#uswahili
Explore tagged Tumblr posts
daydreamer-143 · 5 years ago
Text
KumbuKumbu
Kwa karne nyingi zilizotutangulia, kumeshuhudiliwa mafungamano makuu kati ya waarabu, haswa wa Hadhramout na Oman, na wakaazi wa mwambao wa Afrika mashariki na visiwa vyake, KIlwa, Lamu, Mombasa, Zanzibar, Tanga na kwingineko. Mafungamano ya ukwe, nasaba, utamaduni, elimu na dini yaliyokita mizizi kiasi cha kwamba ndiyo misingi iliyojengewa tunaloita leo ‘uswahili.’
Siku zote, makundi yakiwa…
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 6 years ago
Text
Uswahilini Kwetu
Tuli natulia chini, nudhumu kuiandika, Niseme ya mtaani, jinsi yanavyo fanyika, Mambo ya uswahilini, matendo yan'otendeka, Waswahili wana nini, mwezenu jibu nataka... ~Utunzi wa Kinyafu Marcos #Mwanagenzi
Tuli natulia chini, nudhumu kuiandika, Niseme ya mtaani, jinsi yanavyo fanyika, Mambo ya uswahilini, matendo yan’otendeka, Waswahili wana nini, mwezenu jibu nataka.
Uwakute mkekani, wakaa pakakalika, ‘Tasema wafanya nini, jinsi walivyo zunguka, Kumbe wapo umbeani, mmoja anasemeka, Waswahili wana nini, mwenzenu jibu nataka.
Nguo juu magotini, ndo mitoko wanatoka, Vipima joto kwapani, vipodozi…
View On WordPress
0 notes
the-nun-69 · 4 years ago
Video
Chura wa Buza uswahili Vua Dera Baki na Chup
0 notes
tonymsela · 4 years ago
Photo
Tumblr media
#tonymsela uswahili huwezi kosa cha kutafuna hapa tunapita kuanzia Ksh. 20 karibu I sana (at Umoja 1) https://www.instagram.com/p/CCf9Gc-pOOq/?igshid=8v5ti7hdezjt
0 notes
soudybrown · 6 years ago
Photo
Tumblr media
Tabu Iko Pale pale @divatheebawse Una Nini Leo? 😳 Kama Rafiki Yako Nakushauri achaaaa . Uswahili Umeauanza Lini? We si ni wa Mikocheni ww? Kuchamba umejifunzia Chuo Gani? We mwenyewe unasemaga “Levels” sasa ukianza kutiririka mipovu hapo utavuliwa Vyeo Vyote Na Wana nzengo
0 notes
chahali · 12 years ago
Photo
Tumblr media
#instaLOL #instapic #uswahili #kujikweza (Taken with Instagram at Queen Margaret Residences)
2 notes · View notes