#cupoftea☕️promise
Explore tagged Tumblr posts
Photo
“Beloved, I now write to you this second epistle (in both of which I stir up your pure minds by way of reminder), that you may be mindful of the words which were spoken before by the holy prophets, and of the commandment of us, the apostles of the Lord and Savior, knowing this first: that scoffers will come in the last days, walking according to their own lusts, and saying, “Where is the promise of His coming? For since the fathers fell asleep, all things continue as they were from the beginning of creation.” For this they willfully forget: that by the word of God the heavens were of old, and the earth standing out of water and in the water,” II Peter 3:1-5 NKJV “Wapenzi wangu, hii ni barua ya pili ninayowaandikia. Katika barua hizo mbili nimejaribu kufufua fikira safi akilini mwenu kwa kuwakumbusheni mambo haya. Napenda mkumbuke maneno yaliyosemwa na manabii watakatifu, na ile amri ya Bwana na Mwokozi mliyopewa na mitume wenu. Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki nyinyi na kusema: “Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!” Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;” 2 Petro 3:1-5 BHND #nenolajumapili #wordoftheday #biblia #bible #cupoftea #rachelsiwa🙏🏽❤️☕️ https://www.instagram.com/p/Co1-Mrit7aQ/?igshid=NGJjMDIxMWI=
2 notes
·
View notes