inukaule
inukaule
1 Wafalme 19:4 - 9, 15 - 16
46 posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
inukaule · 2 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
inukaule · 2 years ago
Photo
Tumblr media
🎓 life! (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CjMZ3H3K1yY/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 2 years ago
Photo
Tumblr media
🙏 🎊 (at Central Bible College Tag Dodoma) https://www.instagram.com/p/ChJxDwnr41j/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 2 years ago
Photo
Tumblr media
"Na hapana mtu ajitwaliaye mwenyewe heshima hii, ila yeye aitwaye na Mungu, kama vile Haruni." Waebrania 5:4 SUV (at Central Bible College Tag Dodoma) https://www.instagram.com/p/ChJlYlatwG5/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Namba yangu mpya ya WhatsApp: 0736 96 13 22 https://www.instagram.com/p/CgpKv9INriY/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
👄 @biblia.takatifu @bibliayangutakatifu @storyzabiblia @siri_za_biblia @bible_daily_study @somabiblia_official (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfwEwQqt4Tm/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, "na maarifa yataongezeka." [Danieli 12:4 SUV] #socialmedia #socialmediaday @tcra_tanzania @geita_rs @nape_nnauye @wizara_sanaatz @wizara_ya_habari_zanzibar @makumirauniversity_tumaso (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfcHhsPrfWR/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Asante sana kwa utumishi wako katika taifa letu zuri la Tanzania. Ninakutakia kila la kheri katika maisha ya kustaafu. Hekima na uzoefu wako, bado tutavihitaji. Karibu sana Mkuu wa Majeshi. Mwenyezi Mungu aliye Mungu wa Majeshi, akupe neema ya kulitumikia taifa letu ili amani na utulivu tulio nao, uendelee na kuzidi katika Jina la Yesu Kristo, amina. @wizara_ya_ulinzi @jkt_tanzania_sc @jkt (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfZWwLlNPdM/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
https://youtu.be/CLvKtKA6BZY "Kwa maana mimi, BWANA, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kuume, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia." [Isaya 41:13 SUV] (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfWWZm3tdkb/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
at Geita, Mwanza, Tanzania https://www.instagram.com/p/CfTgUZlrzzL/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Nakutakia wikiendi njema na maandalizi mazuri kwa ajili ya kwenda kumwabudu Mungu wetu aliye hai hapo kesho Jumapili. Kumbuka kuni-follow kwa jina moja tu rahisi👉 @inukaule 👈kupitia Facebook, Instagram na Twitter. Asante sana na Mwenyezi Mungu akubariki sana, sema amina. (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfOPQTNr7Re/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
https://youtu.be/g-uXG4Itr9w (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfMqxoKrn0H/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Haaah! Kumbe ni rahisi hivi! Sikufahamu! 👏 Sasa nimefahamu! 👏 Ni - follow Instagram, Facebook na Twitter kwa jina moja tu rahisi 👉 @inukaule pia utakuta nembo halisi na maridadi kabisa...kama unavyoiona... 🌹 (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfKCx9PLco4/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
"Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Yeye peke yake afanya maajabu makuu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Aliyetukumbuka katika unyonge wetu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Akatuokoa na watesi wetu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Kila chenye mwili akipa chakula chake; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Mshukuruni Mungu wa mbingu; Kwa maana fadhili zake ni za milele." [Zaburi 136:1‭, ‬4‭, ‬23‭-‬26 SUV] @farajahamuli @amani_laizer (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfJWzl0rv9T/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Asante sana Baba yangu... 😍💯... Heri ya siku ya Baba duniani. (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Ce_ycr-LD2I/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Pastor Seba akujiwe... Naomba unitangazie hili kwenye maeneo unayoweza kuyafikia kwa social media Mwenye sifa za kuwa matron, mpishi na mlinzi atume majina kwangu leo kwa ajili ya kuwaita kwenye usaili siku ya kesho... Sifa za matron, 1. Aweze kuwa na mzigo wa kulea wanafunzi, awe ameokoka kweli kweli, 2. Awe tayari kulala shuleni, na awe mtu mzima. 3. Akiwa na mafunzo ya utabibu/nearsing itabeba uzito zaidi Sifa za mlinzi Awe amehitimu angalau kidato channe, Awe amepitia nafunzo ya mgambo au Jkt au JW Awe na nidhamu na ushuhuda, Awe na barua ya udhamini kutoka serikali za mitaa. Awe ameokoka kweli kweli Sifa za Mpishi Awe ameokola kwelikweli, Awe na uwezo wa kupika chakula cha watu zaidi ya 500 Awe na utayari wa kulala shuleni, Asiwe mdokozi. MUHIMU: MAJINA HAYA NAYAHITAJI LEO MAANA KESHO NI USAILI. ASANTE. 0763 6 0000 6 AU 0626 6 0000 6. (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CdNc7-HOq_Z/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
inukaule · 3 years ago
Photo
Tumblr media
"Lakini yeye mwenyewe akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. Akajiombea roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu. Naye akajinyosha akalala chini ya mretemu; na tazama, malaika akamgusa, akamwambia, Inuka, ule. Akatazama, kumbe! Pana mkate umeokwa juu ya makaa, na gudulia la maji, kichwani pake. Akala, akanywa, akajinyosha tena. Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, Inuka, ule; maana safari hii ni kubwa mno kwako. Akainuka, akala, akanywa, akaenda katika nguvu za chakula hicho siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa Mungu." 1 Wafalme 19:4‭-‬8 SUV (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CdK4c09O177/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes