#mashudu
Explore tagged Tumblr posts
mashudczs · 2 years ago
Text
Tumblr media
This Content Posted By mashudczs :
9 notes · View notes
offblogmedia · 2 years ago
Text
Wanitwa Mos - Hamba Ft. Lowsheen & Mashudu MP3 DOWNLOAD
Wanitwa Mos - Hamba Ft. Lowsheen & Mashudu MP3 DOWNLOAD #WanitwaMos #Hamba #Lowsheen
The prominent South African record label known professionally as Wanitwa Mos comes through with a brand-new song labeled “Hamba” Apparently, this song is derived from their newly dropped extended playlist called “Wanitwa Mos Exclusives EP” released in the middle of December this year. Moreover, they label didn’t want to it themselves so they joined music abilities from the South African music…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mifugokilimo · 9 days ago
Text
TUNAUZA PIG 🐷 CONCENTRATE | VIRUTUBISHO AU MCHANGANYO WA NGURUWE | HENDRIX
Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo.
Pig Concentrate ni mchanganyiko wa virutubisho ambavyo muhimu kwajili ya lishe bora ya nguruwe.
Virutubisho hivyo ni kama protini, wanga, vitamin na madini.
Virutubisho hivi huchanganywa kwa pamoja katika uwiano unao zingatia mahitaji ya mnyama (Formulation) kulingana na umri, afya ya mnyama, hali yake (mwenye mimba au ana nyonyesha), jinsia, hali ya hewa, nk
Kwa Tanzania Pig Concetrate ni kama teknolojia mpya ambayo kwasasa wafugaji wengi wameanza kwenda nayo.
Kwanini tutumie Pig Concetrate?
Sababu kubwa ni kuhakikisha wanyama wanapata mlo ulio kamili kwajili ya kuboresha afya, ukuaji na uzalishaji.
Changanya Pig Concetrate na nafaka pamoja na virutubisho vingine ili kutengeneza mlo kamili, tunawashauri wakulima kuchanganya mahindi, pumba kidogo, soya, mashudu nk ili kutengeneza chakula kamili kwajili ya nguruwe.
Ukitumia Pig Concetrate nguruwe wako wanafika uzito wa kwenda sokoni ndani ya muda mfupi, mfano nguruwe anaweza fikisha kilo 38-46 ndani ya miezi 3 tu, wakulima wengi ni mashahidi kwenye hili.
Karibu na endelea kufatilia page zetu....
JOACK Company LTD tunauza Pig Concetrate pamoja na chakula complete cha nguruwe.
#PigConcentrate #virutubishovyanguruwe #chakulachanguruwe #nguruwe #ufugajiwanguruwe #virutubisho #virutubishovyanguruwe #madiniyamifugo #vitaminizamifugo #concetratezanguruwe #hendrix
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #clinicyamifugo #paka #tanzania🇹🇿 #doghospital #dogclinic #tanzania #madawa #madawayamifugo #dodoma
JOACK Company LTD
Tumblr media Tumblr media
0 notes
joackbagamoyo · 10 days ago
Text
TUNAUZA MASHINE YA PELLET | MACHINE YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA MIFUGO KWA MFUMO WA PELLETS | PELLET MACHINE
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Hii mashine inatumia mafuta ya diesel kuzungusha mota, wala haiitaji umeme, na ina uwezo wa kutengeneza pellet kilo 150 kwa lisaa.
PELLET ni chakula cha mifugo kilicho tengenezwa katika mfumo wa tambi tambi au chenga chenga.
JINSI YA KUTENGENEZA PELLET
1. Hatua ya kwaza ni kuchangya virutubisho vyote mfano mahindi, mashudu, pumba, soya, madini, vitamini, nk kwa kutumia beleshi au mashine (MIXER)
NB: Chakula kilicho changanywa tu na kupewa wanyama huwa kinaitwa MASH.
2. Chukua huo mchanganyo na weka kwenye mashine ya Pellet na uwashe mashine ili kutengeneza Pellet, huna haja ya Kuchanganya na maji.
3. Hatua ya mwisho ni kuanika Pellet ulizo tengeneza juani (lisiwe kali).
KWANINI ULISHE PELLET?
Hii ni kwasababu pellet moja (chenga moja) inakuwa na virutubisho/vichanganyo vyote, lakini kwenye chakula cha MASH mnyama/ndege anaweza kula punje aina moja zaidi kuliko nyingine, mfano kula mahindi kuliko soya.
Hii sababu inafaya PELLET kuwa bora na huleta matokeo mazuri kuliko MASH
# #vifaavyamifugo #wauzajiwachakulachasungura #mashineyapellets #pelletfeed #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #mashinezamifugo #mashinezaufugaji
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - DSM, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #daressalaam
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackcompanytz · 27 days ago
Text
CHAKULA BORA CHA KUKU WA MAYAI - JOACK POULTRY FEED (LAYERS MASH)
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackbagamoyo @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo.
Kama unahitaji uwakala wa chakula Cha mifugo kutoka JOACK Company, wasiliana na 0712253102.
Mawakala wataletewa Bure hiki chakula kwenye ofisini zao.
FAHAMU
STARTER: hiki ni chakula wanachokula vifaranga, ni chukula chenye protein nyingi inayosadia ukuaji.
GROWER: ni chakula maalumu kwajili ya kuku wanaokuwa, chakula hiki husaidia kwenye ukuaji pia.
FINISHER: hiki ni chakula ambacho wanapewa kuku wanao anza kukomaa, ambao wamesha toka katika hatua ya ukuaji.
LAYERS: hiki ni chakula wanachopewa kuku wanao karibia kutaga na kuku wanaotaga pia.
#chakulachakuku #chakulachamifugo #joackanimalfeed #chukulachavifaranga #layers #starter #grower #finisher #pumba #mahindi #mashudu #soya #vichanganyiovyachakulachamifugo
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.
Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo  #mwanza #arusha #mbeya  #dodoma  #daressalaam #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kukuchotara #kukuwanyama #kukuwakienyeji #ufugajiwakisasa #tanzania
JOACK Company LTD| DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
0 notes
noxam25 · 29 days ago
Link
0 notes
onlinecompanynews · 3 months ago
Text
Husband and co-accused sentenced to life for 2020 murder of wife and business partner - Journal Today Web https://www.merchant-business.com/husband-and-co-accused-sentenced-to-life-for-2020-murder-of-wife-and-business-partner/?feed_id=167914&_unique_id=66bfac513368b Almost four years after the gruesom... BLOGGER - #GLOBAL Almost four years after the gruesome murder of two Johannesburg businesswomen who were killed in a hail of bullets while looking for business premises in Polokwane, their killers, including the husband of one of the women, were given life sentences by the Limpopo high court in Polokwane.Thabo Leshabane, 58, Mbekelezi Ndodo Buthelezi, 28, Emmanuel Thembelani Dlamini,33, and Bhekizenzo Sfiso Phiyose, 36, were sentenced to life imprisonment on two counts of murder. Buthelezi was also sentenced to three years on two counts of possession of firearms and one year for possession of ammunitions.On October 10 2020, the victims, chartered accountant Makoena Mabusela-Leshabane and her business partner Tebogo Mphuti, were shot dead while sitting in a Mercedes-Benz in the Polokwane industrial area by hitmen hired by Makoena’s husband, Thabo Leshabane.According to NPA spokesperson Mashudu Malabi-Dzhangi, Leshabane had paid a R5,000 deposit to the hitmen, while the total amount agreed on for the killing was R60 000. Malabi-Dzhangi said footage from CCTV cameras from surrounding buildings helped police to arrest the killers. After viewing the CCTV cameras, police were able to get the vehicle registration details, which they traced at toll gates, and found the vehicle had travelled in the direction of Gauteng. Investigations, which included approaching tracking companies and going through cellphone records, led to the arrest of the men.TimesLIVE Premium previously reported that Leshabane was arrested two weeks after the murder of his wife while in hospital, where he was admitted after an apparent suicide attempt. He was believed to have drunk poison.Family spokesperson Mmakgabo Ramotshela told the publication at the time the family thought the death of his wife put a strain on him when he was admitted to the hospital.“We were wrong. It’s clear now that the stress was his concern. Where does he go from now? His biggest worry was what he could do to run away,” Ramotshela told TimesLIVE Premium.Malabi-Dzhangi said the state led evidence of two experts from tracking companies. They testified that the vehicle of the accused had followed that of the deceased from the hotel, where the deceased slept, to the crime scene.She also said the state led evidence of a witness , who testified that Zulu called him on October 10 2020 during the day and confessed to him that he had travelled from Polokwane, where he had killed Leshabane’s wife. The state led the evidence during a trial-within-a-trial on Leshabane’s confession. The confession statement was admitted as evidence. In it, Leshabane detailed the planning of the offence. He handed his co-accused a photograph of his wife, also giving him her car’s registration number and location.In aggravation of sentence, Leshabane’s stepson testified he and his siblings were surviving by getting counselling and were asking themselves why their mother was killed.Senior state advocate George Sekhukhune argued that the crime was carefully planned.He told the court the accused chose the location far away from Gauteng, where the deceased were residing.They carefully planned the execution location so that they could not be easily traced. He argued the community of ga-Matlala had suffered a great loss by not getting the library that was supposed to have been built by Makoena. Makoena had been providing jobs to the community by hiring people to work at her event company and also donated R300 monthly to an orphanage. Furthermore, her minor children were surviving by receiving trauma counselling biweekly at their school. Sekhukhune also argued that the gravity of the offences far outweighed the personal circumstances of the accused.
He said the court should not deviate from the prescribed minimum sentence.Judge Geriet Muller sentenced the accused to direct life imprisonment and declared them unfit to possess firearms.The NPA welcomed the sentence, and director of public prosecutions advocate Ivy Thenga said the punishment fitted the crime and justice had been served.Thenga commended the investigating team, led by Capt Richard Boshomane and Sekhukhune.TimesLIVE“Thabo Leshabane had paid a R5,000 deposit to hitmen to kill his wife, while the total amount agreed on for the killing was R60,000…”Source Link: https://www.timeslive.co.za/news/south-africa/2024-08-16-husband-and-co-accused-sentenced-to-life-for-2020-murder-of-wife-and-business-partner/ http://109.70.148.72/~merchant29/6network/wp-content/uploads/2024/08/g36f18b699c155862351edf8d5352ea8a362c5e6fb0761d47c8ab6da2d2aae12587d4122a1eb670786e625e1126cd15698fa.jpeg #GLOBAL - BLOGGER Almost four years after the gruesome murder of two Johannesburg businesswomen who were killed in a hail of bullets while looking for business premises in Polokwane, their killers, including the husband of one of the women, were given life sentences by the Limpopo high court in Polokwane. Thabo Leshabane, 58, Mbekelezi Ndodo Buthelezi, 28, Emmanuel … Read More
0 notes
joackbagamoyo · 10 days ago
Text
TUNAUZA CHAKULA CHA KUKU MAYAI | JOACK COMPLETE LAYERS MASH | CHAKULA BORA CHA KUKU WA MAYAI
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku
Ofisi zetu zipo: Dar es salaam na Bagamoyo.
JOACK COMPLETE LAYERS FEED ni aina maalumu ya chakula cha kuku, ambacho hupewa kuku wa mayai kipindi wanapo karibia kutaga au pindi wanapo kuwa kwenye utagaji.
Hiki chakula huongeza asilimia za utagaji kwa kuku wa mayai, hadi kufika asilimia 95 na zaidi.
Kwa wafugaji ambao ndio mara ya kwanza kutumia hiki chakula watapewa fomu maalumu ambayo watajaza ili kujua matokeo(hali) ya kuku wao kwenye utagaji na afya zao, kabla ya kutumia hiki chakula.
Pia baada ya kutumia hiki chakula mkulima atajaza tena fomu ambayo itaonesha matokeo ya utagaji na afya za kuku baada ya kutumia.
Fomu hizi mbili zitalinganishwa ili kujua mkulima amenufaika vipi na hiki chakula, hasa kwenye kuongeza utagaji na kuboresha afya ya kuku
Kwa wateja watao tumia hiki chakula, watapata huduma ya bure ya kutembelewa shambani na kupewa ushauri bure pamoja na huduma ya kulisimamia shamba kwenye maswala yote ya kitaalamu
Pia tutatoa huduma ya uangalizi wa mashamba ya kuku wa mayai ili kuhakikisha utagaji kwa kuku wa mayai unaongezeka, wakulima watapa fursa ya uangalizi wa shamba lake kipindi chote cha ufugaji wa kuku wamayai
#chakulachakuku #chakulachamifugo #chakulachakukuwamayai #joackanimalfeed #chukulachavifaranga #layers #starter #grower #finisher #pumba #mahindi #mashudu #soya #joackcompletelayersfeed #vichanganyiovyachakulachamifugo
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #mwanza #arusha #mbeya #dodoma #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kukuchotara #kukuwanyama #ufugajiwakisasa #tanzania
JOACK Co LTD
0 notes
joackcompanytz · 2 months ago
Text
Tumblr media Tumblr media
TUNAUZA CHAKULA CHA KUKU MAYAI | JOACK COMPLETE LAYERS MASH | CHAKULA BORA CHA KUKU WA MAYAI
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku
Ofisi zetu zipo: Dar es salaam na Bagamoyo.
JOACK COMPLETE LAYERS FEED ni aina maalumu ya chakula cha kuku, ambacho hupewa kuku wa mayai kipindi wanapo karibia kutaga au pindi wanapo kuwa kwenye utagaji.
Hiki chakula huongeza asilimia za utagaji kwa kuku wa mayai, hadi kufika asilimia 95 na zaidi.
Kwa wafugaji ambao ndio mara ya kwanza kutumia hiki chakula watapewa fomu maalumu ambayo watajaza ili kujua matokeo(hali) ya kuku wao kwenye utagaji na afya zao, kabla ya kutumia hiki chakula.
Pia baada ya kutumia hiki chakula mkulima atajaza tena fomu ambayo itaonesha matokeo ya utagaji na afya za kuku baada ya kutumia.
Fomu hizi mbili zitalinganishwa ili kujua mkulima amenufaika vipi na hiki chakula, hasa kwenye kuongeza utagaji na kuboresha afya ya kuku
Kwa wateja watao tumia hiki chakula, watapata huduma ya bure ya kutembelewa shambani na kupewa ushauri bure pamoja na huduma ya kulisimamia shamba kwenye maswala yote ya kitaalamu
Pia tutatoa huduma ya uangalizi wa mashamba ya kuku wa mayai ili kuhakikisha utagaji kwa kuku wa mayai unaongezeka, wakulima watapa fursa ya uangalizi wa shamba lake kipindi chote cha ufugaji wa kuku wamayai
#chakulachakuku #chakulachamifugo #chakulachakukuwamayai #joackanimalfeed #chukulachavifaranga #layers #starter #grower #finisher #pumba #mahindi #mashudu #soya #joackcompletelayersfeed #vichanganyiovyachakulachamifugo
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #mwanza #arusha #mbeya #dodoma #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kukuchotara #kukuwanyama #ufugajiwakisasa #tanzania
JOACK Co LTD
0 notes
noxam25 · 1 month ago
Link
1 note · View note
joackagrovet · 3 months ago
Text
CHAKULA BORA KWA KUKU MAYAI | KINAONGEZA KIWANGO CHA UTAGAJI | JOACK COMPLETE LAYERS MASH
Bei ya chakula cha kuku wa Mayai
1. Layers Stater Mash: 60,000/=
2. Layers Grower Mash: 59,000/=
3. Layers Mash: 58,000/=
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku
Ofisi zetu zipo: Dar es salaam na Bagamoyo.
JOACK COMPLETE LAYERS FEED:
Chakula cha kuku wa mayai, hupewa kuku pindi wanapo karibia kutaga au wanapo kuwa kwenye utagaji.
Hiki chakula huongeza asilimia za utagaji kwa kuku wa mayai, hadi kufika 95% na zaidi.
Kwa wafugaji ambao ndio mara ya kwanza kutumia hiki chakula watapewa fomu maalumu ambayo watajaza ili kujua matokeo ya kuku wao kwenye utagaji na afya zao, kabla ya kutumia hiki chakula.

lboogie1906 · 5 months ago
Text
Tumblr media
Dr. Mashudu Tshifularo (born June 18, 1964) is a South African educator and medical specialist. He led the first team in the world to use 3D-printed bones for reconstructive middle ear implants in 2019 at the University of Pretoria and Steve Biko Academic Hospital. As a lay pastor, he has published several books.
He grew up as a herdsman in the rural village of Mbahela outside Thohoyandou, in Venda, South Africa. At the age of 13, he knew he would be a medical doctor. He was married to Samdika Blessings Tshifularo and they have six children including their adopted children.
He matriculated at Mbilwi Secondary School and after studying at the University of Natal, he began his career as a physician at Tshilidzini Hospital. He was a professor and head of the Department of Otorhinolaryngology at the University of Pretoria and a chief specialist at the Sefako Makgatho Health Sciences University. He was appointed in 2000 as the youngest and only African professor of ENT in South Africa. His medical interests include Otology, Rhinology, and Paediatric ENT.
He is the senior pastor and founder of the Christ Revealed Fellowship Church near Pretoria.
Using a 3-D printer, the printer implants that replace the ossicles: the hammer, anvil, and stirrup during middle ear reconstructive surgery, or tympanoplasty, are more affordable compared to the traditional titanium implants.
He started developing this technology during his Ph.D. studies. He and his team at the Steve Biko Academic Hospital in Pretoria performed the first transplant on March 13, The endoscopic procedures lasted approximately 2 hours. The first patient was a 40-year-old with accidental trauma damage and the other was a 62-year-old born with a middle ear issue and a history of failed interventions. #africanhistory365 #africanexcellence
0 notes
cuffedhubsessions · 5 months ago
Video
youtube
⿫Hey There , Please do like 👍🏾, Comment 💬, Subscribe🔒 and Hit The Notification Bell 🔔In order To Be Notified Each Time We Drop
 _🎧🎹 Mdu aka TRP & Nkulee 501 - Themba lam (Feat Mashudu) Tap the link below to listen to our latest Drop!  🍷 https://youtu.be/ZTK_whrg_ZU
 Follow Us On Instagram! [Link Below] https://www.instagram.com/cuffedhubsession/
0 notes
tkmogotsi · 6 months ago
Link
0 notes
afrohouseking · 9 months ago
Text
Oscar Sibonginkosi Mdlongwa (born 29 November 1967 is a South African recording artist, DJ, record producer and businessman. Having been in the music industry for over 26 years, Oskido has reached a prominent status in the South African music industry, more-so in popular youth culture. He is undoubtedly one of the pioneering artists that popularised the Kwaito genre of music outside of the townships of South Africa, and he's been central to the rise of Afro-house and opened doors for the new genre known as amapiano. Oskido is the co-founder of Kalawa Jazmee Records (formerly Kalawa Records), a record label that is home to musical acts like Mafikizolo, Bongo Maffin, and many other foremost groups.Amapiano • Amapiano Mix 2023 • Amapiano Songs • Amapiano Playlist • Amapiano Mix 2022 • 2023 Amapiano Songs • Latest Amapiano Songs 2023 • Romeo Makota Mix • Balcony Mix • •DaliWonga • Xduppy • Shaunmusiq & Ftears • Kabza de Small • Dj Maphorisa • De Mthuda • Musa Keys • Nkosazana Daughter • DBN GOGO • Uncle Waffles • Mellow and Sleazy • Felo le Tee • MFR Souls • Bassie • Khanyisa • Mr JazziQ • Aymos • Mas Musiq • Msaki • Focalistic • Mpura • Sino Msolo • Dlala Thukzin • ThackzinDj • Tee Jay • Boohle • Pabi Cooper • Daliwonga • Master kg • Mashudu • Visca • Tyla • Tyler ICU • Leemckrazy • Mr JazziQ • Pcee • Justin99 • 2FACED • Zee Nxumalo • 2FACED#amapianomix2024
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
BEI ZA PELLET NA UWEZO WAKE
100Kg/hr = 1,500,000/=
150Kg/hr = 1,700,000/=
200Kg/hr = 1,770,000/=
300Kg/hr = 3,500,000/=
500Kg/hr = 4,500,000/=
1,000Kg/hr = 6,500,000/=
PELLET ni chakula cha mifugo kilicho tengenezwa katika mfumo wa tambi tambi au chenga chenga, yaani kwa lugha rahisi ni chakula cha tambi tambi.
JINSI YA KUTENGENEZA PELLET
1. Ili utengeneze pellet, unatakiwa kuchangya virutubisho vyote mfano mahindi, mashudu, pumba, soya, madini, vitamini, nk sehemu moja kwa kutumia beleshi au mashine maalumu ya kuchanganyia chakula (MIXER)
NB: Chakula kilicho changanywa tu na kupewa wanyama huwa kinaitwa MASH.
2. Changanya mchachayo wako na maji kidogo, ili uwe na unyevunyevu, hii husaidia chakula kushikana pindi unapotengeneza pellet kwenye mashine.
3. Chukua huo mchanganyo wako na weka kwenye mashine ya Pellet na uwashe mashine ili kutengeneza Pellet.
4. Hatua ya mwisho ni kuchukua Pellet ulizo tengeneza na kuzianika juani (lisiwe kali).
KWANINI ULISHE PELLET?
Hii ni kwasababu pellet moja (chenga moja) inakuwa na virutubisho/vichanganyo vyote, lakini kwenye chakula cha MASH mnyama/ndege anaweza kula punje aina moja zaidi kuliko nyingine, mfano kula mahindi kuliko soya.
Hii sababu inafaya PELLET kuwa bora na yenye matokeo kuliko MASH
#pellet #pelletmachine #chakulachasungura #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #mizaniyachakulachamifugo #mashineyapellets #mashinezachakulachakuku #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #poultryequipments #tunauzamshinezaufugaji
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)