenezaji wa mifupa na kuiimarisha pia.
3. Hutumika na misuli ya mwili, hivyo husaidia ufanyaji kazi wa misuli.
4. Huwezesha mfumo wa uzazi kufanya kazi sawa sawa, hasa kipind cha kusukuma mtoto.
5. Husaidia ufanyaji kazi wa mifumo mingine ya miwili
Faida nyingine za Mineral Block kwa wanyama wengine: Huzuia ng’ombe kuanguka, viungo dhaifu na huimarisha mifupa na kupunguza matatizo ya mifupa.
Adress: P. O. Box 67414, Tegeta, DSM
Kuhusu kilimo follow @kilimo_tz
Kuhusu mifugo follow @mifugo_tz
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
#mineralblock #maweyamadini #chakulachamifugo #mchanganyowamifugo #madiniyangombe #madiniyamifugo #madiniyangombe #kalishiumu #DCP #calcium #dicalcium #phosphorous #madiniyakuku
Office zetu zipo @TegetaWazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375
(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackagrovet #tanzania #joackcompany #mifugotz #kilimotz #mifugo #kilimo #kilimobiashara #ufugaji #dawazamifugo #dawazakilimo #pembejeozakilimo #dodoma #morogoro #tanzania🇹🇿
JOACK COMPANY LTD DSM NA BAGAMOYO
0 notes
Text
TUNAUZA MIFUKO YA KUHIFADHIA NAFAKA | MIFUKO YA KUHIFADHIA MAHINDI NA NAFAKA NYINGINE
Call/Text/WhatsApp: +255 655 05 73 23
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
MIFUKO YA NI NINI TUTUMIE MIFUKO HII.??
Hii ni mifuko iliyobuniwa kwaajili ya kuhifadhi mazao mbalimbali bila kutumia kemikali au madawa ya kuuwa wadudu waharibifu wa mazao.
Kwa lugha rahisi inajulikana kama mifuko ya tabaka tatu kwa vile inatabaka tatu zinazofanya kuwa mfuko mmoja uliokamilika mfuko huu una tabaka tatu ,tabaka mbili za ndani zimeundwa na nylon mbili nzito na tabaka ya nje ni mfuko mzito wa kiroba au sandalus
Unaweza kuhifadhi mazao yote ya jamii ya nafaka na mikunde kwa kutumia mifuko ya kinga njaa(picstabaka tatu), mfano; #mahindi, #mtama, #uwele, #shayiri, #ngano, #kunde, #maharage, #karanga, #mbaazi, #njugumawe, #fiwi, #choroko
#mifukoyakuhifadhianafaka #mifukoyapics #mifukoyatabakatatu #nafaka #kuhifadhinafaka #wauzajiwanafaka #mchele
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 05 73 23 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #kilimo #mifugo #dodoma #kilimochanafaka #tanzania🇹🇿 #mbegu #tanzania #morogoro #mbeguzanafaka
JOACK Company LTD| DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
MASHINE YA MKONO KWAAJILI YA KUTENGENEZA PELLET CHAKULA CHA MIFUGO
Bei ni 90,000/=Tsh - Manual Pellet Machine
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
Masaa ya kazi: 0700am - 1100pm
PELLET ni chakula cha mifugo kilicho tengenezwa katika mfumo wa tambi tambi au chenga chenga, yaani kwa lugha rahisi ni chakula cha tambi tambi.
JINSI YA KUTENGENEZA PELLET
1. Ili utengeneze pellet, unatakiwa kuchangya virutubisho vyote mfano mahindi, mashudu, pumba, soya, madini, vitamini, nk sehemu moja kwa kutumia beleshi au mashine maalumu ya kuchanganyia chakula (MIXER)
NB: Chakula kilicho changanywa tu na kupewa wanyama huwa kinaitwa MASH
2. Changanya mchachayo wako na maji kidogo, ili uwe na unyevunyevu, hii husaidia chakula kushikana pindi unapotengeneza pellet kwenye mashine.
3. Chukua huo mchanganyo wako na weka kwenye mashine ya Pellet na uwashe mashine ili kutengeneza Pellet.
4. Hatua ya mwisho ni kuchukua Pellet ulizo tengeneza na kuzianika juani (lisiwe kali).
KWANINI ULISHE PELLET?
Hii ni kwasababu pellet moja (chenga moja) inakuwa na virutubisho/vichanganyo vyote, lakini kwenye chakula cha MASH mnyama/ndege anaweza kula punje aina moja zaidi kuliko nyingine, mfano kula mahindi kuliko soya.
Hii sababu inafaya PELLET kuwa bora na yenye matokeo kuliko MASH
#pellet #pelletmachine #chakulachasungura #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #pelletmachineyasungura #mashineyapellets #mashinezachakulachakuku #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #pelletyamkono #mashineyapelletyamkono #tunauzamshinezaufugaji
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #daressalaam
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
Lugha-Goddess of craftmanship
Lugha is the eldest of the 3 sacred gods and also the one to experiences the valleys creation. A star banished from the sky landed upon the ground of the vaste Anyere (a word in their religion for nothigness) creating the valley itself, the fountain of life the valley and Lugha. For many centuries she was alone, creating many beasts and monsters out of the stone and metal. Each one of them got killed by Lugha's great blade when Mildya arrived, to keep her little sister away from all harm that could come her way. Crios, the most powerfull of all the beasts, got trapped under the valleys heavenly soil because Lugha couldnt stand to kill her most perfect creation. Plagued by guilt, she cut off her own tounge, because she feared Crios would hear her speak from above the ground and get struk by grief of being reminded by his loneliness. From her tounge that fell onto the valleys holy soil, we mortals got birthed. Lugha was at first taken back by our sudden appearance, finding it at the same time curios, how from her tounge so vulnerable and strange creatures could be birthed. She fell inlove with humanity, marvelling how even though we were so weak and vulnerable, we could use our surroundings to survive. And so the vigorous Goddes Lugha gave us power to craft and use the holy metal that the valley surrounded, to show her love for us birthed from her flesh.
1 note
·
View note
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 5: HOF...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: V.
----------------------
3. 2. 1. DALILI /MATOKEO YA TABIA YA HOFU.
Baadhi ya Viashiria /Dalili /Matokeo ya Hofu ni
(a). WOGA (Somo lililopita tulizungmzia Woga, leo tuendelee na...)
(b). MASHAKA - DOUBTS
Mashaka ni hali ya KUKOSA UHAKIKA yaani kutokuwa na hakika juu ya kitu au mtu fulani, au kuwa na UGUMU wa KUAMINI jambo fulani.
.....Kwa maana kwa kila shauri kuna wakati na hukumu; kwa sababu MASHAKA ya MWANADAMU yaliyo juu yake ni MAKUBWA.
......Mhubiri 8:6.....
Unaweza kabisa usiwe mwoga kabisa, lakini ukawa na tabia ya mashaka mashaka, Mwenye shaka kuamini au kumwamini mtu ni vigumu. Hata kama ni mwenzi wake wa ndoa HAMWAMINI. Kinachomsumbua ni hofu ya kuachwa au kusalitiwa.
Mtu mwenye mashaka kufanikiwa kwake ni vigumu kwa kuwa haaminini chochote, hata kama watasema tukifanya biashara fulani, kazi fulani, tutasafiri, haya yote kwake ni mashaka tupu. Huyu mtu anatawaliwa na mashaka na kuona uharibifu tu, Hata kama atahakikishiwa na MUNGU kwa yupo pamoja naye, akikutana na kitisho hamwamini tena MUNGU wake.
.....UHARIBIFU na MASHAKA yamo njiani mwao. Wala njia ya amani hawakuijua. Kumcha MUNGU hakupo machoni pao.
......Rumi 3:16-18.......
(c). WASIWASI - ANXIETY
Wasiwasi ni hali ya KUKOSA UTULIVU wa ndani na kuondoa USIKIVU wa mtu, au kuathiri USTAWI au FURAHA ya Mtu. Maisha ya kuishi duniani yanakuwa wasiwasi tupu na unakosa kuamini hata maisha yako mwenyewe.
......Uzima wako utakuwa na WASIWASI mbele yako; nawe utakuwa na woga usiku na mchana, wala HUTAAMINI kamwe MAISHA yako.
.......Kumb 28:66....
MFANO
Huwezi kuwa na Utulivu na furaha wakati unadaiwa madeni, Au wakati unatuhumiwa, Au wakati umemsaliti mtu, Au Umeambiwa ugonjwa huu hauponi. Wasiwasi unaweza kupelekea MSONGO WA MAWAZO na kuzalisha Magonjwa mengine kama Kisukari na Presha
(d). HOFU YA MAISHA - FEAR OF LIFE.
Hii ni hali KUOGOPA KESHO yako, na KUSITASITA kufanya MAENDELEO ukiogopa kifo. Mtu mwenye hofu hii hawezi kufanya maendeleo kwa sababu mtazamo wake anaona watanufaika wengine.
Mtazamo mwingine
Mtu mwenye hofu ya kesho anajiuliza maswali .....Itakuwaje nikifa?.... Itakuwaje nikifirisika?..... Itakuwaje nikikataliwa?.... Je nikipata ajali?....Itakuwaje nikizeeka....nk
Kujiuliza maswali ni vizuri, lakini maswali hayo yasilete hofu, Bali yakupe suluhisho na kutatua kesho yako, sio kuiogopa.
.....Msisumbuke, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini?
Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
......Mathayo 6:31.....
(e). HOFU YA MABADILIKO..
Kati ya matokeo hatari ya Hofu ni kuogopa Mabadiliko. Hii ni hofu iliyotanda MakanisanI, kwenye taasisi, kwenye Serikali, na kwa mtu binafsi.
Hii ni hofu ya KUOGOPA VITU au MFUMO MPYA. Watu wengi wamebaki na lugha tu kwamba.... TULIKUWA TUNAFANYA HIVI.... hata wakitenda matokeo yake ni kidogo mno.
Hofu ya mabadiliko INAZUIA kujaribu yaani INAONDOA UJASIRI WA KUBUNI VITU VIPYA.
Tabia ya Hofu inakujengea Wasiwasi, Woga, Mashaka, inaleta kuogopa kesho yako, ikatae hii tabia ni HATARISHI kwako, Vaa ujasiri tupa nje hofu.
.....Uwe HODARI tu na USHUJAA mwingi, uangalie kutenda sawasawa na sheria yote niliyokuamuru; Usiache, kwenda mkono wa kuume, au wa kushoto, upate KUFANIKIWA sana kila UENDAKO.
.....Yoshua 1:7....
3. 3. TABIA YA 3: "UONGO - LIES"
.........Tutaendelea.........
Rejea
"Only be STRONG and very courageous; be careful to do [everything] in accordance with the entire law which Moses My servant commanded you; do not turn from it to the right or to the left, so that you may PROSPER and be SUCCESSFUL wherever you go"
.....Joshua 1:7....
Kwa msaada zaidi:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
TABORA UNITED IMEWAANGUSHA WANYAMWEZI
Kuna msemo maarufu wa waswahili ambao unasema kwamba kazi ngumu mpatie mnyamwezi. Msemo umekuja katika lugha ya Kiswahili kutokana na uhodari wa watu wa kabila la Wanyamwezi katika ufanyaji kazi. Kwani wamekuwa wanasifika kwa utendaji kazi kwa umahiri pamoja na kwa kujituma kwa hali ya juu. Kutokana na uchapakazi wao Wanyamwezi walikuwa wanaweza kujichanganya na watu wa maeneo mbalimbali nchini…
View On WordPress
0 notes
Text
Diploma na kozi bila malipo
African Islamic Academy ndio pahali pako bora!
Akademia inatoa seti ya diploma katika Qur’ani Tukufu, Hadithi Tukufu, sheria, Sira, adabu na maadili, na lugha ya Kiarabu.
Jisajili sasa na usipoteze fursa!
1 note
·
View note