#nyingine
Explore tagged Tumblr posts
rwizakakiza · 1 day ago
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 22: KI...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=CC5kjbJiqVUG9vO1
Sehemu: XXII.
----------------------
3. 10. TABIA YA 10: "KIBURI - PRIDE"
Kiburi ni nini?
.....Kiburi ni hisia za mtu kujiona kuwa yeye ni bora au mkubwa kuliko wengine kwa maana nyingine majivuno au Dharau.
.....Mwenye kiburi na kutakabari, jina lake ni mbishi; Hutenda mambo katika majivuno ya kiburi chake.
....Mit 21:24....
Mtu mwenye tabia ya kiburi hujiona yupo juu ya vyote, hata wakiwepo watu wenye heshima au Umri kuliko yeye, Huwaona hawana Ubora kama alionao, hivyo ujivuna na kuwa dharau wengine na kwa sababu hashauriki, hata wakimshauri ushindana nao.
.....KIBURI huleta MASHINDANO tu; Bali hekima hukaa nao WANAOSHAURIANA.
......Mithali 13:10.....
Kumbuka hekima ni Roho Mtakatifu, hivyo Roho Mtakatifu hawezi kuishi kwenye marumbano au vurugu Anakaa kwa mtu anayeshaurika. Tabia ya kiburi ikikuondolea mashauriano inaleta marumbano na mashindano ambayo hatima yake ni anguko na maangamizi kwenye maisha ya mtu mwenye kiburi.
.....KIBURI hutangulia UANGAMIVU; Na roho yenye KUTAKABARI hutangulia MAANGUKO.
.....Mithali 16:18......
Tena
..... KIBURI cha mtu KITAMSHUSHA; Bali mwenye roho ya UNYENYEKEVU ATAHESHIMIWA.
.....Mithali 29:23.....
Mtu mwenye tabia ya Kiburi hutaka kuwa sawa au kumzidi MUNGU au kusema kabisa HAKUNA MUNGU, kama shetani alivyotaka kupindua Ufalme wa MUNGU na kusema hakuna MUNGU ili mtawala awe yeye ila ikashindikana. Shetani ni baba wa kiburi na ana mpango kuhakikisha watu wote wanakuwa na kiburi ili wamwaasi MUNGU na kuangamia milele.
......Mwanadamu, mwambie mkuu wa Tiro, BWANA MUNGU asema hivi; "Kwa kuwa moyo wako UMEINUKA, nawe umesema, Mimi ni MUNGU, nami nimeketi katika kiti cha MUNGU, kati ya bahari; lakini u mwanadamu wala si MUNGU, ujapokuwa umeweka moyo wako kama moyo wa MUNGU. ...... MOYO wako ULIINUKA kwa sababu ya uzuri wako; umeiharibu hekima yako kwa sababu ya mwangaza wako; nimekutupa chini, nimekulaza mbele ya wafalme, wapate kukutazama.
.....Ezekieli 28:2, 17....
Nyenyekea maana kiburi kinaangamiza, Unyenyekevu utakunyenyekesha kwa ajili ya kuinuliwa kwako kesho, lakini kiburi utajisifu kwa ajili ya kesho yenye maangamizi. Mkimbilie YESU uwe na hakika ya kesho yako leo, Amina.
.....Usijisifu kwa ajili ya Kesho; Kwa maana hujui yatakayozaliwa na siku moja.
......Mithali 27:1.....
3. 10. 1. DALILI /MATOKEO YA TABIA YA KIBURI.
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"A man’s pride and sense of self-importance will bring him down, But he who has a humble spirit will obtain honor".
......Proverbs 29:23.....
________________________________
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
....."2025 KAA NDANI YA YESU, UZAE SANA".....
0 notes
sariaisrael · 3 days ago
Text
Trent Arnold hakuna alichobakisha Liverpool
DIRISHA la usajili barani Ulaya limeshika kasi kwenye vilabu mbalimbali. Timu zinafanya jitihada kuimarisha vikosi vyao, baadhi zinauza wachezaji ambao hawana nafasi ama kuhitaji fedha nyingi hivyo kulazimika kuuza mastaa wao. Miongoni mwao wapo nyota takribani 62 ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu huu. Nyota hao wanaruhusiwa kuingia kwenye majadiliano na timu nyingine pamoja na…
0 notes
chahali · 25 days ago
Text
0 notes
kilimotz · 1 month ago
Text
Tumblr media Tumblr media Tumblr media
TUNAUZA MICHE YA MIGOMBA/NDIZI ZA KISASA ILIYO TENGENEZWA MAABARA
Migomba/Ndizi aina ya GRAND NAIN (G-9) hii ni mbegu ya kimataifa.
Aina hii ya ndizi huboreshwa kwanjia za kisayansi maabara ambayo inaitwa Tissue Culture, lengo ni kuongeza ubora.
Tissue Culture ni uoteshaji wa seli au tishu zilizotolewa katika mmea husika au kiumbe na kuziotesha sehemu maalumu.
Kwa tafsiri ya kingereza
Tissue Culture: is the growth of tissues or cells in an artificial medium separate from the organism.
Mbegu hii inafanana na ndizi flani zinaitwa kimalindi au mtwike.
Ndizi hizi ni nzur kwa kupika na pia kuliwa kama tunda.
Wakulia watakao wezakulima ekari moja na kuendelea tunaingia nao mikataka nakununua ndizi kwao.
Aina nyingine za ndizi tulizonazo
1. Ndizi malindi (Tunda + Kupika)
Aina za ndizi malindi
a. Malindi ndefu.
b. Malindi fupi
2. Ndizi mzuzu (Za kupika)
3. Ndizi kisukarii (Tunda)
4. Ndizi bukoba (Za kukaanga maranyingi wauza chipsi au kwenye mabar wanazitumia)
5. Ndizi mshale (Zakupika)
6. Ndizi mkono wa tembo
#ndizi #bananaplant #micheyamigomba #micheyandizi #micheyamatunda #bananatissueculture #nduzimzuzu #ndizimshale #ndizimkonowatembo #ndizikisukari #nduzimalindi #nduzimzuzu
Simu:
+255 712 253 102 (Whatsapp)
+255 692 430 263
Email:
Website
www.joack.co.tz
#bananatree #dodoma #vuazilishe #mbogamboga #kilimo #kilimotz #dsm #tanzania #tanzania🇹🇿 #tanzania #daressalaam #morogoro #tikiti #karoti #piripiri #farming #viazilishe #shamba #shambalandizi
0 notes
joackanimalclinic · 1 month ago
Text
TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Mara nyingi mbwa hufugwa kwa malengo nne ambayo ni:-
1. Kunusa (Detection dogs or Sniffer dogs)
2. Kulinda/usalama (Guard dogs)
3. Kuongoza (Guide dogs)
4. Mbwa kipenzi (pets)
Kwa kazi ya ulinzi, mbwa ni kati ya walinzi wazuri na waaminifu, ni mlinzi asiyepokea rushwa wala kula dili na wezi, akiamua kukulinda basi ataulinda kweli.
Mbwa ni kati ya wanyama wenye tabia tofauti tofauti kulingana na asili yao, hivyo ni muhimu kupata taarifa sahihi za mbwa husika ili uweze kujua namna ya kumtunza.
Licha ya kufahamu tu tabia za mbwa, ni muhimu pia kujua taratibu za chanjo na matibabu za mbwa, lengo ni kuhakikisha mbwa wako anakuwa salama dhidi ya magonjwa na hatari nyingine.
Pia kuna swala la mafunzo, mbwa ni kati ya wanyama wenye uelewa hivyo anaweza kufundishika..
Unaweza mfundisha mbwa wako tabia unazo zitaka, mfano unaweza mafundisha ukali, utii, kunusa, sehemu za kujisaidia, nk
Ukiamua kufuga mbwa kwa lengo lolote ni muhimu kuwasiliana na wataalamu ili uweze kupata ushauri sahihi.
Hayo ni machache tu kuhusu mbwa, lakini kama unahitaji mbwa kwa lengo lolote karibu sana JOACK.
#gsd #securitydog #germanyshephered #mbwa #matibabuyambwa #dogsforsale #mbwa #tunauzambwa #mbwawanauzwa #wauzajiwambwa #mbwawakisasa #mbwawakizungu #mbwawaulinzi
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
www.joack.co.tz
#joackcompany #kilimo #mifugo #daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #daktariwambwa #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #dodoma #animalhospital #tanzania🇹🇿 #mikoche
JOACK Company LTD | DSM NA BAGAMOYO
0 notes
mifugokilimo · 1 month ago
Text
TUNAUZA MASHINE YA KUTENGENEZA PELLET KWAJILI YA CHAKULA CHA MIFUGO | ZIPO MASHINE ZA UWEZO TOFAUTI TOFAUTI.
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
BEI ZA PELLET NA UWEZO WAKE
100Kg/hr = 1,500,000/=
150Kg/hr = 1,700,000/=
200Kg/hr = 1,770,000/=
300Kg/hr = 3,500,000/=
500Kg/hr = 4,500,000/=
1,000Kg/hr = 6,500,000/=
PELLET ni chakula cha mifugo kilicho tengenezwa katika mfumo wa tambi tambi au chenga chenga, yaani kwa lugha rahisi ni chakula cha tambi tambi.
JINSI YA KUTENGENEZA PELLET
1. Ili utengeneze pellet, unatakiwa kuchangya virutubisho vyote mfano mahindi, mashudu, pumba, soya, madini, vitamini, nk sehemu moja kwa kutumia beleshi au mashine maalumu ya kuchanganyia chakula (MIXER)
NB: Chakula kilicho changanywa tu na kupewa wanyama huwa kinaitwa MASH.
2. Changanya mchachayo wako na maji kidogo, ili uwe na unyevunyevu, hii husaidia chakula kushikana pindi unapotengeneza pellet kwenye mashine.
3. Chukua huo mchanganyo wako na weka kwenye mashine ya Pellet na uwashe mashine ili kutengeneza Pellet.
4. Hatua ya mwisho ni kuchukua Pellet ulizo tengeneza na kuzianika juani (lisiwe kali).
KWANINI ULISHE PELLET?
Hii ni kwasababu pellet moja (chenga moja) inakuwa na virutubisho/vichanganyo vyote, lakini kwenye chakula cha MASH mnyama/ndege anaweza kula punje aina moja zaidi kuliko nyingine, mfano kula mahindi kuliko soya.
Hii sababu inafaya PELLET kuwa bora na yenye matokeo kuliko MASH
#pellet #pelletmachine #chakulachasungura #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #mizaniyachakulachamifugo #mashineyapellets #mashinezachakulachakuku #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #poultryequipments #tunauzamshinezaufugaji
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102 (WhatsApp)
+255 737 35 86 89
Email:
Website
www.joack.co.tz
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackbagamoyo · 1 month ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA WATER SPRINKLER | VIFAA VYA KUMWAGILIA MAJI | VIFAA VYA KURUSHA MAJI | VIFAA VYA UMWAGILIAJI
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackvetclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
WATER SPRINKLER ni kifaa maalumu chenye uwezo wa kurusha maji katika mtindo wa matone matone.
Vifaa hivi vinatumika katikati shughuli mbalimbali za uwagiliaji wa mimea kwenye kilimo na majumbani.
Watu wenye bustani/garden za majani au maua majumbani wanapenda sana kutumia hivi vifaa kwajili ya kurahisisha kazi ya uwagiliaji.
Ukiwa na sprinklers huna haja ya kuajiri watu wengi kwajili ya kuwamwagilia bustani au mimea yako.
Faida ya hivi vifaa ni kwamba vinarahisha sana kazi lakini kubwa zaidi vinaokoa gharama.
Faida nyingine ni kwamba vifaa hivi vinapunguza upotevu wa maji usio na msingi, ni tofauti kama ytatumia mpira tu, maji mengi hupotea.
JOACK Company LTD tunauza sprinklers za aina mbalimbali na zenye uwezo tofauti tofauti.
#watersprinkler #vifaavyakumwagiliamaji #vifaavyakurushamaji #vifaavyaumwagiliaji #umwagiliaji #kifaachakumwagilia #splinkler #kumwagilia #kilimochaumwagiliaji #irrigation #sprinklerirrigation #mifumoyaumwagiliaji
Office zetu zipo @TegetaWazohill ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #micheyamipera #micheyapapai #maembe #limao #ndimu #kilimotz #tunauzamiche #migomba #ndizi #komamanga #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania #mbogamboga #bustani #garden
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
frontlinetv · 1 month ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA VIFAA VYA MBWA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA WE ARE SELLING DOG ACCESSORIES RETAIL AND WHOLE SALE.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Tuna aina nyingine nyingi za vifaa kwajili ya mbwa na paka, baadhi ya vifaa vyetu ni:
1. Dog Collar different size
2. Dog ball - different type
3. Dog chain - different size and types
4. Dog leashes - different types
5. Dog harness - different types and size
6. Dog bowl - different types and size
7. Chock chain - different size and types
8. Grooming gloves
9. Retractable leashes - different types and size
Hapo juu tumetaja vifaa vichache tu, lakini tuna vifaa vingine vingi zaidi ya hivyo vilivyo tajwa hapo juu. Vifaa hivi tunauza kwa bei ya jumla na rejareja.
JOACK PET STORE | JOACK ANIMAL CLINIC
#DogCollar #DogHarness #DogLeashes #DogChain #DogCage #dogbowl #dogball #chockchain #dogbelt #dogcollers #petproducts #dogproducts #catsprocts #mikandayambwa #vifaavyambwa #mipirayambwa #vitenesivyambwa #collarzambwa
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.
Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #tunafundishambwa #wauzajiwambwa #matibuyambwa #dogs #dogshop #wauzajiwavifaavyambwa #tanzania #tanzania🇹🇿 #dodoma
Mifugo Tz | JOACK Pet Store | DSM & BAGAMOYO
0 notes
dreamstz1 · 1 month ago
Text
Edoardo Bove mchezaji wa Fiorentina aanguka ghafla na kupoteza fahamu uwanjani
Mechi ya Inter Milan vs Fiorentina imelazimika kuahirishwa kufuatia kutetereka kwa afya ya Edoardo Bove (aliyenyoosha mikono) ambaye inasubiriwa zaidi taarifa nyingine ila hali yake ni ‘mbaya sana tu’Nyota huyo mwenye miaka 22 alikuwa anataka kufunga Kamba za viatu akaenda chini mazima na wachezaji wenzie walionekana kububujikwa na machozi mfululizo huku taarifa za awali zikidai anaumwa Kifafa na…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
joackagrovet · 1 month ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA PAMPU ZA MAJI ZA KUTUMIA MAUTA (PETROL AU DIESEL) | WE ARE SELLING FUEL WATER PUMP.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo.
Hizi pump zinaweza kuvua maji yaliyopo umbali mita 5 hadi 6, na inaweza kupeleka maji umbali wa mita 300 kutoka kwenye pump.
Pump inatumia kiasi cha lita 1 ya mafuta ya petrol ndani ya masaa mawili na nusu (2hrs 30minite.)
Uwezo wa hizi pampu ni horse power tano point tano (5.5HP).
Hizi ni pampu zenye uwezo wa kuvuta maji kutoka sehemu moja hadi sehemu nyingine.
Hizi pampu zinaweza kuvuta maji kutoka kwenye bwawa au kisima na kupandisha kwenye matank.
Watu wengi wanaofanya kilimo cha umwagiliaji hutumia hizi pump ili kuvuta maji kutoka kwenye bwawa au mto.
Pamp hizi zinapatikana JOACK Company LTD, Tegeta Dar es salaam lakini pia kwa wateja wa mikoani mtatumiwa mizigo kwa gharama nafuu sana.
#pampu #pump #pampuzamaji #pampuzakuvutamaji #pumpuzamafuta #pampuzapetrol #electricpump #waterpump #pampuzaumwagiliaji #dripirrigation #mifumoyaumwagiliaji #dripirrigationsystem #kilimochamatone #kilimochaumwagiliaji #kilimochakisasa
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joack.co.tz
#joackcompany #Kilimo #mifugo #mbogamboga #tanzania🇹🇿 #kilimo #tanzania #papai #nyanya #vitunguu #morogoro #tango #tikiti #karoti #farming
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
sariaisrael · 28 days ago
Text
Yanga wanasomeka, kocha wao hawasomi
Picha mbili zilionesha hali halisi ya kocha wa Yanga, Saed Ramovic. Kocha alikuwa aminamisha kichwa huklu kamera za televisheni zikionesha kwa ukaribu zaidi. Hali kadhalika, picha nyingine ilimvuta na kuonesha akiwa ameshikilia kidevu chake. Uso wake ulikuwa umejaa taharuki na akilini bila shaka mlikuwa na mawazo mengi. Yanga walikuwa wamefungwa mabao 2-0 ya ajabu ajabu na timu ambayo haikuwa na…
0 notes
joackcompanytz · 2 months ago
Text
TUNAUZA WATER SPRINKLER | VIFAA VYA KUMWAGILIA MAJI | VIFAA VYA KURUSHA MAJI | VIFAA VYA UMWAGILIAJI
: 0714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
WATER SPRINKLER ni kifaa maalumu chenye uwezo wa kurusha maji katika mtindo wa matone matone.
Vifaa hivi vinatumika katikati shughuli mbalimbali za uwagiliaji wa mimea kwenye kilimo na majumbani.
Watu wenye bustani/garden za majani au maua majumbani wanapenda sana kutumia hivi vifaa kwajili ya kurahisisha kazi ya uwagiliaji.
Ukiwa na sprinklers huna haja ya kuajiri watu wengi kwajili ya kuwamwagilia bustani au mimea yako.
Faida ya hivi vifaa ni kwamba vinarahisha sana kazi lakini kubwa zaidi vinaokoa gharama.
Faida nyingine ni kwamba vifaa hivi vinapunguza upotevu wa maji usio na msingi, ni tofauti kama ytatumia mpira tu, maji mengi hupotea.
JOACK Company LTD tunauza sprinklers za aina mbalimbali na zenye uwezo tofauti tofauti.
#watersprinkler #vifaavyakumwagiliamaji #vifaavyakurushamaji #vifaavyaumwagiliaji #umwagiliaji #kifaachakumwagilia #splinkler #kumwagilia #kilimochaumwagiliaji #irrigation #sprinklerirrigation #mifumoyaumwagiliaji
Office zetu zipo @TegetaWazohill ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714'63 63 75
(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #micheyamipera #micheyapapai #maembe #limao #ndimu #kilimotz #tunauzamiche #migomba #ndizi #komamanga #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania #mbogamboga #bustani #garden
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
kilimotz · 1 month ago
Text
Tumblr media Tumblr media Tumblr media
TUNAUZA MASHINE YA KUCHIMBA MASHIMO KWAJILI YA KUPANDA MAZAO MBALIMBALI KAMA MITI, MIGOMBA NK
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Hii mashine ni two stroke, na inatumia mafuta ya petrol ili kufanya kazi.
Mashine ina uwezo mkubwa wa kuchimba mashimo katika upana na kina cha kutosha kwajili ya kupanda Miche mbalimbali.
Faida ya hii mashine ni kwamba unaweza kupanda eneo kubwa ndani ya muda mfupi, na hauitaji wafanyakazi wengi, hivyo inaokoa gharama za uendeshaji.
Mashine inatumia mafuta machache sana, hivyo haina gharama kwenye matumizi yake ya kila siku, na faida nyingine ni kwamba unaweza ukawa unaikodisha hii mashine kwa wakulima wenzio.
JOACK tunauza na kusambaza mashine zinazoweza kufanya kazi tofatuti tofatuti kwenye maswala ya kilimo.
Matumizi ya mashine za kisasa kwenye kilimo ni teknolojia chanya inayoongeza tija kwa mkulima.
Baadhi ya hizo mashine za kilimo ni:-
1. Mashine kuchakata mpunga
2. Mashine ya kupukuchua mahindi
3. Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti
4. Mashine ya kukoboa Michele
5. Mashine ya paraza
6. Mashine ya kusaga mahindi.
7. Mashine ya kusaga vitu vikavu
8. Mashine ya kuchakata majani
9. Mashine kukata nyasi
10. Mashine ya kupandia mpunga
Hizo ni baadhi tu ya mashine tunazo uza, ila ukiitaji mashine yoyote unapata, pia tunaweza kuagiza kutoka nje ya nchi.
#joackmashine #mashinezakilimo #kuchimbamashimo #mashineyakuchimbamashimo #Mashineyaalizeti #mashineyakupandiamiti #Mashineyaparaza #Mashineyakusagamahindi #mashineyakupandia #Mashineyakuchakatamajani #Mashineyakukatanyasi #Mashineyakupandiampunga
Office zetu zipo @tegetawazohill - kwenye barabara ya Wazo, Karibuni na kanisa la KKKT Wazo, opposite na kota za kiwandani cha Twiga Cement
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
Website
Www.joack.co.tz
#joackcompany #Kilimo #kilimotz #mifugo #mifugotz #mbogamboga #tanzania🇹🇿 #kilimo #agricultural #tanzania #papai #nyanya #vitunguu #daressalaam #morogoro #tango #dodoma
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackanimalclinic · 1 month ago
Text
Tumblr media
TUNATOA HUDUMA YA MATIBABU NA CHANJO KWA WANYAMA AINA ZOTE | MBWA, PAKA, NK
JOACK MOBILE ANIMAL HOSPITAL | HOSIPITALI YA WANYAMA
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
JOACK ANIMAL HOSPITAL ina madaktari (Vet Doctors) wenye uzoefu wa kutosha kwenye matibabu ya wanyama aina zote
Tunatoa huduma ya tiba na chanjo kwa mifugo | we provide quality and affordable veterinary service
Tuna huduma mbali mbali za mifugo kama:
a) Chanjo (Vaccination) kwa mbwa, paka nk
b) Kuzuia maambukiz ya minyoo na magonjwa ya ngozi kwa wanyama wako
c) Matibabu ya magonjwa kwa wanyama
d) Tunafanya operation kubwa na ndogo
e) Na huduma nyingine zinazo fanana na hizo
Huduma zetu ni bora, wengi ni mashaidi, na tutaendelea kutoa huduma bora siku zote maana furaha yetu nikuona wanyama wana afya bora.
Ushauri: Ni vema kuwachanja (vaccination) wanyama wako na kuwafanyia matibabu stahiki maana kwa kufanya hivyo unalinda afya ya mnyama wako na afya yako, ya familia na jamii kwa ujumla.
Hii ni kwasababu binadamu anaweza kupata maambuki ya vimelea vya magonjwa kutoka kwa mnyama lakini binadamu pia anaweza kuleta maambukizi kwa mnyama pia kitaalamu haya magonjwa yanaitwa zoonotic diseases.
Mfano wa magonjwa hayo ni kama:
a) Rabies (Kichaa cha mbwa) - Virus
b) Helminthosis (Baadhi ya minyoo)
c) Leptospirosis - Bacteria
d) Tuberculosis (TB) - Bacteria
Na mengine mengi
#mobilepetclinic #joackanimalclinic #animaltreatment #animalsclinic #daktariwambwa #hospitaliyawanyama #veternarian #matibabuyambwa #animaldoctor #doctorofanimals #matibabuyambwa
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement opposite na kota za kiwanda - DSM, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
Website
www.joack.co.tz
#joackcompany #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #tanzania🇹🇿 #paka #mbwa #tibayambwa #dogclinic #catclinic #dodoma #
JOACK Co LTD
0 notes
mifugokilimo · 1 month ago
Text
Tumblr media Tumblr media Tumblr media
TUNAUZA FULL AUTOMATIC FUEL HAND SPRAYER ZA LITA 16 (MASHINE ZA KUPULIZIA DAWA)
MOTOR / PETRO KNAPSAC SPRAYER
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Hii mashine ina pump maalumu inayotumia mafuta (petroleum) ambayo inauwezo mkubwa kumpump dawa kwenda umbali mrefu.
Hizi mashine ni imara sana tofauti na mashine nyingine, na pump yake ina dumu muda mrefu.
Hizi ndio mashine za kisasa zinazotumika kwenye Kazi za furmigation.
#handsprayer #sprayer #fuelsprayer #motorsprayer #mashineyafurmigation #mashineyakupuliziadawa #madumuyakupuliziadawa #dawazamifugo #dawazakilimo #viuatilifu #mashineyafurmigation #pestcontrol #petrolknapsacsprayer
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugotz #mifugo #kilimo #kilimotz #mabandayamifugo #kilimobiashara #ufugajiwanguruwe #kilimochaumwagiliaji #tanzania #tanzania🇹🇿 #dodoma #mwanza #mbeya #morogoro #ufugajikibiashara
JOACK COMPANY LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackbagamoyo · 1 month ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA PAMPU ZA MAJI ZA KUTUMIA MAUTA (PETROL AU DIESEL) | WE ARE SELLING FUEL WATER PUMP.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo.
BEI NA UWEZO WA PUMP
2 inch 300,000Tsh - Petrol
3 inch 320,000Tsh - Petrol
4 inch 480,000Tsh - Petrol
Hizi pump zinaweza kuvua maji yaliyopo umbali mita 5 hadi 6, na inaweza kupeleka maji umbali wa mita 300 kutoka kwenye pump.
Pump inatumia kiasi cha lita 1 ya mafuta ya petrol ndani ya masaa mawili na nusu (2hrs 30minite.)
Uwezo wa hizi pampu ni horse power tano point tano (5.5HP).
Hizi ni pampu zenye uwezo wa kuvuta maji kutoka sehemu moja hadi sehemu nyingine.
Hizi pampu zinaweza kuvuta maji kutoka kwenye bwawa au kisima na kupandisha kwenye matank.
Watu wengi wanaofanya kilimo cha umwagiliaji hutumia hizi pump ili kuvuta maji kutoka kwenye bwawa au mto.
Pamp hizi zinapatikana JOACK Company LTD, Tegeta Dar es salaam lakini pia kwa wateja wa mikoani mtatumiwa mizigo kwa gharama nafuu sana.
#pampu #pump #pampuzamaji #pampuzakuvutamaji #pumpuzamafuta #pampuzapetrol #electricpump #waterpump #pampuzaumwagiliaji #dripirrigation #mifumoyaumwagiliaji #dripirrigationsystem #kilimochamatone #kilimochaumwagiliaji #kilimochakisasa
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email