ariseandshinetvtzfan
ariseandshinetvtzfan
ARISE AND SHINE TV TZ
7 posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
ariseandshinetvtzfan · 6 years ago
Text
Tumblr media
Usikose jumapili ya kesho KONGAMANO KUBWA LA MAOMBEZI NA KUFUNGULIWA na nitakupaka mafuta ya UPAKO WA IDEA MPYA. Awamu ya kwanza kuanzia saa 4 kamili na awamu ya pili saa 9 mchana. WAHI KITI CHAKO MAPEMA NI KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS KAWE DAR ES SALAAM.
0 notes
ariseandshinetvtzfan · 6 years ago
Text
Tumblr media
Usikose kongamano kubwa la ukombozi wa mwanamke na uzao wake Jumamosi ya kesho kuanzia saa saba kamili mchana viwanja vya tanganyika packers kawe Mwanamke akikombolewa ndoa imekombolewa familia imekombolewa na uchumi umekombolewa. watu wa dini zote mnakaribishwa.
0 notes
ariseandshinetvtzfan · 6 years ago
Text
Tumblr media
MAOMBI YANAENDELEA SIKU YA LEO JUMATANO PALE TANGANYIKA PACKERS KAWE KUANZIA SAA TISA KAMILI YA KUOMBA NA KUFUNGA SIKU 21 YANAENDELEA LEO IKIWA NI SIKU YA 11 TUNAOMBEA WAKULIMA WAFUGAJI NA WAFANYAKAZI. USIKOSE KATIKA MAOMBI YA PAMOJA VILE VILE MAOMBI HAYA YATAKUWA LIVE FACEBOOK, ARISE AND SHINE TV, RADIO TI FM 105.7 DAR ES SALAAM, SHINE FM 95.1 KILIMANJARO, IDEA FM 95.7 ARUSHA NA YOUTUBE ARISE AND SHINE TV TZ. JIUNGANISHE KATIKA MAOMBI HAYA NA HAKIKA BWANA ATAENDA KUKUTENDEA KATIKA MAISHA YAKO
0 notes
ariseandshinetvtzfan · 6 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
ariseandshinetvtzfan · 6 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
ariseandshinetvtzfan · 6 years ago
Photo
Tumblr media
MWAKA WA KUFANYA MAMBO MAKUU KWA NJIA RAHISI
0 notes
ariseandshinetvtzfan · 6 years ago
Photo
Tumblr media
DONT MISS 21 DAYS PRAYER AND FASTING
1 note · View note